Kutahiriwa kwa udogoni ni mabadiliko,tunaweza kusema ni modern Bajuni culture. Lakini zamani ilikuwa mtoto nimpaka afika miaka kumi na nne mpaka kumi na sita. kwa sababu tatu,moja ndio mtoto hata weza kulala na mwanamke kwasababu atakuwa aona haya vile hajatahiriwa na ni aibu. pili nimtoto aweze kusikiza uchungu iwe nifunzo la kuvumilia uchungu wahali ya juu,sababu hakukuwa na kufisha. Tatu ilikuwa ndio njia ya kuweza kumwelewa kama huyu mtoto ataweza kuvumilia uchungu ama hataweza ndio anajulikana kama ataweza kupewa majukumu yanayo hitaji uvumilivu,na ndio pia kujulikana kama atakuwa shujaha ama hatakuwa shujaha. Mimi nilitahiriwa nikiwa miaka kumi na nne nikapitia hii ritual.
ما شاء الله
Utamaduni wetu old is gold
Sisi Ngomeni tukiinuka hatujaona sherehe za kutahiriwa wala kikango harusini...huenda tukaona magunyani ataa hicho kirumbizi kilipotea
kwamajina haa'ah
sikibajuni kibajuni ni ina langu ni fulani sio kwa majina naitwa fulani
Kutahiriwa kwa udogoni ni mabadiliko,tunaweza kusema ni modern Bajuni culture.
Lakini zamani ilikuwa mtoto nimpaka afika miaka kumi na nne mpaka kumi na sita.
kwa sababu tatu,moja ndio mtoto hata weza kulala na mwanamke kwasababu atakuwa aona haya vile hajatahiriwa na ni aibu.
pili nimtoto aweze kusikiza uchungu iwe nifunzo la kuvumilia uchungu wahali ya juu,sababu hakukuwa na kufisha.
Tatu ilikuwa ndio njia ya kuweza kumwelewa kama huyu mtoto ataweza kuvumilia uchungu ama hataweza ndio anajulikana kama ataweza kupewa majukumu yanayo hitaji uvumilivu,na ndio pia kujulikana kama atakuwa shujaha ama hatakuwa shujaha.
Mimi nilitahiriwa nikiwa miaka kumi na nne nikapitia hii ritual.