Aslm alkm, Duktur hafidha hu LLAH.. Nimekuelewa na Allah akuzidishie ilmu.. #Naswaha kwa wanao sikiliza maneno nusu nusu mutaleta farqa kwa jamii. Kwanini usipate yaqini kwanza kabla RADD..!? Naomba baadhi ya daiya muondoe hasad na Allah atawabarik..
Hakuna Hasad Akhi , video ya kwanza ndio imeleta matatizo , na Dini hii ni nasiha , Video ya kwanza ndio ilikuwa imetumwa hivyo wiki iliopita na mwenye channel , sasa ilivyoenea Shiekh Dilel katekelza wajibu wa Dini, na Jana Shiekh Ndio amefafanua maneno aliyoyasema wki iliopita , Sasa hakuna aliesikiza nusunusu kusudi , na Kusahihisha maneno yasiofahamika sio kuleta Furqa , Kina Imam Shafii walikosea na wakakosolewa , Sisi ndio tumafanya ishabiki.
Ni ukweli lakini ile mambo ya change ni hii channel ndo ile upload dakiika tatu pekee, nilitafuta darsa nzima lakiini mara hii ndo muliweka kikamilifu. Upukeni mambo haayo, muweke fatwa na daliili zake zote pamoja bila kukatakata. Shukran
@@Imranosman-n9h kweli imaam shaafici alikosoa imaam maalik na abuu haniifah, na kukosoa kwake imekuwa nyingi paka imekuwa madhab mpya. Baado ustaadh ameshika ile fatwa yake baada ya ku kiri hadithi hii ni daifu, lakini amefuata fatwa ya shinqiidi ambaye haina daliil sahiihi ama hajatoa paka sahii( daliil ya kununua bidhaa na pesa aina moja pekee, si kunua bidhaa kwa dhahabu na kubadilisha ile dhahabu kwa fidah hapo hapo, vile hadithi ya ibnu cumar inasena), na ile hoja zake hazina msingi ya kisawasawa pia kwa sababu ifuatayo, (from my comment in the main video). With All Due respect to our Sheikh Next time plz taja daliil zako na Qawl ngapi inaayo hiyo daliil kisha watu wakuwe free to follow which opinion they want b4 telling your favourite opinion, kuna watu sheikh aki teleza wanalaumu dini nakukimbia Dini, يسروا ولا تنفروا. Bado mimi na amini hii hadith si Daliili kutosha kuwa ile mambo ya change for the following reasons 1. The hadith is talking about A trader who want to buy a camel worth in Dolars( Dinaar) which he dont have but needs it to value the animal correctly to a trader who has Ksh( Dirham). What exchanged between hands is the Daraahim( silver). Therefore this conditions is for exchange between currency to currency on top of a camel. Mambo yetu ilikuwa simple, na imeletwa na shida na mahitaajiyo. Kwa ziada check ibnu utheymiin vile ame eleza hiyo hadith 👇🏿👇🏿 th-cam.com/video/Yh_aOdbu0rc/w-d-xo.htmlsi=ib6KkCjPC65kPnOz. 2. Kuna mambo inakubaliwa wakati hiyo mambo sio maksudiyo lakini imejitokeza kufuata na mambo ambaye iko sawa. يغتفر في التابع ما لا يغتفر في المتبوع Mtoto alitaka kununua mkate na hakutaka change pekee, mambo ya kukuwa change ni accident tu. Daliili na ziada some 👇🏿👇🏿 رابط الموضوع: www.alukah.net/sharia/0/139623/%D9%85%D9%86-%D9%82%D9%88%D8%A7%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%8A%D8%B9-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%A8%D8%B9-%D9%85%D8%A7-%D9%84%D8%A7-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%A8%D9%88%D8%B9/#ixzz8Q7k6GHRy 3. Mambo ya haraam na halaal lazima daliili iwe Hadith sahiih na hakuna shaka. Kama ni 50/50 ita leta ikhtilaaf.
