HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOWASILI NA ZUCHU KWENYE MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @rahmamwaliko1159
    @rahmamwaliko1159 2 ปีที่แล้ว +6

    Zuchu mavazi tu ndo unanichosha badilika usivae nusu utupu kama mzuri mzuri tu co mavazi mtoto wa kiislamu ww kuna leo na kesho muogope Mungu

  • @geogilinajossam3766
    @geogilinajossam3766 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema.tunawaombea ndoa njema yenye amani nafuraha.

  • @elizabethjackson1047
    @elizabethjackson1047 2 ปีที่แล้ว

    Diamond daaaah nomasana

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 2 ปีที่แล้ว +2

    Chuma izoo duuuh

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html
    Dawa ya kumuweka Mpenzi Kiganjani........*#*#*
    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu povu linawatoka eti gari hajasajili mpaka leo... Sasa akisajili au hasiposajili unapungukiwa Nn... Mtakufa kwa yasiyowahusu... Zinalipiwa hizo pesa, ndefu.. Simba kama simba gari zinatisha

  • @rahimabdull8408
    @rahimabdull8408 2 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo traffic wanashika gari za walala hoi tu au

  • @Veni584
    @Veni584 2 ปีที่แล้ว

    Dereva ni zuchu?

  • @rajabali2574
    @rajabali2574 2 ปีที่แล้ว

    Ulinzi wote bado mlango wa gari unafungua mwenyewe.

  • @bobosu3235
    @bobosu3235 2 ปีที่แล้ว

    Nini sasa

  • @agustinorichadi1253
    @agustinorichadi1253 2 ปีที่แล้ว +1

    🦁🔥

  • @norsankingbalozi6070
    @norsankingbalozi6070 2 ปีที่แล้ว

    Gari za kukodi,mpaka leo azijasajiliwa tuh.

  • @elnasser4037
    @elnasser4037 2 ปีที่แล้ว +1

    Why no plate number😶

    • @geoufo2858
      @geoufo2858 2 ปีที่แล้ว

      Analipia ziwe Ivo

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html
    Dawa ya kumuweka Mpenzi Kiganjani......*#*# th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html

    • @salmansuad835
      @salmansuad835 2 ปีที่แล้ว

      Mamake anayo yeye .ila mawaitha ya kislaaam Dio Hana Kwa mwanae .mwanae atamlaumu mama siku ya Kiama na mama atamlaaumu mwanae siku iyo .

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 2 ปีที่แล้ว

    Staachwa tu pinga kama unabisha na ataharibu mziki wake mtakuja kuniambia

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว +1

    Gari kashindwa kusajili mpaka leo kkk

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 ปีที่แล้ว +1

      ivo kutokuwa na plate number,,, ndio usajili. wake...

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 2 ปีที่แล้ว

      Zalipiwa izo kushinda hizo zenye plate no

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 2 ปีที่แล้ว

      Ndio ashasajili hivyo😁😁 maana ukisajili usiposajili unalipa kodi tu. Hapa zitaishi bila plate number. Mwenye pesa sio mwenzio. Ni Simba huyo🦁😁😁✌❤🇹🇿

    • @bonaventuremabula4113
      @bonaventuremabula4113 2 ปีที่แล้ว +1

      davido mwenyewe mpk leo hajafnga plati namba.

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa we ikisajiliwa itakusaidiwa kwa mfano

  • @quimbtv8349
    @quimbtv8349 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndo nini hii milard

    • @gracesilayo7670
      @gracesilayo7670 2 ปีที่แล้ว

      A😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html
    Dawa ya kumuweka Mpenzi Kiganjani........*#*#*
    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html