Naijua hyo family vyema tu hyo hakuwahi kuwa mfnyakazi ila ni mwanamke aliye kuwa akiishi na marehemu vizuri na ndie alimuuguza Kwa mda wa miaka 3 na ndie aliyekuwa anakuja kutoa taarfa kazin pindi marehemu anaumwa hao wanae na ndugu hawakuwepo ila ni nitamaa tu za mali ila walipaswa kumshukutu huyu mama sio kumdhalilisha ana haki ya kuishi kwake na kupata mirathi
Hapo hamna kitu Huna ndoa huna mtoto dada utabaki kuwa mtumwa wa mapenzi tu nakama ulikua unafanya mapenzi kisiri siri imekula Kwak, Nainaonesha baba alikua anajiiba na ww dada ungekataa
Pole dada mwenzio nilijitahidi nikaingia kwenye ndoa na watt wa mme wangu hawajui kama mzee wao ameoa lakn chet cha ndoa ninacho na hv mzee ananisimamishia mjengo sina hata wasiwasi akizima leo tu ushahidi ninao na ndugu wa mwanaume wananifaham japo siku ya siku huwawanabadilika lakn mm maisha yanaenda
Huyo mama atimue makini tuuuu hana urithi hapo.. kwani kaolewa..???? Hata kama aliishi nae miaka ngapi kama hajaolewa hakuna kurithi.. pila hatambuliki kifamilia alafu ni mwanamke tuuuuuu kaja kama mfanyakazi kwa hyo atimue kama mfanyakazi aache tamaa ya pesa..!!! Haogopi Mungu huyo dada.utajuw mwenyewe km ulikua mwanamke.
Nyumba umeikuta ,watoto umewakuta cheo chako Dada mlez ,mwenye nyumba kafa unadai uridhi km ulikua unamegwa kisir siri imekula kwako au ndio unadai kulipwa shahawa ,jitahid utapata miradhi
Aishaha Kondo inawezekana walimjua kabisa kama mkewe ila issue ya uroho wa Mali tu,watu wanawakana mpaka watoto kwa ajili ya Mali,ata uyo mtoto wa Marehemu atadhulumiwa
Washenzi watoto wote wanaozuia w ababazao kuoa ilihali Mama zao wamekufa,mm nimeolewa namtu aliefiwa naaliwaambie wanae wakamjibu hatumtakihuyo Mama wakaungana namashangazi kunipiga vita,tuaishi vibaya.
Huyo mdada alikuwa mchepuko wa huyo mzee kabla ya hata mama kufariki. Alipoletwa kazi alikuwa na mapenzi ya siri na huyo mzee. Ndio maana anakwamilia. Apewe tu shea yake roho safi. Mzee hakutaka kuwa wazi..nakwani niwaulize...mwanadada gani wakazi amaweza kaa kazi kwa mda huo wote? Karibu miaka kumi? Ni mke hapo.
mbn huyo mtoto anaita mama mara dada apo kuna kitu gani?? na kuishi na mtu saidi ya miezi 6 unatambulika ni mke na cyo lazima ndoa tu api patamu dada kaza apo apo uctoke😂😂😅😅
Na huyu kijana anamuita mama alafu ghafla anastuka, mtu alifiwa mke mwaka 2009, mdada akaishi hapo tangu mwaka 2012 mbaba hakuoa tena miaka yote. Lakini sheria za Tanzania wanasemaga ukiishi na mtu zaidi ya miezi6 huyo ni mkeo. Mdada ana hadi funguo za chumba na dokumenti kuna kitu hapo.
Tatizo mpaka yupo na docomenti itakuwa huyu baba alimpa huakika sema alimwambia usiseme kwanza ila tutakuja tambulisha sasa yule baba ndio hivyo kifo kimemkuta mambo yalikuwa hayajatimia kwamtizamo wangu alikuwa mke kweli hawezi kurupuka tu.
jamani haya mambo tujifunze,tusiishi bila ndoa au ushahidi,utabaki mtumwa.cha msingi huyo mama angekuwa mstaarabu angekuwa mpole tu angepewa kidogo cha kuanzia maisha.kwani Dada wa marehemu walikuwa wanakaa WAP hadi watake kukaa halo sasa.