Mashaallah! Allah amekupa kipaji cha kipekee kabisa.nimekuelewa vizuri,wewe ni zaidi ya mwalimu wa kawaida kwangu.wewe ni Computer inaetembea Dr.nakupenda kwaajili ya Allah.
His is very smart, na uzuri wake anaongea bila kutetereka (amenyooka), Kuna tofaut kati ya mtu kutoa somo kama anavyotoa ivi Duktur Islam, Na shekh anae subir shekh atoe somo yeye aje kutoa kasoro kutokana na maneno ya Dukutur (Ina maana ana modify maneno ya Duktur). Kama kila Shekh anaetoa Somo (First Hand) ukipitia masomo yake ili kutoa kasoro lazm ziwepo yy ka binadamu, na kuzingatia kuwa ww unasikiliza ili upate kasoro badala ya Faida
Mashallah Dr . Leo asubuhi nimepata video ikiwa imefupishwa kutoka kwa abdallah umeid , igusia fatwa ya mwanzo tuu , kweli niliisi tofauti nakuto kuelewa kabisa , ila alhamdulillah kwa video hii kamili , Allah atujalie ikhlas ktk matendo yetu
unafikiri Abdallah humeyd angenyamaza hiyo vedeo ilobaki baada ya kukatwa na huyo aliyepost mwanzo kutoka kwa doktur WATU SI WANGE POTEA KWA SABABU YA KUKATA CLIP HOVYO !!
Dr japo tume tofautiana Kwenye hili la kuacha chengi kuwa ni riba. Lakin nime penda jinsi unavyo lieleza kwa upande wako una eleza vizuri sana mashaallah
Ukimaikiza kiumakini utamuelewa kaka ,kiufupi tu ni riba ni pesa isio halali yaani hujaitolea jasho sasa halali yamwenye duka ni ile kiwango Cha zile bidaa tu change apewe mwenyewe na ikibaki Kwa mwenyewe duka na akiondoka mnunuaji basi ni riba sababu haifai Kwa muuzaji,niafadhali abaki akisubir change ikatafutwe Kwa jirani ili kila mmoja abaki na haki halali yake,Masha Allah doctor
جزاك الله خيرا Fauz Production kwa kuikusanya hii mada katika clip moja ili iweze kufahamika. Alhamdulillah kwa neema hii ya ilmu tunayoipata. Allah akulipeni kila la kheri.
Duh umathirika na bidaa hivo sasa hapo katoa ushahidi gani wa wanchuoni c maneno yake kma mwehu tu hayo unasifu upumbavu shekhe abul khatwab c kaonesha fatawa na yy atupe fatawa kwanza co ductur wa elim ya dini ni dunia mna haongei ki ductur
@@abbaspaziaog2188 sasa si watetea watu wa bidaa na ww utakua nan kama sio mtu wa bidaa alaf kati ya ww na mm nan juha mi nasikiliza fatawa za wanchuoni co huyo ductur wa mabenk ww ndo shabk watetea hoja za mtu baki dhidi ya hoja za maulamaa
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh samahani jazaakallahu khairan sheikh allah akuhifadhi kwa hakika unasomesha vizuri sana naomba, namba ya simu ya dr islamu muhamad salimu mimi niko tanzania missenyi kagera, tanzania
Mara nyingine kwe ma supermarket hawarudishi change kamili. Mathalan bithaa bei yake 499ksh halafu una Lipa 500ksh halafu haurudishiwi 1shiling kumbe pia n riba?
