VITU VYA KUFANYA SIKU YA INTERVIEW - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @elishajustine28
    @elishajustine28 9 วันที่ผ่านมา +8

    Waliokuja hapaa baada ya ajira za utumishi afyaa likes na comment😊😊

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani bradha kwakutulisha chakula cha ubongo hakika najivunia sana kufuatilia video zako

  • @moriceyona6578
    @moriceyona6578 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu Shukrani sana kwa kutuelimisha madini haya adimu.
    May God bless you abundantly. 🙏

  • @johntemba3638
    @johntemba3638 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nimejifunza sana

  • @ismailmathias147
    @ismailmathias147 2 ปีที่แล้ว +1

    Habari kaka Joel. Mimi ni Ismail Mathias, mwanafunzi kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam. Pia ni Rais wa Dar es salaam University Agribusiness and Natural Resources Economics Association (DUANEA). Nimejaribu kutafuta nimeshindwa kuwasiliana nawe. Naomba kuwasiliana nawe.

  • @Dijalosimwanza2002
    @Dijalosimwanza2002 2 ปีที่แล้ว +2

    Habari ya kazi kiongozi, naomba nikupongeze kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii, ninabarikiwa sana na masomo yako, hasa somo linalofundisha jinsi ya kuishi na mabosi wakolofi

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu kupitia video hii Ahsante sana kaka kwan vitu vingi nilikuwa sivijui namuomba Allah akuongoze katika haki uingie katika dini ya uislamu🤲🤲

  • @youngprofessionalbaber7164
    @youngprofessionalbaber7164 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my brother 🙏

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 2 ปีที่แล้ว

    Shukran 📚📚📚📚 shukran Ndugu Nan 🎙️,......

  • @azizially1970
    @azizially1970 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi sana Kaka MUNGU akubariki kwa vitu adimu mm naomba kuongeza Jambo mmoja kwenye interview kuwa smart kutokana Jambo husika ex.usafi wa nguo nk.

  • @allyhamisi5903
    @allyhamisi5903 ปีที่แล้ว

    Thankyou you are a good teacher

  • @jumachakusaga9957
    @jumachakusaga9957 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza Jambo muhimu Sana mungu akubaliki sana

  • @KHAIRIYYAONLINETV
    @KHAIRIYYAONLINETV 10 หลายเดือนก่อน

    Myself appreciating u Mr Joel

  • @noreenmtei8837
    @noreenmtei8837 10 วันที่ผ่านมา

    Unenifunz

  • @alexnaftal2794
    @alexnaftal2794 2 ปีที่แล้ว +1

    The way of people dressing 👆

  • @swedikagusa9300
    @swedikagusa9300 2 ปีที่แล้ว

    Safi xana kaka darasa zury xana tumepata mafunzo

  • @ngendakumanasalumdiki2847
    @ngendakumanasalumdiki2847 2 ปีที่แล้ว

    Hongera saana kwa hii video

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Sms Delivered,, Ila Umenivunja Mbavu Dah!!🤣🤣🤣,, Eti Yale Maskrepa,, Mara Yale Madawa Hakika Vijana Unatutoa Gizani Bro Shukrani

  • @pauljunior5141
    @pauljunior5141 2 ปีที่แล้ว

    Ase nimekupata mkuu shukrani

  • @tinakamukulu3048
    @tinakamukulu3048 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaaa🎉

  • @frankkomba5942
    @frankkomba5942 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kukaa kwenye siti husika bila kuluhusiwa na baada ya kuluhusiwa kukaa ,muhusika anaye fanyiwa interview kuto kukaa kinidhanu kukunja nne kukaa kwa kuegemea yaa kukaa ki boss 😂 nazan hizi nazo ni changamoto tunakosa unyenyekevu na utulivu.

  • @ErnestChacha-m7z
    @ErnestChacha-m7z หลายเดือนก่อน

    Asante kaka

  • @EPHRAIMGIDION-mc3ml
    @EPHRAIMGIDION-mc3ml ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @amonramothy6790
    @amonramothy6790 2 ปีที่แล้ว

    Aiseeh najifunza sana nashukur Hakika nimepiga hatua kwa Iman

  • @mohdhijja8679
    @mohdhijja8679 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akbariki kaka

  • @user-it3de2if9e
    @user-it3de2if9e 6 หลายเดือนก่อน

    Asnte sana kaka

  • @omarjuma1794
    @omarjuma1794 2 ปีที่แล้ว

    #JoelNanauka Jenius by Discovery

  • @alnaabytz4097
    @alnaabytz4097 2 ปีที่แล้ว

    Makosa mengine ni muonekano katk mavaz

  • @jimmyjoseph6695
    @jimmyjoseph6695 2 ปีที่แล้ว

    Majeneza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abeid713
    @abeid713 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 okay

  • @bennytenson6226
    @bennytenson6226 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuri Coach🙌

  • @adelinacyprian5865
    @adelinacyprian5865 3 หลายเดือนก่อน

    😂😅😅

  • @oscarj....5979
    @oscarj....5979 2 ปีที่แล้ว

    😂Hapo kweny kuongea na simu hapo

  • @lightnessanthony8527
    @lightnessanthony8527 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂majeneza, scrapers, monchwari😂😂😂

  • @officialrockrhymes1858
    @officialrockrhymes1858 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @Legend-jv7nd
    @Legend-jv7nd 2 ปีที่แล้ว

    🤷 𝐩𝐫𝐨𝐦𝐨𝐬𝐦