Ndugu mtangazaji kama mnataka amani yakudumu, Suluhu ni hii: 1. Mujitenge na FDLR genocidaires kutoka Rwanda, 2. Muwape m23 haki zao nakurejesha wazazi wao kwenye hardhi Yao hapo Kivu. NB msipofanya haya msitegemeye amani kabisa! Watoto wanaozaliwa ukimbizini Kwa kambi, watakuwa wakali kuliko m23 yaleo
Kenya tuko locked
#habari
Hhh Sadc imepigwa yakutosha, kiuwezo Iko cini saana
Uyu pape ninani kwanza .shetani yamtu shoga atashahuri nani?
Ndugu mtangazaji kama mnataka amani yakudumu, Suluhu ni hii:
1. Mujitenge na FDLR genocidaires kutoka Rwanda,
2. Muwape m23 haki zao nakurejesha wazazi wao kwenye hardhi Yao hapo Kivu.
NB msipofanya haya msitegemeye amani kabisa! Watoto wanaozaliwa ukimbizini Kwa kambi, watakuwa wakali kuliko m23 yaleo