Nyie mnaemtukana huyu dada mnakosea bwana hamuwezi jua chini ya kapeti kuna nini huyo dada sio mjinga kuanza kudai mirathi hamuwezi jua walikuwa wamepanga nini na huyo baba alimwambia nini wakati wa uhai wake bwana
sheria ya tz ukiish na mwanamke nyumban kimapenz kwa miaka yote iyo inaesabka n mke halal na anaulc wake, aijalshi familia inamjuwa au aimjui lakn serkal itamjuwa2
Nyinyi mmezubaa fukuzeni tena kwa kumpiga mpumbavu mkubwa, anataka kuwatapeli hilo lidada la kazi tapeli, fukuzen wacheni maneno mengi, hata kwenye kanga yapo? Lifukuzeni haraka Sanaa tena mnamchekewesha pumbavu Nyinyi, hata wewe toto jinga kubwa
we nae walewale kwani MTU mzima hawezi kuwa chizi,yan we nae hata ufikirii alikuwa wapi kipindi mzee yupo hai na hata kama wakienda mahakamani hawezi kushinda cz hakuna ushahidi wwt unaoonesha kuwa ni mkewe
ulikua mke ukavumilia kuitwa Dada wa kaz nyooooo huna haya c mmpige tu akafie mbali mshenz huyo kwel mchepuko sio diliiiiii umekaa tu unatumika ndg hawakujui watoto wanajua ni h gel umerizika tu
Mapepo mengine ndo haya, na hii mizee ya kisukuma Mungu anaiona unaingiza mwanamke ndani anajimilikisha kila kitu unasahau watoto mwisho wa siku kunakuuana tu
Lakini gea nakushauri tu nimefatilia malalamiko mengi sana kwenye ytibu kila mwenye malalamiko azungumze ajieleze sikiliza kila upande sio upande mmoja
Ndio mkomage kuishi bila ndoa mungu alishakataa zinaa
Khaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂Dunia hii jaman hiishiw mambo Kila. Kukicha 👌👌👌 mungu wee nipe uhai niyaone mengi mie
Ukinipenda nipende hadharani mapenzi ya simu na siri na mwachia hamisa mobeto
😀😀😀
🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣
Wewe dada umenifanya nikacheka sana ila ni kweli haya mapenzi ya siri na sim mwisho wake ni mbaya sana
Kweli kabisa hakuna mapenzi ya Siri
Well said
😂😂😂😂😂 Dada wa kazi nomaaaa
Gear mm maombi Yangu ungekuwa ukitoa habari bas ziwe zinaonekana laivu kuliko sauti tu
Mnmh🙌🙌
miaka yote hiyo alikuwa wapi ?hakujuwa km kuna kufa?kwann hakumuambia mwenywe marehemu amtambulishe mapema kwa nduguze?
Hapo sasa
Aende wapi sasa
Naijua hyo family vyema tu hyo hakuwahi kuwa mfnyakazi ila ni mwanamke aliye kuwa akiishi na marehemu vizuri na ndie alimuuguza Kwa mda wa miaka 3 na ndie aliyekuwa anakuja kutoa taarfa kazin pindi marehemu anaumwa hao wanae na ndugu hawakuwepo ila ni nitamaa tu za mali ila walipaswa kumshukutu huyu mama sio kumdhalilisha ana haki ya kuishi kwake na kupata mirathi
Trace phne msaidie basi
Trace phne Mungu atamlipa
Hakuna mwenye haki ya kurithi ispokuws watoto na mke halali wa ndoa.. hata kama alikaaa nae miaka 20 na kumwuguza pia hana haki ya kurithi.
Ungejaribu kumsaidia vizuri kuwaelewesha ndugu kama alikuwa mke kabisa
Ungejaribu kumsaidia vizuri kuwaelewesha ndugu kama alikuwa mke kabisa
Huyu dada jamani kweli maisha magumu
hahaaaaaaa dunia simama mie nipiteee
Heee
YEYE HAKUA MKE BALI MALAYAAAAAAA!!! NI TOFAUTIIIIIIII
Mmm uyu nae mdada ajitambui kwaiyo miaka 10 unaitwa dada wajazi haya tuseme baba alikuwa anajiiba kwa nini ukubali kutumika kw mtu
Hapo wajiiongeze tuu...marehemu alikuwa ana pita kidogo kidogo
Shakila Masoud kujiongeza lazima ila hawawezi kumkubali Sabbath hwamtambui
Hapo hamna kitu Huna ndoa huna mtoto dada utabaki kuwa mtumwa wa mapenzi tu nakama ulikua unafanya mapenzi kisiri siri imekula Kwak, Nainaonesha baba alikua anajiiba na ww dada ungekataa
Kama nimke sawa lkn kama nimwanamke tu akilala nae asepe tu😂
Nyie hamjui sheria hata kama huna ndoa ukishakaa na mwanamke miezi mitatu ni mke wako hihaijalishi mliambiwa au hamkuambi kwani mjirani wanamjua.
