RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA CHUO CHA UALIMU SUMBAWANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Chuo cha Ualimu Sumbawanga Mkoa Rukwa ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.

ความคิดเห็น • 3

  • @ladislausmsongole8479
    @ladislausmsongole8479 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Chuo cha Ufundi Arusha kwa kazi nzuri

    • @MalamboSelijusi
      @MalamboSelijusi หลายเดือนก่อน

      hiyo nisumbwanga sio Arusha

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 หลายเดือนก่อน

    Shida ni kuajiri walimu walipata '0' form 4/6 wakati hawajui walichosoma ila wanaenda kufundisha watoto kitu ambacho wenyewe hawajui. Ndio maana tanzania mwanafunzi anamaliza la saba hajui kusoma na kundika na hakuna mtu wa serkali anaona hayo kwamba mwanafunzi ameenda shule miaka 7 hajui kusoma wala kuandika wala kuhesabau hata kwa kiswahili imagine ndiyo mtoto huyo anakuja kuwa machinga wa kesho mitaani.