DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 13...UBAYA UBWELA UBAYA UBAYA TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 248

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 หลายเดือนก่อน +12

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Love y'all ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 2 หลายเดือนก่อน +4

    From boss lady mpaka house girl 😂😂😂😂 wee kuweza 😂😂😂😂 kazi nzur sana much love from saudia Arabia really appreciate

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole dada siwezi kufanya kazi ngumu kazi unayo

  • @Khadijah-eq2oe
    @Khadijah-eq2oe 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂 mpuuzi sana mama shadya ukichengwa tulia wee huogpi 😅😅😅 nyokoooooooooo

  • @سيييققق
    @سيييققق หลายเดือนก่อน +3

    Kisha atafanya kazi kweli uyu dada wa kazi mpya 😂😂

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unafikitu unataka Mage akuachie ndoa yako si ulisema Mmeo hakufikishi mlimani kipi kipya umeona sasa

  • @FatumaBakari-c4m
    @FatumaBakari-c4m 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wale wanaopendaga mahaba ynmponji n mage mikono juu

    • @OrediYowasi
      @OrediYowasi 2 หลายเดือนก่อน

      Umetishaa sanaa

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂dada wa kazi we Hajra dada wa kazi 😂😂😂😂...Funzo zuri sana kwamba kwenye maisha chochote kinawezekana usimdharau mtu mwingine safi sana hii imeendaaaa

  • @Zakiya-f3i
    @Zakiya-f3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchezo.mzuri.unatufunza.hongera..mponji..lete..mzigo

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo moto moto msichelewesha sana😊😊😊😊

  • @MargaretPendo-t7w
    @MargaretPendo-t7w 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂waziiiii nimependa sana daaaah hiii kali from kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @MercymauaKarisa
    @MercymauaKarisa 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona kama n mimi magi wallah mambo n moto 🔥🔥🔥🔥

  • @NeemaMdoe-sr6ci
    @NeemaMdoe-sr6ci 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaivunja mwenyewe Acha aelewe

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba Mage awe mkewangu kama hajaolewa❤❤❤

    • @GraceKija
      @GraceKija หลายเดือนก่อน

      Ndo mm mage

  • @Farthun
    @Farthun 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏻😂🏃🏻eti unakumbuka nn majibu sasa baba shady wwww kiboko

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inapendeza sana hio somo zuri zaindi

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Make shadh nafac ilkushinda kaa kwa kutulia acha mag afanye atakacho ww bak kua mpenzi mtazamaj upoa
    nyonyo imetoka 🇰🇪 hio❤❤❤❤❤❤

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ww si hutaki kazi ngumu endelea kuwa dada wa kazi kwa mumeo unafikiri unachotaka kitafanikiwa akifanikiwi ng'oooo

  • @AshaHussein-q8n
    @AshaHussein-q8n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maajabu wakati mponji akufikishi mwache mage apare rahaa❤❤❤❤❤❤

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂huyu dada nimnafki kweli 😊😊 mage kuwa mankini na huyo rafiki yako ❤❤

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maggy kuwa makini sana maana ushaingiliwa❤❤❤

  • @KatavalyKambale
    @KatavalyKambale 2 หลายเดือนก่อน +1

    Iyi ya leo noma❤🎉❤🎉❤

  • @DanielJohn-w3k
    @DanielJohn-w3k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maajabu

  • @ajesterkalulu7927
    @ajesterkalulu7927 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊uwiiii nasikia rahaaa mieeeeee hajira unateseka ukiwa wapi😂😂😂

    • @judithogaya9730
      @judithogaya9730 2 หลายเดือนก่อน

      Akiwa kwa ex mume muponji 😅😅

    • @judithogaya9730
      @judithogaya9730 2 หลายเดือนก่อน

      Akiwa kwa ex mume muponji 😅😅

  • @MaArrr-mh2so
    @MaArrr-mh2so 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂 weww iyo kali ya mwaka mbona 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mage pambe 👌

    • @PuritySalama-yv6to
      @PuritySalama-yv6to 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂yaan ili ndilo ili

    • @PuritySalama-yv6to
      @PuritySalama-yv6to 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hdi raa mashdy je ulikua unayafany hyo ama ni bz n cm 😂😂kula chuma iko

    • @ImaeImae-p3v
      @ImaeImae-p3v 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yan we acha tu 😂😂😂😂

  • @Leilajepmtu
    @Leilajepmtu 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ckuisi ana simu dada mama shadya 😢😢😢😢

  • @janetadamcharo1606
    @janetadamcharo1606 27 วันที่ผ่านมา +1

    Fanya kitu ajra usikubali kiraisi ivo 😂😂😂😢

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 jikubali tu kwamba wewe ni dada wakaI hajira

