Pole sana kwanza kwa mumewe na huyo bint pia kwa familia ya bint mm nafikiri binadamu atunauwezo mbele ya mipango ya Mwenyezi kikubwa nikumwombea dada yetu mpendwa alale mahali pema Peponi Amina 🙏
Yani Mama Kafiwa Lkn Anatoa Maelezo Bila Hata Kukwama Kwama Jaman, Ni KweLi Mama Ake Huyo Au Shoga Ake??? Mama Mwenye Uchungu Wake Kweli Hata Hamu Ya Kuhojiwa Atakua Nayo??? Doh!!
Zuhra Halima niko wrong kivipi mm nimesema apo juu ikiwa kama mjamzito na ukafunga ndoa huku ukiwa mjamzito ndoa inakuwa si halali ila watu hufanya tu. Kidini inatakiwa mpaka mwanamke azae atoke arubaini kisha ndo aolewe na huyo mwanamme.
Ni kweli kabisa bi maryam mwanamke mjamzito hawezi kuolewa mpaka ajifungue swahaba wa pili wa mtume, Omary bin hathwab amesema ndoa haikubaliki mpk ajifungue, hl c jambo la kuingia kichwa kichwa.
Innallih wainailaih rwajiuuun Allah ampe kher ila mama apo hapana palikuwa hapana ndoa mtu akiwa na mimba ndoa haiswiii Kama ww ni muislam ila pole Kila nafsi itaonja mauti 😭😭😭😭
Ndoa ya kislamu kwanza Haiwi hivyo,kwa sababu watu webye kuozeshwa hawaruhusiwi kuonana faragha mbona mnageuza mambo ya mtume Mohammad (s.a.w) hao waliofungisha Ndoa hiyo ni haram mungu hakusema hivyo wary wanageuza dini,anyways mungu mwenyewe ndio yuajua.
Jamani Tuachane na kasumba , Kwanza uchunguzi ungefanyika ijulikane chanzo ni nn! huwo ndio utaratibu.hakuna cha kustaajabisha wakati madokta wangeweza kufanya uchunguzi zaidi na kupata jibu kamili na kuondoa hivi viulizo na kasumba zetu.
Hapa duniani kuna hatua lazima mwanadamu upitie kuzaliwa kufunga ndowa na kufa inasitkitisha sana kwavile mwenzetu amepata vitu viwili vyote kwa wakati mmoja
@@mwawiyaomari9957 inatakiwa ajue kwasababu dini yasema shekhe asiozeshe bint alie kua kwenye mahusiano. Ila wawe wametenganga kwa mda wa miezi 3 na siku 10 ili kujitakasa na zina alokua akifanya. Kwaiyo akiwa mja mzito kwenye huo mda watu watajua na hairuhusiki 😐
+Omari Ally mashekh wanaruhusiwa kufungisha ili wasiendelee kukaa hivo hvo wakizini mengine wanamuachia Mungu kwani adhabu ya kuchapwa viboko haipo nchini kwetu kama Saudia.
Pole sana kwanza kwa mumewe na huyo bint pia kwa familia ya bint mm nafikiri binadamu atunauwezo mbele ya mipango ya Mwenyezi kikubwa nikumwombea dada yetu mpendwa alale mahali pema Peponi Amina 🙏
innalillah wainailay rajuum. ..Mola ailaze roho yake peponi. ....subhanallah inauma sana
Poleni sana na msimba ndo hatma ya mja
Poleni sana
Innaa lillaah wainnaa ilayh raajiuun hio ndo hatma yetu waj sote, ila hio ndoa haikusih, Allah amfanyie wepec safar yake inshaallah
Kazi ya Mungu haina makosa. Tushukuru kwa yote
duuu pole xana familia kwa ujumla yapo meng yataongelewa ila mung amempenda. zaid kila mmoja ataenda kwa wakat wake mumxhukuru mungu kwa kila jambo
Poleni
😢😢😢😢😢😢mungu atusamehe atupe mwisho mkamilifu
Pole sana wahusika wote.
poleni sana
😭😭 ooh noo! so sad...shine on your way girl.mybe huyo mwanadada kawekewa sumu kwenye chakula.
Polen sana
Duh!!! Poleni
Innalillah wainna ilayhi rajiun.. Allah Atujaalie mwisho mwema
fatma Mrish
o
Mama mzazi nae mkavu hata siku tatu bado anaongea mwanzo mwisho bila ya kusita
Mungu amlaze pema peponi.
