Mung acha aitwe mung ww ukisema humpendi harmonaizi wap wanae mpenda mungu endelea kumlinda huyu mtoto iliaweze kutimiza ndoto zake aminaa🤲🤲🤲🤲🤲🇹🇿niite rama d
Naamin Mungu yupo mdogo wangu atakusaidia mtangazaji naomba namba za mamaake shafi niweze hata kumsaidia hela ya madaftari shafi hata uniform za shule japo nlichonacho kidogo tugawane
Harmonize kinachotakiwa hapo ni kumsaidia mamake naye akapata kufarijika . huyo awezi ona labda kweli kama Mungu atatenda maajabu. Macho yake ni kama sisi tunaoona na kujaribu kisaidia panapowezekana . msaidie tu kwa namna unavoona inafaa .
Ujumbe wa Harmonize unaonyesha atamsadia aliandika kile unachokihitaji ipo siku utapata kama rizki yake kupata chumba kimoja au zaidi kwa kama alivyosema mwenyewe uwezo wa Allah atapata sio Harmonize wapo wengi wameshaanza kuguswa na huyu mtoto kikubwa tumuombee afanikiwe na atimize ndoto zake

Daah jaman Mungu amlinde
👏👏
Amii
Harmonies please kk wajendee hata kibanfa malipo kwa mungu
He is more than talented kipaji chake cha utangazaji kinafaa kutunzwa zaidi🥺🥺🥺🥺
Harmonize ungemsaidia kwa chochote mungu atakulipia
Hakika Mungu si mchoyo kwa waja wake, Huvitoa vipawa kadri awezavyo.
Mungu akubaliki kijana
God keep blessing Him 🙏 🙌
Mungu akulinde ishalaaa
Una love brother
Glory be to God.
MASHAALLAH MASHAALLAH
huyu dogo anakipaji asaidiwe tu atakuja kuwa mkubwa sana inshallah
Konde ebu jaribu kwenda kumuona mtoto huyu atakubaliki sana kwa mungu.
Mungu hanyimi vyoote dogo anavitu adimu kbx
Mashallah🤣🤣😍😍
Nimependa hao wenzake wanavyo m support jamani
Allahu Akbar
Jasili muongoza njia Jah bless
Wow 😍
Konde for everyone
Harmonize mshike mkono dogo
Hao wenzake ni mafans hatari
🙏🙏🙏🙏
Bass haya
Bas AMSAIDIE 😥😥😥
Harmonize kinachotakiwa hapo ni kumsaidia mamake naye akapata kufarijika . huyo awezi ona labda kweli kama Mungu atatenda maajabu. Macho yake ni kama sisi tunaoona na kujaribu kisaidia panapowezekana . msaidie tu kwa namna unavoona inafaa .
Naombanyie ayo mmesikia masikitiko ya uyu mtoto ivi kode Boi ana shindwa kuwanunulia kiwanja hata cha laki 5 na kumjengea hata chumba kimoja? Jamani
Ujumbe wa Harmonize unaonyesha atamsadia aliandika kile unachokihitaji ipo siku utapata kama rizki yake kupata chumba kimoja au zaidi kwa kama alivyosema mwenyewe uwezo wa Allah atapata sio Harmonize wapo wengi wameshaanza kuguswa na huyu mtoto kikubwa tumuombee afanikiwe na atimize ndoto zake
😂😂😂😂🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️
Washanviliaji sasaaa🤣🤣🤣🤣🤣