Bajuni Cultural Heritage
Bajuni Cultural Heritage
  • 54
  • 21 480
Mahojiano na Mohammed Kombo uzinduzi wa Shivulani Shavulani
Mahojiano na Mohammed Kombo uzinduzi wa Shivulani Shavulani
มุมมอง: 278

วีดีโอ

The importance of publishing books in Bajuni Langauge Mohammed Kombo
มุมมอง 862 หลายเดือนก่อน
The importance of publishing books in Bajuni Langauge Mohammed Kombo
Maoni kuhusu Taratibu za mashairi Mohammed Kombo
มุมมอง 554 หลายเดือนก่อน
Maoni kuhusu Taratibu za mashairi Mohammed Kombo
Wimbo Kwa sauti ya Randa 2 - Mohammed Kombo 1
มุมมอง 1984 หลายเดือนก่อน
Wimbo Kwa sauti ya Randa 2 - Mohammed Kombo 1
Nyota Mohammed Kombo
มุมมอง 714 หลายเดือนก่อน
Nyota Mohammed Kombo
Tukienthi Kibajuni
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
Tukienthi Kibajuni
Waateni Wanituyue Mohammed Kombo
มุมมอง 564 หลายเดือนก่อน
Waateni Wanituyue Mohammed Kombo
Wimbo Kwa sauti ya Randa 1 Mohammed Kombo 1
มุมมอง 3564 หลายเดือนก่อน
Wimbo Kwa sauti ya Randa 1 Mohammed Kombo 1
Mazungumzo na Wazee Ngomeni interview
มุมมอง 5366 หลายเดือนก่อน
0:30 | Kujitambulisha 3:23 | Mapingani ya ndani na ya nje 4:53 | Mukhtasari wa mtoto anapozaliwa na malezi yake 9:02 | Sherehe za wakati wa kutahiri 18:22 | Harusi 20:51 | sherehe zingine katika ndoa: Msondo, Ndongwe, athari za Kirumbizi 24:11 | Hatari ya Harusi za kisasa 28:05 | Maelezo zaidi kuhusu harusi na mashairi 30:20 | Shairi mama akijifungua mtoto 34:46 | Lugha ya Kibajuni 36:32 | Mtu ...
Ngoma ya Vugo | Kikundi cha Makbul Siyu | Sehemu ya Pili
มุมมอง 6006 หลายเดือนก่อน
The Vugo dance is a traditional dance of the Bajuni community known for their rich cultural heritage, including unique dances, music, and oral traditions. The Vugo dance is typically performed during special occasions such as weddings, festivals, and other significant community gatherings. It involves rhythmic movements and is often accompanied by traditional Bajuni music and instruments. The d...
Vijana lazima tufunze jamii umuhimu wa kuhifadhi utamaduni wa kibajuni
มุมมอง 1266 หลายเดือนก่อน
Join Notolia as she advocates for the importance of preserving Bajuni culture among the youth. Reflecting on her journey, she discusses the initial challenges and how training has facilitated a deeper understanding and ease in cultural practices, particularly in the composition of traditional poetry. Notolia emphasizes the significance of passing down Lamu's cultural heritage to current generat...
Vave Performance Courtesy-Mzee Shigoo
มุมมอง 3257 หลายเดือนก่อน
Vave Performance Courtesy-Mzee Shigoo
Ngoma ya Vugo | Kikundi cha Makbul Siyu | Sehemu ya kwanza
มุมมอง 7K7 หลายเดือนก่อน
The Vugo dance is a traditional dance of the Bajuni community known for their rich cultural heritage, including unique dances, music, and oral traditions. The Vugo dance is typically performed during special occasions such as weddings, festivals, and other significant community gatherings. It involves rhythmic movements and is often accompanied by traditional Bajuni music and instruments. The d...
Tujivunie kuwa wabajuni popote pale tunapokwenda | Said Hassan