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂mdada wa kazi jamani 😂😂

  • @wynesesthertchuwa2139
    @wynesesthertchuwa2139 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole yako Hajira dada wakazi X wa Mponji 😂😂😂😂😂 atari

  • @Catherine-l9c
    @Catherine-l9c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Siyo rahis anajambo lake

  • @UmmuJuhaynaAbuuIssa
    @UmmuJuhaynaAbuuIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂hakunasiku nilocheka kama leo jamn daaah mm kikweli siwezi kukaa ata iwejee yani hii zaidi ya kujizalilisha kweli hajraa jmn mh hakika mponji nynyy nomaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AlineEster-w6c
    @AlineEster-w6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ seemuya yakumi naina

  • @rashidkipingu7358
    @rashidkipingu7358 หลายเดือนก่อน

    Mmeigiza vizuri sana lkn hapa kwenye kumpokea xkama mfanyakazi dah inahitaji roho ngumu

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 2 หลายเดือนก่อน

    Mage mmependaza sana

  • @ZuhuraSalim-x3v
    @ZuhuraSalim-x3v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hajra 😂😂😂unataman sasa wakati nafasi uliitupa mwenyew sasa kula kwa macho😂 pole in advance

  • @MwajaaMbetapandu
    @MwajaaMbetapandu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda sn 🇰🇪

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Mponji mtafika mbali sana ujumbe mzuri sana ...Wakati mwingine wema wako unaweza kukuponza hii naona itamkuta Mage

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe hajira ni mpumbavu sana

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂masikini hajraa mm siwahi kwenda kufanya kazi nilipoachikaa😂😂😂

  • @CatherineShayo-b9z
    @CatherineShayo-b9z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee maisha hubadilika

  • @MtambiSemeni-o2n
    @MtambiSemeni-o2n 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Mponji sijui huwa unawaza nn maana kazi tamu sana ni kitu kigumu kwenye maisha ya kawaida ila ujumbe umefika na sisi tunaburudika na mama Shadya mwanamke mpumbafu

  • @SmilingBirdwingButterfly-uu3nm
    @SmilingBirdwingButterfly-uu3nm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana pole hajr😅😅😅😅😅

  • @SikuJuma
    @SikuJuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda sasa kwawanao kufikisha

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂pumbavu kabis magee na mpoji

  • @fgfvgggf6993
    @fgfvgggf6993 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hajra kula jeuri yako mamaa ulikuwa watesa mponji wa wa2 sai ashapata furaha yake waona wivu2 utajua hujui ulipata bwana mzuri ukamtupa mwenyewe sai waona wivu Hahaa achanicheke😂😂😂

  • @Chande-bz8jm5nf6b
    @Chande-bz8jm5nf6b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Movie bora ya mwaka

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 2 หลายเดือนก่อน +1

    Qwa qwl kazi 2nayo😂😂😂😂😂akh mungu nitaua m2 hapo...😂

  • @MagretAwinja
    @MagretAwinja 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂na sasa utafanyaje

  • @mwl.hassanzanjabeel1621
    @mwl.hassanzanjabeel1621 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 Ila mponji we ni noma ase unakumbuka kumbukumbu nzuri sana!!? Alikucheat na kukutangaza kuwa humfikishi kileleni...

  • @minahsamwel
    @minahsamwel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kama mimi siwezi kabisa bora nikae kwetu tu kuliko kushuhudia haya mapenzii motomot kwa mume wangu jaman😂😂

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mponji Sheria ni wanne muoe ten mke wa pili huyo

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh,hapa wamebugi,haiwezekani mke aje kuwa dada wa kazi

    • @darzone1020
      @darzone1020  หลายเดือนก่อน +1

      Hatujabugi hii ni true story ingawa ilikuwa ya kushangaza.

  • @MaryWayuuwa
    @MaryWayuuwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mage ndio anafaha mma mjengo anapendeza sana 😂😂😂😂ajira wewe kaa mbali na mama mjengo mage

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kweli huyu gingagula ameanza kutengenenza mambom

  • @fellst4159
    @fellst4159 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mponji lakini waeza fanya mtu ajitoe uhai 😂😂😂😂mm siwez rudi nilipotk hatakam ni shid vip😂😂😂😂

  • @MaA-kn9ty
    @MaA-kn9ty 2 หลายเดือนก่อน

    Penzi kwa mage 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @JoycebarakaEster
    @JoycebarakaEster 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waumia Tena ajilaa

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka ulinitangazia sikufikishi kileleni na ulinisaliti 😂😂😂Mponji noma sana wewe mwanaume

  • @AlineEster-w6c
    @AlineEster-w6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ seemuya kumi nayine

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 หลายเดือนก่อน +1

      Dakika chache zijazo

  • @ambrocebaynit3413
    @ambrocebaynit3413 2 หลายเดือนก่อน +1

    Habari ..............
    ni fupi muda uongezwe kama inawezekani

  • @SaadaBenadi-pj2bn
    @SaadaBenadi-pj2bn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naombeni leo lice zangu

