1 . UTENGENEZAJI WA SCHOOL CHAKI by Gawaza Brain

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Karibu sana Mjasiria mali katika kutengeneza chalk nadhani wengi sana wana fahamu kuna umihimu mkubwa sana katika utengenezaji wa chaki, kwa sababu zinatumika sana katika sehemu mbalimbali za ujasiriamali.

ความคิดเห็น • 17

  • @khaleedmussa6786
    @khaleedmussa6786 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera san mkuu kazi nzuri...
    Hiko kiloba cha material kinaitwaje mkuu

  • @estertemu6212
    @estertemu6212 ปีที่แล้ว

    Nice napenda kutengeneza Sina vifaa

  • @zuelyngimba9973
    @zuelyngimba9973 2 ปีที่แล้ว

    Habari. Samahani hizo mashine za kutengenezea chaki ni sh ngapi

  • @alfredshabani6045
    @alfredshabani6045 ปีที่แล้ว

    Naitaji kupata mashine ya kutengeneza chaki

  • @yuzingayoub6391
    @yuzingayoub6391 2 ปีที่แล้ว

    Mashine za chalk zinaghalim kias gan

  • @jean-baptistamosescumudia1809
    @jean-baptistamosescumudia1809 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila serious vifaa vya kupakia ni ghali sana jamani, hata kiwanda changa sijui kama kitakua

  • @jean-baptistamosescumudia1809
    @jean-baptistamosescumudia1809 3 ปีที่แล้ว +1

    Je andika gypsum inafaa?

  • @meshackgardiel6894
    @meshackgardiel6894 5 ปีที่แล้ว

    Somo zurii ila tumia lugha ya kiswahili naona ndo unaiweza zaidi

  • @wazochatta6818
    @wazochatta6818 6 ปีที่แล้ว +1

    Tumia Kiswahili ambacho una uwezo nacho, itapendeza sana.

    • @gawazabrain
      @gawazabrain  6 ปีที่แล้ว

      Kwan nimetumia ..kiswahili nisicho kiweza, mzee au una sikilizia nn mzee!

  • @habibmohamed4766
    @habibmohamed4766 4 ปีที่แล้ว

    Mohamed lengo lako haswa ni nini ni kututangazia biashara yako au ni kutufundisha na sisi tujue kutengeneza chaki?

  • @elkanakilumbe
    @elkanakilumbe 5 ปีที่แล้ว

    Kuna haja gani ya kuweka video wakati hakuna vitendo.

    • @gawazabrain
      @gawazabrain  5 ปีที่แล้ว

      Una fikiti ni rahisi kama una kunywa maji au sio, pili ulitakiwa unisapot na sio kuniponda mbna ww hujaweka video tuone.
      Video waliolipia ndo wanapata
      Shukran kwa kunifatilia

    • @elkanakilumbe
      @elkanakilumbe 5 ปีที่แล้ว

      Gawaza Brain ungesema kuna kulipia hakuna ambaye angekulaumu....pia kama customer care sidhani unaweza kukasirika kwa japo dogo kama hilo. Sorry kama umeweza tofauti.
      Kama umeona swala ni gumu kulielezea kupitia video. Try the easiest way....but tupo pamoja anayekuambia ni mzuri kuliko anayekaa kimya

    • @neemaaron1096
      @neemaaron1096 5 ปีที่แล้ว

      Gawaza ukipiga sim inappkelewa na mtu mwingine kwani unamaanisha nn.