Asalaam Aleykum. With All Due respect to our Sheikh Next time plz taja daliil zako na Qawl ngapi inaayo hiyo daliil kisha watu wakuwe free to follow which opinion they want b4 telling your favourite opinion, kuna watu sheikh aki teleza wanalaumu dini nakukimbia Dini, يسروا ولا تنفروا. Bado mimi na amini hii hadith si Daliili kutosha kuwa ile mambo ya change for the following reasons 1. The hadith is talking about A trader who want to buy a camel worth in Dolars( Dinaar) which he dont have but needs it to value the animal correctly to a trader who has Ksh( Dirham). What exchanged between hands is the Daraahim( silver). Therefore this conditions is for exchange between currency to currency on top of a camel. Mambo yetu ilikuwa simple, na imeletwa na shida na mahitaajiyo. Kwa ziada check ibnu utheymiin vile ame eleza hiyo hadith 👇🏿👇🏿 th-cam.com/video/Yh_aOdbu0rc/w-d-xo.htmlsi=ib6KkCjPC65kPnOz. 2. Kuna mambo inakubaliwa wakati hiyo mambo sio maksudiyo lakini imejitokeza kufuata na mambo ambaye iko sawa. يغتفر في التابع ما لا يغتفر في المتبوع Mtoto alitaka kununua mkate na hakutaka change pekee, mambo ya kukuwa change ni accident tu. Daliili na ziada some 👇🏿👇🏿 رابط الموضوع: www.alukah.net/sharia/0/139623/%D9%85%D9%86-%D9%82%D9%88%D8%A7%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%8A%D8%B9-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%A8%D8%B9-%D9%85%D8%A7-%D9%84%D8%A7-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%A8%D9%88%D8%B9/#ixzz8Q7k6GHRy 3. Mambo ya haraam na halaal lazima daliili iwe Hadith sahiih na hakuna shaka. Kama ni 50/50 ita leta ikhtilaaf.
@@hajihassan5433 hii mambo ya ustadh ni 50/50 na pia hadithi ni daif na ibnu utheymiin amefasiri kivengine. Sasa 499 shida iko wapi, ? Wewe chunga tu wakati wakutafuta change pekee, kama kuna bidhaa hapo. Hamna shida
Bilashaka amekosea, coz amechanganya vitu viwili tofauti, (change) na (balance) hiyo kuwacha pesa dukani ni kuwacha balance, na change ambayo inakusudiwa na sharia ambayo anazungumzia yeye ni (Money Exchange) (صرف) so ni vitu viwili tofauti, tafadhali atanabahishwe, na kama ni hivo basi watu wengi wataingia kwenye dhiki.
@@MbaroukSilima Yakhi ulisikia wapi mtu akiwacha balance inakua riba! Basi hata huwezi kutafautisha maneno! Ukisikia kitu basi washika hivo hivo! Ukimpa mtu ksh 1000 na wewe umechukua kitu Cha ksh 300 yeye anafaa kukuregeshea 700, sasa kama hana pesa ya kuniregeshea Ile 700 inabaki katika dhamana yake kama deni, badae naja kuchukua, bc hivo tu! Riba Iko wapi? Kama ntamwambia bc madamu itabaki kwako itabidi uniongezee iwe 800 mathalan kwa sababu yeye hana change bc hapo ndio itakua riba. Sijataja mambo ya ushabiki hii ni sharia lazima tuwekane sawa. Amekosea amekosea hata kama ni babangu ntamwambia. Kasome ndio utajua sio kusikiza tu na kubeba....
KILA JUMAMOSI KUNA VIKAO VYA HADITH VYA DUKTUR ISLAM KATIKA KIKAO CHA WIKI ILOPITA DUKTUR ALIGUSIA TU HILI JAMBO KWA KUTOA MFANO. BAADA YA SUALA HILI KUIBUA MASWALI MINGI DUKTUR AKAAMUA AFAFANUE ZAIDI KATIKA KIAKO CHA JANA JOMAMOSI.
