KUPIGANA NA PEPO ALIYEPITIA MLANGO WA MANENO (2)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @UpendoGeofreyMmole-tg6vg
    @UpendoGeofreyMmole-tg6vg ปีที่แล้ว

    Mchungaji barikiwa sana mafundisho yako ni ya kipekee yananijenga sana katika wokovu

  • @kissasonge8753
    @kissasonge8753 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Mtumishi! Bwana Yesu akutunze Baba, yaani kila ninapokusikiliza Kuna mahali navuka.

  • @dannymagana7954
    @dannymagana7954 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema Siri hii ni kubwa natiwa ufahamu Mungu aendelee kukutunza Ili tuimarike

  • @happyvalence5352
    @happyvalence5352 ปีที่แล้ว

    Barikiwa BABA kwa ujumbe huu. 🙏

  • @annakikwa4568
    @annakikwa4568 ปีที่แล้ว

    Amen Mchungaji; powerful

  • @pauloadamu9492
    @pauloadamu9492 ปีที่แล้ว

    hakika mtumishi kabisa ni maombi yangu MUNGU akulinde na hila za adui wewe na family yako

  • @UpendoGeofreyMmole-tg6vg
    @UpendoGeofreyMmole-tg6vg ปีที่แล้ว

    Mchungaji barikiwa sana mafundisho yako ni ya kipekee yananijenga sana katika wokovu