Mmh wacha mm niuze mkaa nipate pesa yangu kuliko mambo yakutaka vywamalehemu
Pole dada mwenzio nilijitahidi nikaingia kwenye ndoa na watt wa mme wangu hawajui kama mzee wao ameoa lakn chet cha ndoa ninacho na hv mzee ananisimamishia mjengo sina hata wasiwasi akizima leo tu ushahidi ninao na ndugu wa mwanaume wananifaham japo siku ya siku huwawanabadilika lakn mm maisha yanaenda
Hongera dada na muombe mungu akuepushe na tamaa urizike na haki yako
Si wewe ulikuwa siri basi endelea kuwa siri....
Hahaha
Kwa kwel
Mgeni japo masufuria tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Njaa hizi jamani hahaha 🙏🙏🙏
Huyu MAMA ni Tapeli, huwezi kujihalalishia Mali KWA urahisi wa mapenzi. HANA NDOA. TAPELI TU.
Huyo mama atimue makini tuuuu hana urithi hapo.. kwani kaolewa..???? Hata kama aliishi nae miaka ngapi kama hajaolewa hakuna kurithi.. pila hatambuliki kifamilia alafu ni mwanamke tuuuuuu kaja kama mfanyakazi kwa hyo atimue kama mfanyakazi aache tamaa ya pesa..!!! Haogopi Mungu huyo dada.utajuw mwenyewe km ulikua mwanamke.
Imekula kwake huyo dada wa kz ,yaani Bora angeomba chake kabda Mzee hajafa
tujifunxe kutokujenga ktk viwanja vya familia
Nyumba umeikuta ,watoto umewakuta cheo chako Dada mlez ,mwenye nyumba kafa unadai uridhi km ulikua unamegwa kisir siri imekula kwako au ndio unadai kulipwa shahawa ,jitahid utapata miradhi
Frida Kaniki hahaaaa anataka mshahara wa kumhudumia baba yao
Huyu hakua mfanyakazi huyu alikuwa hawala wanje toka mkewe akiwahai alipo ona mkewe kafa akaona amsogeze karibu kisiri
Nakubal maneno yako dia
Ee makubwa
Aishaha Kondo inawezekana walimjua kabisa kama mkewe ila issue ya uroho wa Mali tu,watu wanawakana mpaka watoto kwa ajili ya Mali,ata uyo mtoto wa Marehemu atadhulumiwa
Huyu mfanyakazi hana akili maana kazini kwa uzinzi wake sasa anadai nini malipo yake ni zinaa
Washenzi watoto wote wanaozuia w ababazao kuoa ilihali Mama zao wamekufa,mm nimeolewa namtu aliefiwa naaliwaambie wanae wakamjibu hatumtakihuyo Mama wakaungana namashangazi kunipiga vita,tuaishi vibaya.
Huyo mdada alikuwa mchepuko wa huyo mzee kabla ya hata mama kufariki. Alipoletwa kazi alikuwa na mapenzi ya siri na huyo mzee. Ndio maana anakwamilia. Apewe tu shea yake roho safi. Mzee hakutaka kuwa wazi..nakwani niwaulize...mwanadada gani wakazi amaweza kaa kazi kwa mda huo wote? Karibu miaka kumi? Ni mke hapo.
Kweli wadada wa kazi no shida
Inawezekana alikua mama mwnye nyumba lkn hayakuekwa hazaran nauondoubaya
Baba ndo anamakosa uwez juwa labda alikuwa anatembea naye ila uyo baba aliogopa kusema
Upo sahihi alitembea nae na hakumuoa kisheria.basi sio mke wake wa halali
Yeye ni dada wa kazi so kama alitaka haki asingekubali kuitwa dada wa kazi aache utapeli
Hawa ndugu wanameuka lkn huyu mdada alikuwa anaishi na msrehemu na walijua wanataka tu kumdhulumu
jaman wasukuma muongee kiswahili vizuri
Omary Mbalala 😂😂😂😂😂😂😂😂umenishinda tabia
Punguzeni chuki na wasukuma makabila kibao yanaongea kiswahili cha kilugha we umewaona hao tu?? Acheni ukabila mxiiiuuuuu
Omary Mbalala hhhhhhh wew omary ew
Omary Mbalala nimecheka sana
Hy mama vepe njaa inamsumbua tu
Sio njaa uyu ni awala wa marehem akua mke Sema uyu dd akili hana
Kwann asiseme siku zote
Duh
Mshenzi sana kwani uliolewa au wajulikana kama mke..? Timua huko.