Kama Yeye Dilel Allah amhifadhi ndio kafanya kusudi hapo, lakini sasa kusema ana hasad , oo hivi, hiyo siyo aadala. Kweli Duktru amemtangulia katika Elimu lakini watu wa comment wanacomment sivyo nawe una like sivyo akhi Allah atusamehe sote na atuongoze. AMEEN
@@Imranosman-n9h Yeye Analaumiwa kwa kuzungumza kitu Bila Ilmu kwa Kusema Hii Qaul ni Marjuh Hii Ni kosa pili amezungumza kitu cha Khilaf na akasimama na Qaul moja na kuona yye yuko sawa
Hii ya kuacha change haihitaji elimu aya au hadithi,kuacha change kama haitaongeza kitu sio riba hata ukiacha miaka mia mradi inabaki change ile ile halisi
Mas ala yalikuwa wazi alivyo elezea Kuwa ni 3:37 msimamo ya baadhi ya wanavuoni hata Sheikh Zayn Abidin amesema Nandio misimao Wa fauzan Nalakini amambe hajapitia vitabu ndio huwa ndio amepata Jambo la kufaunya mizozo.
Ya allah mlinde mja wako huu na hasaad na kila shari kwani mweza hayo yote ni allah peke yake. Tunakombea allah akuupe afya njema uzidi kutu ilimisha. Jaaza yako na jannha kwani hatuezi kukulipa kwa haya yote unayo tupa. Mahasidi watashindwa tu. Kuchukua video vipande atii kurakibshwa.
Ikiwa jambo liko hivi,,sasa yule anaejiita salafi ALIE MKOSOA SHK KWA JINA LA NASAHA HAKUSIKILIZA MADA YOTE au amekusudia nini katika nasaha zake zile au amekurupuka kwa kutumiwa tu kipande cha maneno BASI HAIFAI KUDAKIA MANENO KATIKATI MBONA JAMBO LIPO WAZI
Akhi Allah akuhifadhi , hii Video jana Shiekh ndio amefafanua Zaid aliyoyasema wiki iliopita, video imetumwa na mwenye channel na ikaenea , makosa na Ya Shiekh Aliemkosoa ama ni ya nani? Hakuna ushabiki, Dini ni nasiha
@@fauzproduction eee maajabu mahizb ety nao wana hja na elimu duh nyie c wazee wa mabenk shule na vitega uchumi aya ana fundisha wap ductur bank nije nisome ila shida ata kuja kunifundisha maswala ya mabenk c ndo alicho somea yy mna anpotosha jamii na we ulivo mjinga wa edit kumtetea c ange toa majibu ya kielim yy mwenyewe sasa huo uchawa co mzuri we hizb
@@fauzproduction nyie ndo watu wa makelele co cc kwani nan alie anza kuwa tukana ulamaa c nyie kisha mkiambiwa toeni hoja ety n klle kweli mahizb nyie wapumbvu sanaaaaaaaaaaaaa
Aslm alkm, Duktur hafidha hu LLAH.. Nimekuelewa na Allah akuzidishie ilmu.. #Naswaha kwa wanao sikiliza maneno nusu nusu mutaleta farqa kwa jamii. Kwanini usipate yaqini kwanza kabla RADD..!? Naomba baadhi ya daiya muondoe hasad na Allah atawabarik..
Hakuna Hasad Akhi , video ya kwanza ndio imeleta matatizo , na Dini hii ni nasiha , Video ya kwanza ndio ilikuwa imetumwa hivyo wiki iliopita na mwenye channel , sasa ilivyoenea Shiekh Dilel katekelza wajibu wa Dini, na Jana Shiekh Ndio amefafanua maneno aliyoyasema wki iliopita , Sasa hakuna aliesikiza nusunusu kusudi , na Kusahihisha maneno yasiofahamika sio kuleta Furqa , Kina Imam Shafii walikosea na wakakosolewa , Sisi ndio tumafanya ishabiki.
Ni ukweli lakini ile mambo ya change ni hii channel ndo ile upload dakiika tatu pekee, nilitafuta darsa nzima lakiini mara hii ndo muliweka kikamilifu. Upukeni mambo haayo, muweke fatwa na daliili zake zote pamoja bila kukatakata. Shukran
@@Imranosman-n9h kweli imaam shaafici alikosoa imaam maalik na abuu haniifah, na kukosoa kwake imekuwa nyingi paka imekuwa madhab mpya.