มุมมอง 1577 หลายเดือนก่อน
Improving our culture is crucial as it is gradually fading away. The success of this project has been remarkable, instilling in us a deeper understanding of our culture. Previously, we had a superficial knowledge of our traditions, but this initiative has allowed us to delve deeper. For instance, I didn't know the recipe for Wali wa Boru, but through this project, I've learned it and explored o...
Lugha na vitabu vya kibajuni vitambulike kama vile vya jamii zengine | Fuad Aroi Salim.
มุมมอง 897 หลายเดือนก่อน
"I wrote these books because I want my language to grow, flourish, and for us to be recognized within our community just like others. Our writing will inspire others to realize that this language is worthy of their articles and books, as we are the pioneers. Many will rise, overcoming the fear that this language is not recognized, and they will promote it further, bringing benefits to the commu...
Preserving Bajuni Language | Emily Njeru - KNATCOM
มุมมอง 837 หลายเดือนก่อน
Preserving Bajuni Language | Emily Njeru - KNATCOM
Interview with Tom Porter British Council Country lead
มุมมอง 757 หลายเดือนก่อน
Interview with Tom Porter British Council Country lead
Dr. Masanori Nagaoka
มุมมอง 648 หลายเดือนก่อน
Dr. Masanori Nagaoka
Mazungumzo na Wamama Wakaazi wa Ngomeni
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
Mazungumzo na Wamama Wakaazi wa Ngomeni
Historia ya Wabajuni na ukandamizi wa Wabajuni - Athman Lali
มุมมอง 4838 หลายเดือนก่อน
Historia ya Wabajuni na ukandamizi wa Wabajuni - Athman Lali
Kibajuni kinapotea na ni lazima tukihifadhi | Yumnah Hamid
มุมมอง 3498 หลายเดือนก่อน
Kibajuni kinapotea na ni lazima tukihifadhi | Yumnah Hamid
Kibajuni kiendelezwe kupitia elimu | Yumbe Athman Mohammed
มุมมอง 1539 หลายเดือนก่อน
Kibajuni kiendelezwe kupitia elimu | Yumbe Athman Mohammed
Lugha yetu ya Kibajuni ni muhimu kutambulika kwa jamii | Mhe Bwana Mohamed Bwana MCA, KIUNGA WARD
มุมมอง 929 หลายเดือนก่อน
Lugha yetu ya Kibajuni ni muhimu kutambulika kwa jamii | Mhe Bwana Mohamed Bwana MCA, KIUNGA WARD
Lugha ya Kibajuni ipo hatarini | Dkt. Rukiya Swaleh
มุมมอง 1189 หลายเดือนก่อน
Lugha ya Kibajuni ipo hatarini | Dkt. Rukiya Swaleh
Uchezaji wa Randa Kibajuni | Tchundwa
มุมมอง 1.2K9 หลายเดือนก่อน
Uchezaji wa Randa Kibajuni | Tchundwa
Tunapanga kuiinua Lugha na tamaduni za Kibajuni | Omar Said | Katibu Mkuu Shungwaya
มุมมอง 5369 หลายเดือนก่อน
Tunapanga kuiinua Lugha na tamaduni za Kibajuni | Omar Said | Katibu Mkuu Shungwaya
The Historic Launch of Our First Ever Bajuni Language Books | Omar Said
มุมมอง 3179 หลายเดือนก่อน
The Historic Launch of Our First Ever Bajuni Language Books | Omar Said
Randa ni nini kwa Wabajuni | Shaban Yusuf
มุมมอง 1K9 หลายเดือนก่อน
Randa ni nini kwa Wabajuni | Shaban Yusuf
Vave ni nini kwa Wabajuni? | Shaban Yusuf
มุมมอง 1349 หลายเดือนก่อน
Vave ni nini kwa Wabajuni? | Shaban Yusuf
Hotuba kwa niaba ya Sultan wa Bajuni wakati wa uzinduzi wa Vitabu - Feisal Miji
มุมมอง 1629 หลายเดือนก่อน
Hotuba kwa niaba ya Sultan wa Bajuni wakati wa uzinduzi wa Vitabu - Feisal Miji