Nimasikitiko sana yawezekana mzee alimtengezea mazingila mapema mke
Mpe chochote kibinaadam mpeni kamhudumia baba acheni dhulma ubaya alofanya kafanya siri
mbn huyo mtoto anaita mama mara dada apo kuna kitu gani?? na kuishi na mtu saidi ya miezi 6 unatambulika ni mke na cyo lazima ndoa tu api patamu dada kaza apo apo uctoke😂😂😅😅
No sheria inasema miaka miwil dear sio miez cta
Nimkosa haya 😆😆😆
Na huyu kijana anamuita mama alafu ghafla anastuka, mtu alifiwa mke mwaka 2009, mdada akaishi hapo tangu mwaka 2012 mbaba hakuoa tena miaka yote. Lakini sheria za Tanzania wanasemaga ukiishi na mtu zaidi ya miezi6 huyo ni mkeo. Mdada ana hadi funguo za chumba na dokumenti kuna kitu hapo.
Wampe kinua mgongo chake anahaki kama ulivyosema
mshamba huyo
mtoto wamarehemu akasema MAMA tena akasema DADA aisee kajichanganya 🤣 laki huyo mwamke kisheria hanachake anajisumbua kuyatafuta matako ya nyoka
Sitaki Siri Mimi ndoa Yangu huwa nataka wazi
Wacheni kumzulumu huyo dada alikua ni mke wake nyie mlikua wapi msimuhudumie baba yenu?, hata muende wapi, namwambi huyo dada asiondoke. Wala ndoa sio hoja.
Ana haki maadamu aliishi nae kuna sheria si lazima ndoa nadhani hata sheria iyo ipo
@@leokamil2075 ila jua kwamba alikuja naakatambulisha kama mdada wa kaz sio mke ndo sababu iyo
tujifuze kujitafutia vyakwetu sio cha ulisi
Azisa Azisa kabisa
Azisa Azisa kweli
Kuna umuhimu wote kujjjuza elimu ya mirathi
Tatizo mpaka yupo na docomenti itakuwa huyu baba alimpa huakika sema alimwambia usiseme kwanza ila tutakuja tambulisha sasa yule baba ndio hivyo kifo kimemkuta mambo yalikuwa hayajatimia kwamtizamo wangu alikuwa mke kweli hawezi kurupuka tu.
Mcheps kachachamaa!
Itakuwa vita silinimbaya sana wakat mwingne
Kwanza alikua mchepuko baada ya mke kufa akaletwa kama mfanya kazi mwee mm sikubali nakuchuna tuuu
Anawazimu huyo mama angekuwa mke wangejua wote ndugu hata angekuwa hawara watt wangejua tu
Hahahah halooo ukistaajabu ya musa.. sasa mke wa baba nani anakujua shenzi we?? Ninge mchapa mpaka akashangaa
We tapeli tuu kwa nn ukubali kuitwa dada wa kazi wakati umeolewa....
Anatisha
Hivi yaliishaje na kama hakuna ndoa basi hana chake
Hapa kuna tatizo maherezo ya dada wa marehem kaongea vingine mtoto vingine.dada kasema kwenye kikao ajaongea kitu mtoto kaongea
Ndo hasara za kuwa mchepuko'dada tafuta wako uolewe pumbavu
Umeonaaaa
Nikweli
hivi ichi kipindi kina msaada gani kwa jamii? hasa hao wenye matatizo??
Baba alikula kimya kimya nifueeee nguooo tu Ina huuuuu
Hahahahaaa uwiii kazi kwelikweli
kawapata mazoba
jaman yule mtu mzima awez kufanya kaz za ndan alikua mwanamke wake tu tena hata jamii inaona
jamani apishe hapo yy alikuwa anampumzisha mzeee tu
jamani haya mambo tujifunze,tusiishi bila ndoa au ushahidi,utabaki mtumwa.cha msingi huyo mama angekuwa mstaarabu angekuwa mpole tu angepewa kidogo cha kuanzia maisha.kwani Dada wa marehemu walikuwa wanakaa WAP hadi watake kukaa halo sasa.