Baado ustaadh ameshika ile fatwa yake baada ya ku kiri hadithi hii ni daifu, lakini amefuata fatwa ya shinqiidi ambaye haina daliil sahiihi ama hajatoa paka sahii( daliil ya kununua bidhaa na pesa aina moja pekee, si kunua bidhaa kwa dhahabu na kubadilisha ile dhahabu kwa fidah hapo hapo, vile hadithi ya ibnu cumar inasena), na ile hoja zake hazina msingi ya kisawasawa pia kwa sababu ifuatayo, (from my comment in the main video).
With All Due respect to our Sheikh Next time plz taja daliil zako na Qawl ngapi inaayo hiyo daliil kisha watu wakuwe free to follow which opinion they want b4 telling your favourite opinion, kuna watu sheikh aki teleza wanalaumu dini nakukimbia Dini, يسروا ولا تنفروا.
Bado mimi na amini hii hadith si Daliili kutosha kuwa ile mambo ya change for the following reasons
1. The hadith is talking about A trader who want to buy a camel worth in Dolars( Dinaar) which he dont have but needs it to value the animal correctly to a trader who has Ksh( Dirham). What exchanged between hands is the Daraahim( silver). Therefore this conditions is for exchange between currency to currency on top of a camel. Mambo yetu ilikuwa simple, na imeletwa na shida na mahitaajiyo.
Kwa ziada check ibnu utheymiin vile ame eleza hiyo hadith 👇🏿👇🏿
th-cam.com/video/Yh_aOdbu0rc/w-d-xo.htmlsi=ib6KkCjPC65kPnOz.
2. Kuna mambo inakubaliwa wakati hiyo mambo sio maksudiyo lakini imejitokeza kufuata na mambo ambaye iko sawa. يغتفر في التابع ما لا يغتفر في المتبوع
Mtoto alitaka kununua mkate na hakutaka change pekee, mambo ya kukuwa change ni accident tu. Daliili na ziada some 👇🏿👇🏿
رابط الموضوع: www.alukah.net/sharia/0/139623/%D9%85%D9%86-%D9%82%D9%88%D8%A7%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%8A%D8%B9-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%A8%D8%B9-%D9%85%D8%A7-%D9%84%D8%A7-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%A8%D9%88%D8%B9/#ixzz8Q7k6GHRy
3. Mambo ya haraam na halaal lazima daliili iwe Hadith sahiih na hakuna shaka. Kama ni 50/50 ita leta ikhtilaaf.
@@Imranosman-n9hhiyo ni hasad dilele nikuangalia MTU atoe darasa Kisha akosoe angekuwa na inswaf angemfuata Dr islam
Hapa dilele Allah amemfedhehesha
Mashaallah! Allah amekupa kipaji cha kipekee kabisa.nimekuelewa vizuri,wewe ni zaidi ya mwalimu wa kawaida kwangu.wewe ni Computer inaetembea Dr.nakupenda kwaajili ya Allah.
Allah akubaarik
Pole sana sheikh kwa kufiliwa na mama yako kipenz Allah akujaze subra Allah amjalie jannat firdaus mzaa chema
Allah akbar Huyu Sheikh Ni Ayah Allah Amhifadhi Na Amlinde
Darsa Nzuri .. Allah amuhifadhi Dr. ISLAM na Mashekhe zetu wote..
