ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Can't believe it!I got the reason to buy air fryer now.Thanks alot
Wawoooo hiyo mashine lazima niitafte nmeipenda
Hiyo Ni nzuri Sana
Masha Allah Sana mazuri maandazi
Nice nimependa iyo mashine inauzwa kiasi gani na inaitwaje
Na chai ya maziwa iliyo kolea tangawizi fresh😋🤣😂
Mazuri sana ,yanavutia,he,naweza oka kwa jiko la makaa pia? Na kwenye oven pia?
Unaweza
Mambo ika hyo y kuchomea mandaz inaitwaje n ni tsh ngap? Nimeipendaa
Ahsante sana dada kwa hayo maelezo kuhusu kuoka maandazi. Yapatikane wapi hilo jiko?
😋😋 yanavutia hd raha, upate ya moto na chai ya maziwa
Thank you ❤
Karibu
Lazima ni choke na airfrayer be kwa oven haiwezekan?
😋😋
How much is this kodjek airfryer? & i wanna know if it is possible to bake some cupcakes on this thing
kama natumia oven inatakiwa nipake mafuta juu na chini ?
Napataje hiyo mashine ya kuchomea mandazi
Nauza 185000
😋😋😋😋😋❤❤❤❤❤asante mpenzi
Mamay asante sana najifunza
Maashallwah mungu akupe afya
Amira na kizungu yaitwaje?....na mbona hujaeka baking powder ama sio lazima
Amira kwa Kizungu yaitwa yeast
Hiyo flayer naipataje
Hello Ika hongera kwa kazi nzuri najifunza mengi kwako. Sasa naona kwenye airfryer chini ya maandaz umeweka karatasi je ni salama? Na umetumia karatasi gani kuweka
Hiyo karatasi inaitwa “baking paper”
Asant
Je inaweza kuchoma snack zote?
Oven haifai??
🔥❤️
Haika inauzwa Bei gani hiyo kitu
👌🥰🥰
@Ikamale, uliyageuza baada ya dk 10?