"Mawazo" Sehemu Ya 68 Thoughts Dr. Elie VD.Waminian''
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024
- Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
TH-cam : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2024
🔥🔥
Mawazo danganyifu ni hali yakutafsiri mambo tofauti na uhalisia.Woga kwa asilimia kubwa ni kuona kinyume ni kuchakata mambo isivyo.Kuona wabaya wako kila wakati,kutoweza kutafsiri mambo kwa usahihi na kwa kiasi.Kutawala kunaanza na mtu binafsi. Uhuru hasa ni hali ya kujitawala mtu mwenyewe, kutenda ipasavyo bila kulazimishwa.MKWELI NI KWAKE MWENYEWE siyo kwa wengine. Maisha yetu halisi ni leo na sasa. Tulivyoishi ni seti kamili yamaisha yasitushike tukapoteza uelekeo wa kuishi .KUSHUKURU ni kutambuwa kuwa sistahili kwa lolote.❤🎉.nimejifunza. Asante Chomoza, pongezi Dr Ellie.
Kwakweli Mimi nisipo tazama hiki kipindi siji ckiii powa kabisa hili ni somo KUBWA Sana Mungu awa bariki wote chomoza
Msaada mkubwa sana kwangu
mungu akubarikisana dr wew umekua mwanga wamaishayangu ❤
Mbarikiwe sana
Sauti ni tatizo team chomoza
God be with u 🙏
Sauti jaman
Uhuru sio kufanya hipasavyo bali nikutenda kwa hiyari yako pasipo ulazima,uhuru sio kutenda hipasavyo bali utakavyo. Asante chomoza
Mwenyezi Mungu awazidishie Neema na Baraka tele chomoza Tv na Dr ellie vd waaminian tunakushuru kwa mafunzo yako yamenijenga naishi kwa ku flow kama samaki kwenye maji nashukuru mno kwa platform hii Kila la kheri
Asante sana Baba ubarkiwe sana naendelea kupata chakula chenye mlo kamili. Shukran ni muhimu sana katka maisha yetu.
Mungu awabaliki sana
Mungu awabariki .... fresh insights. Asante
Dr ninaswali "ikiwa 99% ya mambo tunayoyahofia hayatokei,je vipi kama hiyo 99% ni matokeo ya kusikiliza HISIA na PICHA na SAUTI?". naitwa Adrian crishen ni mwanafunzi wako..barikiwa sana team chomoza.
Asante baba
Huyu ndiye mwalimu wangu Sasa,
Swali no 2 ,kama adui amejificha co obvious je? Unamaanisha uadui ni aina ya nishati ambayo imejificha inaweza tumia chombo/mwili/MTU wa karibu au mbali ili kukuzuia usipenye? Na nishati hiyo utegemea mfumo wa mawazo hasa wa watu wa karibu unaowaamini ,,na punde unapokuwa umegundua au umepata uwelewa kuhusu nishati hiyo kwa muhusika bas nishati hyo huondoka,,je ni kweli?
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