Nilikuwa sikifaham kabsa kupitia makongamano mbali mbali ya mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa Dah nakupenda bure, Hta huu ni wimbo ni wimbo mkubwa saan nimeusikia hta mm kupitia matangazo ya kongamano Arusha, Ubarikiwe mtumishi
Leo napokea ufaahamu wangu Leo nimebarikiwa Leo napokea kibali chngu Leo nimepokea Leo nimepokea NDOA YANGU Leo nimepokea Mume wangu🌹 Asemae kesho ni mwongo Kesho sio yangu Nabarikiwa na yaLeo🌹
Napokea kibali, kuinuliwa kiroho, kimwili, kiuchumi na kila eneo ambalo Mungu amepanga kulitimiza maishani mwangu ,uzao wangu na familia yangu kwa Jina la Yesu kristo Aliye Hai. Ameni
Nilikuwa sikifaham kabsa kupitia makongamano mbali mbali ya mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa Dah nakupenda bure,
Hta huu ni wimbo ni wimbo mkubwa saan nimeusikia hta mm kupitia matangazo ya kongamano Arusha,
Ubarikiwe mtumishi
Mnguazi kukuzidishia neema ya keufikembali kwa huduma yake mtumishi nimebalikiwa sana bila shaka nimepokea amina
Leo napokea ufaahamu wangu
Leo nimebarikiwa
Leo napokea kibali chngu
Leo nimepokea
Leo nimepokea NDOA YANGU
Leo nimepokea Mume wangu🌹
Asemae kesho ni mwongo
Kesho sio yangu
Nabarikiwa na yaLeo🌹
Ubalikiwe sana
Nimepokea kaziyangu
Ubarikiwe mtumishi Joshua, pole Kwa mapito ulio pitia
Barikiwa saana
Napolea kuinuliwa kwangu
Napokea uponyaji wangu
Napokeaaaaa!napokeaaa! napokeaaaaa 🙏
Mama alivyompokea mume wake hahahaaaa NAPOKEA
Hakika muujiza wangu upo leo asemaye kesho muongo
Ubarikiwe sana
Imenikumbusga mbali sana
Njoo na kwetu cornerstone tabata kimanga twiga
Napenda anavoimba na kuchez ubarikiwe Sanaa sanaaa baba
Napokea kibali, kuinuliwa kiroho, kimwili, kiuchumi na kila eneo ambalo Mungu amepanga kulitimiza maishani mwangu ,uzao wangu na familia yangu kwa Jina la Yesu kristo Aliye Hai. Ameni
Siku Yangu ni Leo
Nabarikiwa sana na hii nyimbo
Kuna wimbo UNGEKUA NI KERO KATI SHAMBANI MWA MUNGU naitaka niliikosa kwene you tube
Huu hapa 👇
th-cam.com/video/OcBgmBI8U_s/w-d-xo.html
Asant mtumishi
Napokea kwa jiana la yesu ❤🙏💛😭😭🙏
Aida nabarikiwa sana
Hadi raha 😊
Hamzeeki watumishi kama mmeoana jana!
Ubarikiwe sana!
Barikiwa sana
Wooow a great song,I love it barikiwa mtumishi
Wewe ni kisima na kijito cha sifa zinazotoka vilindini kwa Bwana .
Kazi njema sana hii brother Joshua
My favorite Song kwa mwamposa mkesha😂😂😂😂😂😂😂
Daddy nabarikiwa sana na huu wimbo leo kesho sio yangu 🙌 hakika ni LEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO🗣️🗣️
Leo ni kweli siyo jana ni leo
Barikiwa
Napokea🤲🤲🤲🤲
Amen mtumshi
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏
Amen Amen
Mimi napokea 💝💝💝😍😍😍💯💯🤩🤩🎖️🎖️👋👋💝💝
Napokea muujiza wangu leo kwa jina la Yesu kristo
Mungu aendelee kukutumia, hii karama uliopewa isipotee
Barikiwa kaka
Oh my Goodness
What a lovely song😭😭😭Glory be to God
Napokeaaaaaaa ahsant san kaka Joshua 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏✍️💯💯
Wow Kenya nimepata nyimbo yako yabariki Sana karibu sana Kenya be blessed
I finally found this song.🙌
Haleluyaaaaaaaa🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥NAPOKEAAAAAAAA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏LEOOOOOOOOOOOOK🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤TUHONGIDZEE KAKAAAAAAAAAAA..........MWALEMIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII........MTWA ALUMBWAGEEEEEEEEEEEE🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤💯💯💯💯💯NAPOKEA MUME WANGU.....KUINULIWA........🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💃💃💃💃💃💃💃😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Wonderful day
Amenifanyia Amani remix haipo TH-cam naitaka
Soooo good to go
Ukiimbwa nachanganyikiwa😅😅😅😅
Leo ni siku yangu....napokea kwa jina la Yesu......
Blessed mtumish
Umebarikiwa Sana man of GOD, siku moja tutafanya kitu Cha pamoja kumtukuza MUNGU wetu 🙏🙏🙏🏆
@@joshuamlelwa Amen Amen 🙏🙏🙏
Ni LEOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!
LEO..... Iman ni hakika si kubahatisha, NAPOKEA
Siku yangu ya mujiza ni leo
Napokea kwa jina la Yesu kwa Imani
Ka Joshua binafsi nazkubali sana kaz zako yani nawaelewa sana ,mzid kuinuliwa
Nimeokea kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo
Outstanding vocals and audible surround sounds with the ice on the cake being the message itself of Accepting Him Today (Leo). Tanzania.
Leo ni Leo, jana imepita, kesho haijafika.... Leo nimepokea blessings. asante sana Brother Joshua na team yote.
Good song keep it up we miss u brother
Napokeaaaaaa
Hakika leo ni siku yangu mungu atanitendea makuu amina
I love you guys since way back...God bless you so much🤗😍
Napokea sana...Aminaaaaa
Amen
Hongera bro.kazi no njema sana.My R Model.......napokeaaaaaaa
This is you brother....You are the Best👌 . Keep this fire burning 🔥
Be blessed mtumishi nimepokea leo ! Rael kutoka kenya
I receive it in jesus name
Ep eoe
Napokea! We missed you brother.
vzr sana napokea
Napokea kwa jina la yesu
More love from Kenyan ♥️♥️♥️♥️
unanibariki sana Brother,,,,napokea
@@joshuamlelwa ubarikuwe brother thanks
Napokea kakangu
Asanteee jmn na mungu akubaliki Sana Joshua mlelwa
Napokea kwa jin la yesu
I loved and love love this song!!!
I like the topic, melody.... God bless you Watumishi!
This brother has a talent and he's blessed for real. He sing from the bottom of his heart. (Nawapenda sana KUG)
Good
Amazing. Keep the fire burning 🔥
Amen
nataka nyimbo inayoitwa nuhu nitaipata kivipi?
❤❤
Mtumishi kupitia ujumbe unaendelea kutupatia katika ukurasa wako wa Facebook nimekuja kwenye TH-cam yako na nimekufolow
Nice songs
Nabarikiwa sana