DEREVA WA SERIKALI ALIYESABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI AKAMATWA, "ALIJIFICHA PASIPOJULIKANA", POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Iyo gairo road madereva wa serikali wanapita kama wanawahi peponi😢

  • @gilbertrutayuga4676
    @gilbertrutayuga4676 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia madereva wa serikali kuwa pamoja na kwamba yeye ni mtumishi wa umma yeye ni dereva ambaye anatakiwa kuendesha gari lake kwa kuzingatia sheria za usalama barabarani. Sasa ngoja leseni yake ifungiwe ili apangiwe kazi zingine na posho za safari atazisikia kwa wenzake

  • @ShabaniSaleeh
    @ShabaniSaleeh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢😢 kazi hanayo uyo

  • @nsomisanga5535
    @nsomisanga5535 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana kwa hao wote walopata majanga jamanii

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mtuhumiwa jna mnalihifadh maana yake nn hapo .mnatufunza nn au yy mtuhumiwa nani ata mcmtaje iv mnatufanya wananch tuwe na taathira gani

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madeleva ao selikalii ina wapa ujeuliii adii ukuu dar wana endeshaa ovyoo sana wana tanua balabala yani wanavyoo taka awa fatii shelia ichiii ya ovyoo sana hiiiii sasa ivii

  • @lulimoshaban3815
    @lulimoshaban3815 27 นาทีที่ผ่านมา

    Asavari

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 35 นาทีที่ผ่านมา

    Je inasaidia Nini ?? Maana atakamatwa badae ataachiwa na mtu alishakufa jamani TZ TUTHAMINI UHAI WA MTU TZ UHAI WA MTU HAUNA MBADALA JAMANI