MZEE DALALI AHOJI HATMA YA KOCHA MGUNDA SIMBA SC | ASHANGAA WATU KUICHUKULIA POA SIMBA HII | TAZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

ความคิดเห็น • 30

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mzee. Uchawi wao safari mwisho. Simba hoyooooo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏👍👍👍👍👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉❤❤Tunawaomben nyie Wakongwe Muwafanyie Dua nzito kwa vijana wachezaji wote. Uchawi upo mzee❤❤❤❤

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 3 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu tena Mzee, turudi kazini kwa nguvu zoteeee. Simbaaa💪💪💪💪💪

  • @soniimedia2440
    @soniimedia2440 3 หลายเดือนก่อน +2

    😮nomaaaaa nakubali simba damu damu from moshi. Like 10 tu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Kibaden nakupenda toka kitambo. Hawa ndio wakongwe❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee dalali mwamba sn, kwel SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️

  • @FredMagali-e4d
    @FredMagali-e4d 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupongeza sana mzee dalali wazee muungane ilitimu ifanye vizuli ❤

  • @DottoJohn-ku9fq
    @DottoJohn-ku9fq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa mzee

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uzee wa huyu mzee uishie hapa hapa aendelee kudumu na kudumu

  • @EmmanuelKawogo
    @EmmanuelKawogo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sanaa

  • @AnaphSaidy
    @AnaphSaidy 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi sio.kama.wao

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 3 หลายเดือนก่อน

    Kama Jahazi kutaka kuokolewa lisizame imekuwa Shidda. Basi Pole sana

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mambumbumbu

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 3 หลายเดือนก่อน

    Dua muhimu

  • @abdulhalimsalim1386
    @abdulhalimsalim1386 3 หลายเดือนก่อน

    Bravo handsome boy😂😂😂❤❤❤

  • @InnocentBobsleigh-mc6sm
    @InnocentBobsleigh-mc6sm 3 หลายเดือนก่อน

    Kabixa

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi sijapenda Mgunda wetu jamani

  • @zorzou5736
    @zorzou5736 3 หลายเดือนก่อน +1

    6:34 tiktok challange😂😂😂

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 3 หลายเดือนก่อน

    Wenye SIMBA yetu tumeludi SIMBA NGUVU MOJAA🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂

  • @georgebetram63
    @georgebetram63 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂 mastar

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 3 หลายเดือนก่อน

    Njaaa hiyo alikuwa wapi tanzania au alisafiri wabongo siasa sana kutaka kushiba tarehe nane uwe mbele sasa na hayo makaburi Yako

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwela

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzeee Dalali karudi bana

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 3 หลายเดือนก่อน

    Kudadadeki nimerudi😂😂😂

  • @DaudiMade
    @DaudiMade 3 หลายเดือนก่อน

    Onana unayemzihaki ndiye aliyekupeleka robo finally kramo unayemlilia hajakupa hata point moja zaidi ya kukuchilia hera za bule kama mwizi sasa sijui aliyelogwa ni nani kati yako na hao viongozi

  • @patrickkilongo3214
    @patrickkilongo3214 3 หลายเดือนก่อน

    We mzeee mnamuacha cramo mnamrudisha onana????? 😂😂😂😂yan hii simba sijui imerogwa na nan

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 3 หลายเดือนก่อน

    Umoja ni nguvu utengano ni udaifu Simba vijana tuwaenzi wazee wetu

  • @zeddymourice4249
    @zeddymourice4249 3 หลายเดือนก่อน

    Copy and pest,yanga ndio wameanza kuwapa wazee kipau mbele nawao wanataka sio mbaya kuiga mafanikio pia.

  • @MamboMbuli
    @MamboMbuli 3 หลายเดือนก่อน

    Tuwarinde wachezaji wetu watarogwa