Kichwa Cha Habari kinasema ibrahim achafua Hali ya hewa,nadhani kingekuwa ibrahim afurahisha nyoyo.Quran ni maneno matukufu kutia tafasri za mazingira mengine haipo.kwani mkitadha jioni?
Upande wa tajweed kwa maana ya masauti anautendea haki uzuri kabisa. Juhudi kubwa aiweke upande wa AHKAAMI, asome kwa mizani yake sawasawa na herufi azitamke kwa usahihi wake na hukumu azifanyie mazoezi ya kutosha. Ni msomaji mzuri....ana kipaji...Allah ampe umri mrefu
Maashaallah Allah akupe afya njema mwalim wangu kipenzi amiin
جزاكم الله خيرا
Mashallah
Extraordinary
Bismillah,Maa shaa Allaah...
Qari Ibrahim Ramadhan Muhammad😍Allah akuhifadhi habiib🤲🤲😍
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Alhamdulillah Allah akbar
Je suis fier de toi nuit et jour je veut que tu soit mon maitre sur la lecture du sain coran❤❤❤ je reside en guinee conakry
J'attant votre reponse
Allahu akbaru Allah akuhifadhi qariu wetu
Walillahil-hamdu Amiin shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Mashallah Tabarakallah
Mashallaah
Mashaallah
Mashaallah
روعة ❤️❤️❤️
Mashaallah
Kichwa Cha Habari kinasema ibrahim achafua Hali ya hewa,nadhani kingekuwa ibrahim afurahisha nyoyo.Quran ni maneno matukufu kutia tafasri za mazingira mengine haipo.kwani mkitadha jioni?
Kichwa cha habari sio kizuri, amechafua hewa, maana yake amejamba.
Allahu akbaru Allah akuhifadhi qariu wetu
Hayo umesema wewe
Upande wa tajweed kwa maana ya masauti anautendea haki uzuri kabisa.
Juhudi kubwa aiweke upande wa AHKAAMI, asome kwa mizani yake sawasawa na herufi azitamke kwa usahihi wake na hukumu azifanyie mazoezi ya kutosha.
Ni msomaji mzuri....ana kipaji...Allah ampe umri mrefu
Mashallah