Duuu 😭😭😭
Kurusha miguuu mama ni roho iyo roho inauma Allah atupe mwisho mwema kwenye hiii duniyaaaaa tusijisahau wanadamu alotukataza Allah tusiya fanye
dah,hatari sana hiyo Mungu amlaze mahali pema peponi
Duu!
duuuu poleni ndg wa marehemu
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
Yani Mama Kafiwa Lkn Anatoa Maelezo Bila Hata Kukwama Kwama Jaman, Ni KweLi Mama Ake Huyo Au Shoga Ake??? Mama Mwenye Uchungu Wake Kweli Hata Hamu Ya Kuhojiwa Atakua Nayo??? Doh!!
mackson kinenge mwenzanguuuuu
mackson kinenge, hata zari hakuonyesha tofauti kwa kifo cha mamake. Ila MUNGU anawaona
Dee Wallance ausio
mackson kinenge
Allah awasamehe wanafamilia kwa kuifunga hio ndoa na marehemu Allsh ampe kauli thabit na sie tujifunzeni dini yetu tusifanya makosa
poleni
innalilai wainnalye rajiunn kazi ya Allah haina makosa japo ningumu kwa binadamu poleni familia
Alilishwa sumu jamani
mmm huyu mama jasiri kutililika gani kwenye vyombo vya habari mama mzazi hata siku 3 hazijapita
rip mungu amurehemu
Hiyo n kazi ya mungu haina makosa na majaliwa yana nguvu
Mmh huyo mama yake mzazi kweli?
Mmmhhhh polen kwa kweli, Allah awape nguvu jmn Mmmmmhh
duh poleni
Hapo iman za kishirikina tu bhna wamemnyonga maskin 😢😢
mama wa bi harus pole sana
kwani ilishindikana kufanyiwa uchunguzi kabla ya mazishi?
ikrissa idrissa hapo sasa sumu inahisika
JaMani kueni tu na subra mipango ya mungu
Kwa dini ya kislamu inatakiwa mpaka mtu azae ndipo afunge ndoa apo inasihi ikiwa kama mjamzito. Mungu amlaze pema peponi.
mariyam gharib obvious...ila ajali...imefika imefikaaaa...
mariyam gharib no you are wrong rudi kusoma korani vizuri mtoto haramu ambaye huzaliwa nje ya ndoa haitakiwi ingawa watu hukosea.
Zuhra Halima niko wrong kivipi mm nimesema apo juu ikiwa kama mjamzito na ukafunga ndoa huku ukiwa mjamzito ndoa inakuwa si halali ila watu hufanya tu. Kidini inatakiwa mpaka mwanamke azae atoke arubaini kisha ndo aolewe na huyo mwanamme.
maryiam ghayb b badilisha jina halikufaiii jina langu hilo
mariyam gharib tn
jamn inauma sana polen bt tuwen makini
Cathe Kijaz INASIKITISHA
Jaman naipa pole familia ya wafiwa na ndug na jamaa na marafik bwana ametoa bwana ametwaa,jina lak liimidiwe amina
uyo mama anaongea kama hajafiwa duu aise
Ni kweli kabisa bi maryam mwanamke mjamzito hawezi kuolewa mpaka ajifungue swahaba wa pili wa mtume, Omary bin hathwab amesema ndoa haikubaliki mpk ajifungue, hl c jambo la kuingia kichwa kichwa.
Issa Yusuf Mbawala ty
Innalilah wainalilah rajiun
au alikuwa na kifafa cha uzazi 😢😢😢
Ooh soo sad 😞
mmmmh inasikitisha
Innallih wainailaih rwajiuuun Allah ampe kher ila mama apo hapana palikuwa hapana ndoa mtu akiwa na mimba ndoa haiswiii Kama ww ni muislam ila pole Kila nafsi itaonja mauti 😭😭😭😭
innalillah wainnailah raj'un Allah ndio mjuzi
Yametokea tayari R I p bi arusi poleni familia
💔
r.i.p Zai
Mtoto ana zaliwa leo na ana kufa leo hiyo hiyo kifokipo jamani ila kutangulia ndo kunauma inna lilah wainna ilayh rajuun
Drama kutangulia kufa sio ishu, shida ni kama amali ni nzuri ulizonazo kama masahaba! ukiwa hvyo unaombea uwahi kufa ili ibilisi asikuvute .
yesu wangu!
poleni sana yote mipango ya mungu
maskini au alilishwa sumu?
r I p Dada
Ndoa ya kislamu kwanza Haiwi hivyo,kwa sababu watu webye kuozeshwa hawaruhusiwi kuonana faragha mbona mnageuza mambo ya mtume Mohammad (s.a.w) hao waliofungisha Ndoa hiyo ni haram mungu hakusema hivyo wary wanageuza dini,anyways mungu mwenyewe ndio yuajua.
Jamani Tuachane na kasumba , Kwanza uchunguzi ungefanyika ijulikane chanzo ni nn! huwo ndio utaratibu.hakuna cha kustaajabisha wakati madokta wangeweza kufanya uchunguzi zaidi na kupata jibu kamili na kuondoa hivi viulizo na kasumba zetu.
jamany inasikitisha sana
duh
Allah amsamehe makosa yake
jamani turudini ktk kumtii mungu kwani vifo vya gafla siku hizi vingi sana
Sote niwa ALLAH nakwake tutarejea apumzike kwa amani
Vip kuhusu mipango ya mungu
innalillah wainna ilaih rajiun.mbele yetu nyuma yake aallah ampe mja yoyote mahali atakapo jichagulia
Hapa duniani kuna hatua lazima mwanadamu upitie kuzaliwa kufunga ndowa na kufa inasitkitisha sana kwavile mwenzetu amepata vitu viwili vyote kwa wakati mmoja
duh!!!
inalilahi waina ilaihi rajiuna
May she rest easy
Ndoa za siku hizi, mwanamke anaozeshwa akiwa mjamzito?mashekhe muandae majibu ya kuja kumpa ALLAH aisee!!!
Ge Ja kama hajui huyo sheikh kwamba anayemuozesha ni mjamzito atafanyaje?
Ge Ja kama hajui huyo sheikh kwamba anayemuozesha ni mjamzito atafanyaje?
@@mwawiyaomari9957 inatakiwa ajue kwasababu dini yasema shekhe asiozeshe bint alie kua kwenye mahusiano. Ila wawe wametenganga kwa mda wa miezi 3 na siku 10 ili kujitakasa na zina alokua akifanya. Kwaiyo akiwa mja mzito kwenye huo mda watu watajua na hairuhusiki 😐
Ge Ja awa mashee njaa zinawasumbua inna lillah
@@mwawiyaomari9957 lazim mzazi wakium amwambie shekh kuwa mtot wangu nimjamzito kwaiy kunadua unaombewa kabla ya ubani
Jini hilo
Mwenyenzi mungu mkubwa, iyo ndoa haram. Mwenyenzi mungu anatupa mitihani sisi waislam kitu asichotaka sie twakifanya. Hiyo si ndoa ni ndoano
Daah! !!! Zai Maskini umefariki dunia 😩
karogwa . watu wabaya! peloni sana kwa wafiwa
mungu wangu jambo la ajabu sana
Watu sikuizi awafatishi dini mtu anamimba alafu anafunga ndoa sijui kwa dini gani
Kikobe Kikobe hata kwa wakristu hairuhusiwi wanalazimisha, wanafanya ndvyo sivo!
Zena Salumu tatizo mashekh zetu awaulizi wao wanapenda ela tu
Jamn inauma sana ak,,
+Omari Ally mashekh wanaruhusiwa kufungisha ili wasiendelee kukaa hivo hvo wakizini mengine wanamuachia Mungu kwani adhabu ya kuchapwa viboko haipo nchini kwetu kama Saudia.
ally gibu wapi sheria gani inasema ivyo sheria ya mungu inasema wasifungishwe ndoa mpaka ajifungue
R.I.P ama walitaka ku toa hiyo mimba?
au ni kwa vile aliolewa na mimba si unajua tena dini waislamu
sidhani kama kuna kitu kinaitwa ndoa haram yote mipango ya mungu
Allen Gifford uctohe hukum wakati wwe ujui nani hatakuhukumu sema Alihamdulilah Allah hawape subira ndugu wamarehemu
Sasa huo ujauzito ni wa huyo mume au?
ASHA GUNI :
dini ya kiislam inasema waoeni bila kuzini nao......
Ummi umenena kweli!
R.I.P
Du hakuna kijucho kweli hapo
Mariyam G unanifurahisha hilo ndo jina langu halisi.
waislam wakileo sijuwi walivyo huwezi muozesha bibi harusi akiwa pregnant haiswihi kabisa ila myaka ya leo ndoa yafungishwa bila shaka
asa huyo mama anaongea kama vile hajafiwa mi hata nisingeweza kuongea huyo wamemwekea dawa ak,,nakama siyo hivo kunajambo kubwa sana hapo
Nilihudhuria huu msiba aisee ila mazishi yalifanyika sinza
ni makosa kuowa mwanamke akiwa na mimba ndoa inakuwa haiswihi
Subhana Allah .mungu amlaze pema.na mauti ni haki yetu
poleni sana wahusika na mungu atawapa subra inshallah
😔😔😔😔😔
Eti kutoka kwenye kiuno kwenda chini....inaelekea muoaji ana bonge la mashine kachimba adi kitu ime paralyze.... 😭😭😭"huyo alipewa sumu mchana labda"
@@MiriamAbdallah Tunapenda sana kulaumu mashetani na majini kwenye matendo ya kibinadamu
inalillah wainalillah wajiun
Duuh
POLEN wazazi yoteyamungu
R.L.P pumzika kwa amani mbeke
yako
yuma yetu
winifrida joel RIP nasio RLP
PIA mm nakataa mtu kuolewa akiwa mja mzito ingawa cjasoma qurwan
ukibainikiwa jamaa kamtia mtto wako mimba umuoze wala usingoje ajifungue ila kama mimba c yake hafai kumuoa
duuuuu
Inalillah waina ilah rajiun pumzika kwa Amani
Mhmhmh
Wamempa sumu umbwa hao nachukia waafrica kama shit
Mambo mengine bhana hapo geya arekebishe hiyo ndoa ya kiislam kweli...af huenda kafanya nae tendo la ndoa kimakosa
Inalillah wainailahi rajiun