ความคิดเห็น

  • @KassimJuma-mu1zi
    @KassimJuma-mu1zi 21 วันที่ผ่านมา

    hengeren wabajun wa kwetu

  • @khadijahaji2970
    @khadijahaji2970 25 วันที่ผ่านมา

    Sisi Ngomeni tukiinuka hatujaona sherehe za kutahiriwa wala kikango harusini...huenda tukaona magunyani ataa hicho kirumbizi kilipotea

  • @yayeissa4128
    @yayeissa4128 หลายเดือนก่อน

    Wali wa buru, maa sha Allah ndio chakula chetu cha asili bajuni.

  • @AbushirMsaji
    @AbushirMsaji 2 หลายเดือนก่อน

    You have what it takes Mohamed, malenga wa wabajuni.

  • @mohammedyusuf8950
    @mohammedyusuf8950 2 หลายเดือนก่อน

    Raha walahi,ngoma bila balaa zozote

  • @saidaa9825
    @saidaa9825 3 หลายเดือนก่อน

    ‏ما شاء الله

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana,kandike kandikike abawa

  • @mohammedsiga7202
    @mohammedsiga7202 4 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah , Mungu awabariki sana kwa juhudi ya kuifadhi Mila ya Wabajuni .. kwa maoni ndogo ingekuwa vizuri sana panapotajwa mahali au muusika tunaoneshwa picha . Shukran 🎉🎉🎉

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 👌❤❤bajuni hoyeeee

  • @onyinyesam7559
    @onyinyesam7559 4 หลายเดือนก่อน

    Quite entertaining ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉⁷

  • @Ali-dv7ds
    @Ali-dv7ds 4 หลายเดือนก่อน

    Bora pia uwe ungekuva hunena kibajuni hapo

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 5 หลายเดือนก่อน

    Nice ❤

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 5 หลายเดือนก่อน

    Hii audio ilipachikana kwa Mzee Shigoo,siyo kuwa nimzee Shigoo aimbae.@ahmafathiya4804

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah asanteni ndugu wa chundwa kwa kuhifadhwi tamaduni zetu mashallah

  • @fathiyasalim2662
    @fathiyasalim2662 6 หลายเดือนก่อน

    Madam Rukiya

  • @Ismailguzel-yp8cr
    @Ismailguzel-yp8cr 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda kabila langu lakibajuni

  • @Ismailguzel-yp8cr
    @Ismailguzel-yp8cr 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 7 หลายเดือนก่อน

    She soo cute and confidence.❤

  • @ahmadfathiya4804
    @ahmadfathiya4804 7 หลายเดือนก่อน

    Ni Tora huyooo lkn sishigoooo

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 7 หลายเดือนก่อน

    Emamee vave ndoo univave nami.

  • @mahabubamahabuba714
    @mahabubamahabuba714 7 หลายเดือนก่อน

    kwamajina haa'ah sikibajuni kibajuni ni ina langu ni fulani sio kwa majina naitwa fulani

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaaallah kwa masfairi hata mm Napenda sana kughani nashairi

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 8 หลายเดือนก่อน

    Utamaduni wetu old is gold

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 8 หลายเดือนก่อน

    Kutahiriwa kwa udogoni ni mabadiliko,tunaweza kusema ni modern Bajuni culture. Lakini zamani ilikuwa mtoto nimpaka afika miaka kumi na nne mpaka kumi na sita. kwa sababu tatu,moja ndio mtoto hata weza kulala na mwanamke kwasababu atakuwa aona haya vile hajatahiriwa na ni aibu. pili nimtoto aweze kusikiza uchungu iwe nifunzo la kuvumilia uchungu wahali ya juu,sababu hakukuwa na kufisha. Tatu ilikuwa ndio njia ya kuweza kumwelewa kama huyu mtoto ataweza kuvumilia uchungu ama hataweza ndio anajulikana kama ataweza kupewa majukumu yanayo hitaji uvumilivu,na ndio pia kujulikana kama atakuwa shujaha ama hatakuwa shujaha. Mimi nilitahiriwa nikiwa miaka kumi na nne nikapitia hii ritual.

  • @hanifphysique5477
    @hanifphysique5477 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee shigo mashallah

  • @hanifphysique5477
    @hanifphysique5477 8 หลายเดือนก่อน

    Shiiivu ni kitunu Cha lali na bunu Vachu va humunu Vataelewaani

  • @hanifphysique5477
    @hanifphysique5477 8 หลายเดือนก่อน

    Niwene nteedhi kwenye kirumbiiizi simbo haiweezi naye huchambiiia Eeee mwana mwalime nyuka ukaliime ntonyi atoome ndio kadhi dhaavo.

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa tabidi nikutumie shairi la BARUWA KWA VABAJUNI Profesor nililo liandika 2021,a letter to the Bajuni Community.

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 9 หลายเดือนก่อน

    Kuchema mwichu-kukata msitu Kupisa Tange-kuchoma msitu uliokatwa na kukauka kuwa tayari kuchomwa Msitu uliokatwa ukakauka kuwa tayari kuchomwa huitwa TANGE. Kibajuni Kiswahili 1:Kuchema Kukata 2:Mwichu Msitu 3:Kupisa Kuchoma 4:Tange Msitu uliokatwa na kukauka.

  • @mohammedkombo4591
    @mohammedkombo4591 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana,bado vave iko hai.Yataka kuhifadhiwa bila kupotezwa wakati.

  • @HassanMusa-q4x
    @HassanMusa-q4x 9 หลายเดือนก่อน

    Tamaduni ndhuri ndha ma babu dhechu valikueko dhamani

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 9 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi wazee wetu