Aamiyn 🤲
His is very smart, na uzuri wake anaongea bila kutetereka (amenyooka), Kuna tofaut kati ya mtu kutoa somo kama anavyotoa ivi Duktur Islam, Na shekh anae subir shekh atoe somo yeye aje kutoa kasoro kutokana na maneno ya Dukutur (Ina maana ana modify maneno ya Duktur). Kama kila Shekh anaetoa Somo (First Hand) ukipitia masomo yake ili kutoa kasoro lazm ziwepo yy ka binadamu, na kuzingatia kuwa ww unasikiliza ili upate kasoro badala ya Faida
MashaAllah 💞 shukraan Duktur Islam sasa nimekuelewa umetuelezea vizuri Allah akulipe jannah
ALLAH akufungulie Milango Yote ya Peponi ❤.... Allahumma aaamiin...Thank You for always Sharing Your Precious Knowledge 😊
Maashaa Allah sheikh jazzakallakheir kwakutufahamisha
Duktur ni kichwa maa shaa allah... wengi wanakuonea wivu
Hakuna Wivu Akhi wacha ushabiki, hiii ni dini , Na Dini Ni nasiha .
Alhamdulilla kwa Allah kutupa neema ya mja wake huyu kutujuza mengi ya Dini Allah ampe afya na hekima na elimu zaidi
mashaallah Duktoor uhifadhike n mahasidi
Mashallah Dr . Leo asubuhi nimepata video ikiwa imefupishwa kutoka kwa abdallah umeid , igusia fatwa ya mwanzo tuu , kweli niliisi tofauti nakuto kuelewa kabisa , ila alhamdulillah kwa video hii kamili , Allah atujalie ikhlas ktk matendo yetu
unafikiri Abdallah humeyd angenyamaza hiyo vedeo ilobaki baada ya kukatwa na huyo aliyepost mwanzo kutoka kwa doktur WATU SI WANGE POTEA KWA SABABU YA KUKATA CLIP HOVYO !!
Ma Shaa Allah Dr Islam nimekuelewa sana
Mashaa Allah Allah akuhifadhi kwa kutufahamisha kheri na kuwaweka sawa wale wenye pupa la kuraddi bila ya kuangalia uhakika wa jambo lilivyoo
Dr japo tume tofautiana Kwenye hili la kuacha chengi kuwa ni riba. Lakin nime penda jinsi unavyo lieleza kwa upande wako una eleza vizuri sana mashaallah
Ukimaikiza kiumakini utamuelewa kaka ,kiufupi tu ni riba ni pesa isio halali yaani hujaitolea jasho sasa halali yamwenye duka ni ile kiwango Cha zile bidaa tu change apewe mwenyewe na ikibaki Kwa mwenyewe duka na akiondoka mnunuaji basi ni riba sababu haifai Kwa muuzaji,niafadhali abaki akisubir change ikatafutwe Kwa jirani ili kila mmoja abaki na haki halali yake,Masha Allah doctor
@@katore1982lkni uislamu unapelekwa innamal aamalu binniati,kuna tatizo gani mwenye change kumwambia mwenye duka niwekee ntaregea,
أحسنت شيخنا الفاضل....الله يحفظك
جزاكم الله خيرا
Yule alie mrukia shk islam anaonekana yeye hakuzama katika elim ya jambo hili wala hajui kama kuna tofauti ya ufaham kwa wenye elim
جزاك الله خيرا
Fauz Production kwa kuikusanya hii mada katika clip moja ili iweze kufahamika. Alhamdulillah kwa neema hii ya ilmu tunayoipata. Allah akulipeni kila la kheri.
Mashallah ,
Wanaojifanya na kumradd duktur Islam Muhammad ALLAH wanajisumbua tu ila hawatumii ilimu wala dalili wao nikupayuka tu nakutafuta jina
Duh umathirika na bidaa hivo sasa hapo katoa ushahidi gani wa wanchuoni c maneno yake kma mwehu tu hayo unasifu upumbavu shekhe abul khatwab c kaonesha fatawa na yy atupe fatawa kwanza co ductur wa elim ya dini ni dunia mna haongei ki ductur
@@IbrahMiracle-em4sh ww juha acha ushabiki na kunitia kwenye bidaa abuu ahmaqq mkubwa ww
@@abbaspaziaog2188 sasa si watetea watu wa bidaa na ww utakua nan kama sio mtu wa bidaa alaf kati ya ww na mm nan juha mi nasikiliza fatawa za wanchuoni co huyo ductur wa mabenk ww ndo shabk watetea hoja za mtu baki dhidi ya hoja za maulamaa
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh samahani jazaakallahu khairan sheikh allah akuhifadhi kwa hakika unasomesha vizuri sana naomba, namba ya simu ya dr islamu muhamad salimu mimi niko tanzania missenyi kagera, tanzania
Mara nyingine kwe ma supermarket hawarudishi change kamili. Mathalan bithaa bei yake 499ksh halafu una Lipa 500ksh halafu haurudishiwi 1shiling kumbe pia n riba?
Allah Aalam. Riba kwa nani? Kama utaratibu ni huo sio riba, kwani hiyo bei kapanga nani? Msifanye Uislam mgumu.
Asalaam Aleykum.
With All Due respect to our Sheikh Next time plz taja daliil zako na Qawl ngapi inaayo hiyo daliil kisha watu wakuwe free to follow which opinion they want b4 telling your favourite opinion, kuna watu sheikh aki teleza wanalaumu dini nakukimbia Dini, يسروا ولا تنفروا.
Bado mimi na amini hii hadith si Daliili kutosha kuwa ile mambo ya change for the following reasons
1. The hadith is talking about A trader who want to buy a camel worth in Dolars( Dinaar) which he dont have but needs it to value the animal correctly to a trader who has Ksh( Dirham). What exchanged between hands is the Daraahim( silver). Therefore this conditions is for exchange between currency to currency on top of a camel. Mambo yetu ilikuwa simple, na imeletwa na shida na mahitaajiyo.
Kwa ziada check ibnu utheymiin vile ame eleza hiyo hadith 👇🏿👇🏿
th-cam.com/video/Yh_aOdbu0rc/w-d-xo.htmlsi=ib6KkCjPC65kPnOz.
2. Kuna mambo inakubaliwa wakati hiyo mambo sio maksudiyo lakini imejitokeza kufuata na mambo ambaye iko sawa. يغتفر في التابع ما لا يغتفر في المتبوع
Mtoto alitaka kununua mkate na hakutaka change pekee, mambo ya kukuwa change ni accident tu. Daliili na ziada some 👇🏿👇🏿
رابط الموضوع: www.alukah.net/sharia/0/139623/%D9%85%D9%86-%D9%82%D9%88%D8%A7%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%A8%D9%8A%D8%B9-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%A8%D8%B9-%D9%85%D8%A7-%D9%84%D8%A7-%D9%8A%D8%BA%D8%AA%D9%81%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%A8%D9%88%D8%B9/#ixzz8Q7k6GHRy
3. Mambo ya haraam na halaal lazima daliili iwe Hadith sahiih na hakuna shaka. Kama ni 50/50 ita leta ikhtilaaf.
@@hajihassan5433 hii mambo ya ustadh ni 50/50 na pia hadithi ni daif na ibnu utheymiin amefasiri kivengine. Sasa 499 shida iko wapi, ? Wewe chunga tu wakati wakutafuta change pekee, kama kuna bidhaa hapo. Hamna shida
Kama wameuza 500, si riba. Yale yameandikwa si muhimu.
Bilashaka amekosea, coz amechanganya vitu viwili tofauti, (change) na (balance) hiyo kuwacha pesa dukani ni kuwacha balance, na change ambayo inakusudiwa na sharia ambayo anazungumzia yeye ni (Money Exchange) (صرف) so ni vitu viwili tofauti, tafadhali atanabahishwe, na kama ni hivo basi watu wengi wataingia kwenye dhiki.
Hakuna sehemu kakosea hpo acha upimbi na ushabiki na hkuna sehemu katumia akili yke hpo ukitaka hyo nenda kwnye marejeo wa vitbu hvyo alivyovitaja acheni chuki enyi wtu
@@MbaroukSilima
Yakhi ulisikia wapi mtu akiwacha balance inakua riba! Basi hata huwezi kutafautisha maneno! Ukisikia kitu basi washika hivo hivo!