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 7 วันที่ผ่านมา

    Duuuh ety weeehh dada wa kaziii 😂😂😂😂

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haitatokea atasikumoj mwanaume aniache alafu niwe dd wakazi aitatoke😂

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ulisema hakufikishi kileleni sasa kapata wakuendana nae waumia😅😅😅😅

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mlikosea sana kuweka mama mwenye nyumba mfanyi kazi😮huyu atakuja kuwafanyia kitu baya sana kueni makini😢

  • @AishaHamid-u8g
    @AishaHamid-u8g 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 mage umemmiliki bwana saiv 😂😂

  • @LeylaRamadhani-h4s
    @LeylaRamadhani-h4s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lailath jamani mponji sasa unainjoi pambe sanaaa

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂,😂😂😂Hajra chukua maia yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mage punguza ukali wa maneno 😂😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mage alisema atakua makini. Na atafatilia kl kitu. Hatimpa nafac Hajra amharibie. Naamini hivyo.

  • @bibip9181
    @bibip9181 2 หลายเดือนก่อน

    Ungemkubalia mama shady a kuwa mke nisingeweka bando kucheki hii tamdhilia

  • @HadijaKenya
    @HadijaKenya หลายเดือนก่อน

    Na WApenda Sana movie temu jamani ❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana tunakupenda pia

  • @AminaAlli-n1c
    @AminaAlli-n1c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mage kuwa makini bwana msituangushe mashabiki

  • @HalimaMsovela
    @HalimaMsovela 2 หลายเดือนก่อน +3

    Muangalie sana na ndio kashakupikuuu

  • @RehemaSteven-f1o
    @RehemaSteven-f1o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Haf eti karud keaheshima maji kupig nagot jamn hajira 😂😂😂

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mage mwache ajichetue aingizwe chaka

  • @VioletKerubo-j1p
    @VioletKerubo-j1p 2 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuri nafuzo mema

  • @BrendaAlexiousmkandawire
    @BrendaAlexiousmkandawire 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana movie zako lakini muda nifupi kama inawezekana please add time ❤

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 หลายเดือนก่อน

    Wallah Mponji hii imeendaaaa

  • @RaysMerige-cn6xg
    @RaysMerige-cn6xg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yn hajira mm siwezi aisee Bora nikae kwetu

  • @MercymauaKarisa
    @MercymauaKarisa 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂nachomeka moyo jamani😂😂😂😂

  • @viviankasena
    @viviankasena 2 หลายเดือนก่อน +1

    Magi kua makini sana n huyo mke mwenza ulimhurumia kumbe ni nyoka mkubwa chunga asije kung'anata

  • @dautonmdodwe5700
    @dautonmdodwe5700 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unakumbuka Nini enzi zetu zileeee nakumbuka ulinitangaza kuwa sikufikishi kileleniiiii🎉🎉🎉🎉

    • @janekanini
      @janekanini 2 หลายเดือนก่อน

      Bwana weee nimecheka kaa fala mpaka nikamwamsha mtoto😂😂😂😂

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hajla litakukuta jambo mi nakwambia

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi tamu

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 2 หลายเดือนก่อน +2

    Siulisema Aku toshelezi ime kua ssa

  • @HassanSeif-mh6oh
    @HassanSeif-mh6oh หลายเดือนก่อน

    MAGE MAGE MAGE WW😅😅😅 KANADYA kanatia huruma😂😂😂😂

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hajra ata km unaumia vumilia Iko siku furaha Yako itarudi kuwa mpole usijeukafanya ukafukuzwa kazi

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka ety dada wakazi😂😂😂

  • @LucyPhilemon-vu4lu
    @LucyPhilemon-vu4lu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi napenda kile kisaut cha kucheka yaan inanipa raha kinoma

  • @MjeniMwero-db6nb
    @MjeniMwero-db6nb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan Kaz hakuna mahali kwengine 😂😂

  • @GloriaStefan-dw8ev
    @GloriaStefan-dw8ev 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaah wew siwez ujifie kisa

  • @LionGaho-wh3te
    @LionGaho-wh3te 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anjir kinamrambaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe si ulikuwa bize na simu sasa wenzio wapo bize na mume acha wakufunze 😂😂😂anaona wivu eti 😂😂😂kula chuma hicho kudadeki

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pambe c pambeeeee! Hongera yako mage pia hongera mponj❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mage kiboko. Kamchukua mume na mtt wa Hajra. Na Hajra kabaki kua beki 3.😂😂😂

  • @KhadijaAli-zd8jq
    @KhadijaAli-zd8jq 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂hahaha nimecheka

  • @AbdulazizMussa-sy2mz
    @AbdulazizMussa-sy2mz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatarii