Kweli kabisa tutazidi kuliombea JESHI la Tanzania Na Mungu awatangulie mbere Sababu Congo iki kombolewa Afrika itakuwa na Amani Ee Mungu mwenye uwezo wote mbinguni na Duniani Watie nguvu wale wote wana moyo na upendo juu ya Nchi ya Congo uwa elekeze namna ya kuikombowa Amina 🙏🛐🛐
Mungu abaliki juu ya ukombozi huuu
Karibuni jeshi la tanzania ila kuweni makini sbb kongo bila ivyo munaweza kupoteza wengine askari.
Kweli kabisa tutazidi kuliombea JESHI la Tanzania
Na Mungu awatangulie mbere
Sababu Congo iki kombolewa Afrika itakuwa na Amani
Ee Mungu mwenye uwezo wote mbinguni na Duniani
Watie nguvu wale wote wana moyo na upendo juu ya Nchi ya Congo uwa elekeze namna ya kuikombowa Amina 🙏🛐🛐
Safi sana
Askari la Tanzania kufanya kazi yao vizuri DRC wasijihusishe na RUSHWA corruptions, bila hivo watakua wanajiweka hatarini ✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽
Kila lakheli MUNGU awatanguliye
Shukrani sana kwa niaba yao🙏🏾
UN waondoke DRC, wacongo hawafaidiki na ulinzi wa UN
Mbona hakuna saudi wanapoongea wanajeshi!!😂
Saudi ina tuhusu nini cc wa Tanzania 🇹🇿?? You just talking rubbish