ELIE MPANZU NA JONATHAN ALUKWU UPI UTAKUA USAJILI BORA ZAIDI KWA SIMBA SC/UBORA NA UDHAIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Baada ya dili la Elie Mpanzu kuonekana kua gumu kwa upande wa Simba SC taarifa zinaeleza kua wekundu wa msimbazi wamehamia katika dili la kumsajili Jonathan Alukwu
    Nyota anaekipiga katika kikosi cha Sporting Lagos ya nchini Nigeria
    Heavyweight anatupitisha kufahamu ni nani bora kati ya nyota hawa wawili kulingana na ubora wao
    lakini pia nani anafaa zaidi kusajiliwa na klabu ya Simba?
    Kama unahitaji kuungwa kwenye Group letu la WhatsApp tuma ujumbe kuomba kuungwa kwa namba 0626629644 utapewa utaratibu wa jinsi ya kujiunga

ความคิดเห็น • 32

  • @EliyaOnnesphory
    @EliyaOnnesphory 2 หลายเดือนก่อน

    Rais wa heshima kwa kuwa umehamua kuijenga simba mlete Elie mpanzu tuna kukubali.

  • @serafinijoseph6819
    @serafinijoseph6819 23 วันที่ผ่านมา

    Alukwu ni kiboko ni zaidi ya Mpanzu

  • @IsmailMrisho-v1n
    @IsmailMrisho-v1n 2 หลายเดือนก่อน

    Idadi ya WACHEZAJI wa kigeni mwisho ni 12, hadi Sasa Simba inawachezaji 11... Onana akienda Kambi misri watakuwa wamekamilika 12.
    Mpanzu na Aluku inabidi atolewe Mchezaji mmoja au wawili.

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hiyo michango ya kuongeza nguvu vipi tumlete mpanzu ?

  • @nikky4757
    @nikky4757 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mnigeria kwa simba atapata tabu maana simba ni timu kubwa mara nyingi inakutana na wapinzani wanabaki nyuma so tunahitaji winga anaeweza kufungua bus kama mpanzu imeshindikana ni bora wambakishe onana kama amekosekana mchezaji mwingine

  • @Jafari-t3x
    @Jafari-t3x 2 หลายเดือนก่อน

    Mwana unajua kichambua mpira kaka

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa maelezo na uchambuzi fasaha wa mtaalam Dulla Mpanzu ndo player wa kusajiliwa na Simba badala ya Jonathan

  • @JaphetGombo
    @JaphetGombo 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuunganishwa na group la Simba pro

  • @SHARIFUAMINI
    @SHARIFUAMINI 2 หลายเดือนก่อน

    Tuna waombo viongozi wa simba watulete Elie mpanzu

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 หลายเดือนก่อน

    Mpanzu ameshuti on target ngapi ooff target ngapi nani target man mzuri kati ya hao wawili

  • @mskJr1993.
    @mskJr1993. 2 หลายเดือนก่อน

    Hatuwez kuchukua mchezaji kwenye Timu imeshuka daraja no way

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 2 หลายเดือนก่อน

    Elie mpanzu aje hata kwa michango yetu

  • @YahyaMndevu
    @YahyaMndevu 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuunwa kwenye gupu lasima

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 2 หลายเดือนก่อน

    Aje elie

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuugwa kwenye group la Simba pro

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi tuletee Elia mpanzu Yani viongozi wetu Muna shindwa kumuleta Elia mpanzu kwa sababu ya milioni 600 viongozi wetu vunja benk tuletee Elia mpanzu mpila ni pesa acha kutuuzi sisi mashabiki

  • @JaylesBeda
    @JaylesBeda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jonathan alukwu aje

  • @petermagambo1690
    @petermagambo1690 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuungwa kwenye Grouptla simba

  • @NICOLAUSMHUMBIRA
    @NICOLAUSMHUMBIRA 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo onana muweke kwenye timu yako bishoo sanaa

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  2 หลายเดือนก่อน

      @@NICOLAUSMHUMBIRA Onana amekujaje tena mkuu 😂😂

    • @NICOLAUSMHUMBIRA
      @NICOLAUSMHUMBIRA 2 หลายเดือนก่อน

      @@SimbaProSupporters bishoo anacheza na majukwaa sisi tunataka watu wa kazi kama elie mpanzu Jonathan ulukwu

    • @NICOLAUSMHUMBIRA
      @NICOLAUSMHUMBIRA 2 หลายเดือนก่อน

      @@SimbaProSupporters kuna mtu ali comment anamtaka onana

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa maelezo haya mpanzu ni mashine

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 หลายเดือนก่อน

    Inategemeana ligi aliotoka ligi inaugumu gani kigezo usiangalie magoli

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    1:37

  • @KibibiMwalimu-pg8fg
    @KibibiMwalimu-pg8fg 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuungwa kwenye group

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 2 หลายเดือนก่อน

    Gwiji wa kandanda ya Afrika

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo namba huwa ingoma kutuma sms

  • @ShaibuMchinga
    @ShaibuMchinga 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuungwa kwenye group la SIMBA PRO

  • @neelamnick2899
    @neelamnick2899 2 หลายเดือนก่อน

    Elia mpanzu ndyo mchezaj anaetufaa simba tofauti na huyo twafa watemane na huyo mwingne wakomae tu na elia mashabik weng tunamwona ndy anafaa kuwepo msimbaz

  • @JaphetGombo
    @JaphetGombo 2 หลายเดือนก่อน

    Aje Elie mpanzu acheni brabraa

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    4:06