NAMNA YA KUPIGANA NA PEPO WALIOPITIA MLANGO WA MANENO (1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @kissasonge8753
    @kissasonge8753 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Baba Kwa mafundisho. Yesu akutunze na akuinue zaidi na zaidi

  • @jemskristo
    @jemskristo ปีที่แล้ว

    Mungu akubark sn baba yangu

  • @elirehemamollel
    @elirehemamollel ปีที่แล้ว

    Amina baba mch

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujumbe mzuri BABA. Barikiwa sana.

  • @christophermbela1714
    @christophermbela1714 ปีที่แล้ว +2

    Kinachoshangaza nikwamba mafundisho Kama haya hayana wafuasi wengi
    Angalia zile nyimbo za kupotosha jamii, ndani ya siku mbili zinafikisha watazanaji 1,000,000
    NDIPO NINAPOAMINI KWAMBA njia iendayo upotevuni ni pana

  • @annakikwa4568
    @annakikwa4568 ปีที่แล้ว

    Amen we are blessed

  • @pauloadamu9492
    @pauloadamu9492 ปีที่แล้ว +2

    mchungaji ni maombi yangu MUNGU akuinue kitaifa na kimataifa kwa mafundisho yako lazima nitoke mwaka huu