REV. DR. ELIONA KIMARO: JUA THAMANI YA MUDA NA KUUTUMIA VIZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Nikiwa kama Mchungaji ninatamani sana uutumie ipasavyo muda ulio nao kuliko kuuchezea mwishowe yakawa majuto, na itakuwa 'too late' Tumia vizuri vizuri nafasi na kipato chako sasa, ujitahidi kuwekeza hii itakusaidia kwa maisha yako ya baadae.

ความคิดเห็น • 12

  • @NiceMuro
    @NiceMuro 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unisaidie niweze kujua kuhusu muda

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤mchungaji ukiwambia watu muda kuhusu muda na uvivu wa kazi na hatujali afya endelea kutukimbusha mchungaji

  • @NiceMuro
    @NiceMuro 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi Kwa kutukumbusha kuhusu muda

  • @eddamukandara3851
    @eddamukandara3851 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mchungaji umenena vema. Mungu akutunze

  • @elizabethalex6138
    @elizabethalex6138 6 หลายเดือนก่อน

    Dah Mungu Nisaidie Roho Mtakatifu nisaidie Kristo Yesu Nisaidie Sema na mm Bwana Wangu niongoze Kristo Yesu

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati huu ndio naanza kumwelewa huyu mchungaji. Mwenye masikio na asikie.

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mchungaji, unatusaidia sana

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 6 หลายเดือนก่อน

    Muda ni ghali.Maisha yangu yamevurugwa sana ila nina imani ya kuvuka katika yaliyonisibu.

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweli ndg Mchungaji umenena vema nchi yadhahabu haiwezi kununua nchi ya muda

    • @SelinaMchunguzi
      @SelinaMchunguzi 6 หลายเดือนก่อน

      Asante Mchungaji kwa Neno ,muda ni Mali .

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 6 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu imefungwa kwenye muda, I'm working in gulf sijawahi chezea muda wangu hata kidogo juu najua niko hapa kwa muda.

  • @LeahMuganyizi
    @LeahMuganyizi 6 หลายเดือนก่อน

    Kabisa Mchungaji muda ni Mali ila hatujui kwamba muda haurudi