miladi ayo
huyo basi alikuj kam hawara ndo faid ya umalay mshenzi bas angedili mapem agaiwe
Yeye alikuwa analala na Huyo baba mda wrote aliopo hapo
Inavyoonekana huyu mama nikweli huyu baba alikuwa mumewe ila huyo baba alimwambia usiseme sasa kifo ndio kimeumbua myaka kumi mingi nimke
Yeye kwann afichwe kam madawa ya kulevyaa
Sasa dada wa kazi aweke document,ni mke wake mnataka kumdhurumu
Nyie mnaemtukana huyu dada mnakosea bwana hamuwezi jua chini ya kapeti kuna nini huyo dada sio mjinga kuanza kudai mirathi hamuwezi jua walikuwa wamepanga nini na huyo baba alimwambia nini wakati wa uhai wake bwana
Ata amwambie nn wakat hajaolewa Hana haki ya kurithi
Hana chake apo, sio mke halali
sheria ya tz ukiish na mwanamke nyumban kimapenz kwa miaka yote iyo inaesabka n mke halal na anaulc wake, aijalshi familia inamjuwa au aimjui lakn serkal itamjuwa2
Dastan Mangube Bila cheti cha ndoa sahau ata ukae miaka 1000
+Uredi Sheilah akna umuim sana apo mana kle kpo il serkal ikufaham na c kwasababu ya dn, na serkal iyo inakutambuwa ukiisha nae kwa mda
Kweli anahaki kisheria
Huyo hana chake,mkimlegezea tu itakula kwenu.jifanyeni mnahuruma.mwanga huyo.
kwa sheria ya Tanzania hiyo miaka aliyo kaa nae ni mke waangarie wampe hata robo inauma haya mambo yakuweka siri mwisho wa siku chali pole mdada
Sasha aisha jamani wewe INA maana ukikaa na house girl mda mrefu ndo mkeo????
Kweli ana haki kisheria maadam aliishi nae kuna miaka inatizamwa ni mingapi waliishi
Jamani sheria ya kuwa mke na mume ni kufunga ndoa na si vinginevyo hata Kama Mzee alikuwa anabinjuka huyo Hana haki maana hakuolewa
Kuna sheria ukiishi na mtu miaka sina hakika mingapi ila iyo sheria inampa haki kupewa urithi
Nyinyi mmezubaa fukuzeni tena kwa kumpiga mpumbavu mkubwa, anataka kuwatapeli hilo lidada la kazi tapeli, fukuzen wacheni maneno mengi, hata kwenye kanga yapo? Lifukuzeni haraka Sanaa tena mnamchekewesha pumbavu Nyinyi, hata wewe toto jinga kubwa
😂😂
Inawezekana ni mke wamfikirie huyo ni mtu mzima
we nae walewale kwani MTU mzima hawezi kuwa chizi,yan we nae hata ufikirii alikuwa wapi kipindi mzee yupo hai na hata kama wakienda mahakamani hawezi kushinda cz hakuna ushahidi wwt unaoonesha kuwa ni mkewe
at a kama alikuwa mke je alijenga naye, maana at a kuzaaa ajazaaa wala kujenga ajajenga naye Leo anataka urithi
pumbavu zake uyo
Anawazimu alikuja kufanya mpumbavu akatafute bwana
makubwa kauze mkaa dada
ulikua mke ukavumilia kuitwa Dada wa kaz nyooooo huna haya c mmpige tu akafie mbali mshenz huyo kwel mchepuko sio diliiiiii umekaa tu unatumika ndg hawakujui watoto wanajua ni h gel umerizika tu
Mapepo mengine ndo haya, na hii mizee ya kisukuma Mungu anaiona unaingiza mwanamke ndani anajimilikisha kila kitu unasahau watoto mwisho wa siku kunakuuana tu
Lakini gea nakushauri tu nimefatilia malalamiko mengi sana kwenye ytibu kila mwenye malalamiko azungumze ajieleze sikiliza kila upande sio upande mmoja
Naamini hiyo rafiki yangu aliletewa mwanamke ndani akaambiwa huyu sister wangu mpaka sister akapata mimba siri ikatoka
Mmmh mtihani huo
Huyo alikuwa mke japo hawakufunga ndoa na watoto wanajuwa wameamua tu kumgeuka na ukimsikiza vizuri mtoto majibu unapata
H
Mchepuko
Shekha Hamed 😭 hata cheti Cha Ndola hana
sharon brown umeonaaee
sharon brown haposasa
Dada unapoteza muda wewe ulitambulishwa kama dada wa kazi na hayo mapenzi ya siri sasa yamekutokea puani hutaambulia kitu huna ndoa ya aina yeyote
Hawa ndugu wanameuka lkn huyu mdada alikuwa anaishi na msrehemu na walijua wanataka tu kumdhulumu