Adhabu hiyo ni kichocheo na kiashiria cha Simba SC kutinga nusu fainali hadi fainali msimu huu! Safari ya kuingia nchi ya ahadi lazima ikutane na changamoto! #Kazi iendelee.
Mpila ni biashara haitakiwi kukwepa gharama viongozi,lakini pia ni aibu kwa Tff maana wamekuwa wakiwalea mara kadhaa bila kuwaadhibu hadi caff ije kitoa funzo,nivema kuwe na cemera za kutosha uwanjani na kwenywe majukwaa ili kuwabaini wahalifu watakaobaonika mojakwamoja.
Simba nguvu moja tunachangia chap chap hilo halipingwi $lMBA 🎉🎉 ,,,,Safiiiiii
Hassan japhari from Tanzania ❤❤❤
Nawapongez Watan kwa kuwez kujitambua na kufany jambo la maana.
Allah(s.w) atatia wepes jamb litaish vyem.
Adhabu hiyo ni kichocheo na kiashiria cha Simba SC kutinga nusu fainali hadi fainali msimu huu! Safari ya kuingia nchi ya ahadi lazima ikutane na changamoto! #Kazi iendelee.
Akili hamna akili zenu ziko mkunduni
Wanasimba tuwajibike kwa pamoja timu yetu sote jamani tunaipenda
Bakuli la electronic
Kwani mnadaiwa faini ya bei gani na mm nichangie 500 mtani
Hahahaha 😢😢😢😢😢mumekua vibakuli FC sasa na bado hapo paka nyie
Utopolo wanaumia na kila kitu cha simba
Kuwe na utambulisho kwa wote watakao lipa kulingana na viwango kwa Uchangiaji wao,,
Na mim nimechanga mujue
Akili nyingi
Makolo mmeishiwa
Bakuli ya kidigtal
Mpila ni biashara haitakiwi kukwepa gharama viongozi,lakini pia ni aibu kwa Tff maana wamekuwa wakiwalea mara kadhaa bila kuwaadhibu hadi caff ije kitoa funzo,nivema kuwe na cemera za kutosha uwanjani na kwenywe majukwaa ili kuwabaini wahalifu watakaobaonika mojakwamoja.
SIDHAN KAMA UNAFATILIA MPIRA WEWE! TFF ADHABU YAO ILIKWISHA TANGAZWA MAPEMA SANA AU UNATAKA WATUUE NDO ULIDHIKE
Ili siku ingine wasirudie kuleta vurugu
Itaje tuchangie
Tuwajibike sote
Unaumia kutoka wapi dogo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanasimba wameanza kutoa lambi lambi 😂😂