Kama anafanya bidaa hakuanza yeye kwa maana kila akitowa daawa juu ya maudhui Fulani hunukuu Aya ama hadithi ya mtume na kauli za wanazuoni wakubwa na vitabu vyao kwa dalili zilizo wazi kwa hivyo kama anafanya bidaa watakuwa wametangulia wanazuoni wakubwa kwenye vitabu vyao
Ww wahabi mtume s a w alishasema mutakuja watu wakiwatusi wana zuoni na masheke ndio nyinyi mawahabi wapotoshaji kila mtu mrongo njoo ww mkweli basi tukuskie
Maashallah mungu azidi kukupa umri
Masha allah mungu akubarikii
Baaraka llaaahu Fiika Shekhe Mohamed Kusoma.
MASHAA ALLAH bidaa nzuri na faidika nayo
MASHAALLAH
usjion bor kulko mwenzie pia usmtukan yyt nakuon ww unachosem ndo bor mwalm mngu akilip lnshaallh
Nyie mawahabi akil hamna chuk zenu husda zimewajaa
Anafanya daa'wah ya kuwafundisha watu bida'a nayeye pia akiwa ni mtetezi wa bida'a Allaah amuongoze ktk man haji ya sawa
Kama anafanya bidaa hakuanza yeye kwa maana kila akitowa daawa juu ya maudhui Fulani hunukuu Aya ama hadithi ya mtume na kauli za wanazuoni wakubwa na vitabu vyao kwa dalili zilizo wazi kwa hivyo kama anafanya bidaa watakuwa wametangulia wanazuoni wakubwa kwenye vitabu vyao
Kuna bidaa mbaya kama kugawa Tawheed mara vipande vitatu!.
@@AbdulkarimShosiah!ndugu,kuna watu wamepewa macho na maskio lakini kwa bahati mbaya hawaoni wala hawskii.
Kwenda ukasome wahabi uliye pote
Bachu hamumuwezi jeshi la mtu mmoja, Bachu simba vikoko vyabweka ila havimuezi wamekunja mikija na kubweka kwingi.
Bachu km ana ilmu ya dini afundishe km anavyofundisha hawa masufi yy tuuuuu kuzusha radd radddu ruddda
Ninachokigundua kwa tunaoitwa ghuraf sufi tumesoma dini mpaka tunachukiwa sasa hapo kuna uongo gani km huna chuki na huyu Maalim
Jaamaa tumcheni allah hawa masufi ni warongo sana
Kwenye hii clip urongo uko wapi ndugu yangu wewe ndio unatakikaniwa umche mola wako acha chuki zako dhidi ya muislamu mwenzako kua na inswaaf
Ww wahabi mtume s a w alishasema mutakuja watu wakiwatusi wana zuoni na masheke ndio nyinyi mawahabi wapotoshaji kila mtu mrongo njoo ww mkweli basi tukuskie
Hichi.anachoongea n uongo ?.au ndio hukumu you ww kwa masufi muogope alwah kW kuwasemea watu uongo utakwenda kuulizwa hichi ulichokiandika,
Nyie mawahabi ndo hamjijui
Aya na hadithi na mawaidha mema vyote hivyo ni urongo.Eh!Yafaa kuwa mbali na waliojaa husda.
Huyu ni khurafy mkubwa .wamezoea kwenda tanzania kuwadanganya watu .
Zako ni chuki na hasad mungu akuongoze
Kama huyu ni khurafi wewe nani?😊
Mlafi😮😮@@mzeerajab9154
Mamako ndio khurafy
Laana myahudi ww