Ukimpa mtu ksh 1000 na wewe umechukua kitu Cha ksh 300 yeye anafaa kukuregeshea 700, sasa kama hana pesa ya kuniregeshea Ile 700 inabaki katika dhamana yake kama deni, badae naja kuchukua, bc hivo tu! Riba Iko wapi?
Kama ntamwambia bc madamu itabaki kwako itabidi uniongezee iwe 800 mathalan kwa sababu yeye hana change bc hapo ndio itakua riba.
Sijataja mambo ya ushabiki hii ni sharia lazima tuwekane sawa. Amekosea amekosea hata kama ni babangu ntamwambia. Kasome ndio utajua sio kusikiza tu na kubeba....
th-cam.com/video/-dJnsZk5lN8/w-d-xo.htmlsi=Tl-OOy2Bn3kYGQtY
th-cam.com/video/a80xKe4JcGY/w-d-xo.htmlsi=bTuBKnJgF2bXvEKA
Ww ndio una chuki...wacha ufidhuli km huna ilmu wawate wenye ilmu waongee kwa huyu Dr hakosea ni nani yy?
Mwenye channel AllaH akuhifadhi, mara ya kwanza ungetuma hii video yote kusimgekuwa na mgongano.
KILA JUMAMOSI KUNA VIKAO VYA HADITH VYA DUKTUR ISLAM KATIKA KIKAO CHA WIKI ILOPITA DUKTUR ALIGUSIA TU HILI JAMBO KWA KUTOA MFANO. BAADA YA SUALA HILI KUIBUA MASWALI MINGI DUKTUR AKAAMUA AFAFANUE ZAIDI KATIKA KIAKO CHA JANA JOMAMOSI.
Sasa , mbona watu wamlaumu Dilel , na video ilioenea yeye katumiwa pia, na yeye pia kasahihisha , mbna watu wapenda fitna kweli.
Kama Yeye Dilel Allah amhifadhi ndio kafanya kusudi hapo, lakini sasa kusema ana hasad , oo hivi, hiyo siyo aadala.
Kweli Duktru amemtangulia katika Elimu lakini watu wa comment wanacomment sivyo nawe una like sivyo akhi Allah atusamehe sote na atuongoze. AMEEN
@@Imranosman-n9h Yeye Analaumiwa kwa kuzungumza kitu Bila Ilmu kwa Kusema Hii Qaul ni Marjuh Hii Ni kosa pili amezungumza kitu cha Khilaf na akasimama na Qaul moja na kuona yye yuko sawa
Hii ya kuacha change haihitaji elimu aya au hadithi,kuacha change kama haitaongeza kitu sio riba hata ukiacha miaka mia mradi inabaki change ile ile halisi
Mas ala yalikuwa wazi alivyo elezea Kuwa ni 3:37 msimamo ya baadhi ya wanavuoni hata Sheikh Zayn Abidin amesema
Nandio misimao Wa fauzan
Nalakini amambe hajapitia vitabu ndio huwa ndio amepata Jambo la kufaunya mizozo.
Kutumia debt kadi vipi jamani inajuzu?
Ya allah mlinde mja wako huu na hasaad na kila shari kwani mweza hayo yote ni allah peke yake. Tunakombea allah akuupe afya njema uzidi kutu ilimisha. Jaaza yako na jannha kwani hatuezi kukulipa kwa haya yote unayo tupa.
Mahasidi watashindwa tu.
Kuchukua video vipande atii kurakibshwa.
ALOKATA CLIP NI HUYO HUYO KIJANA ALOPOST DARSA YA DOKTUR
Ikiwa jambo liko hivi,,sasa yule anaejiita salafi ALIE MKOSOA SHK KWA JINA LA NASAHA HAKUSIKILIZA MADA YOTE au amekusudia nini katika nasaha zake zile au amekurupuka kwa kutumiwa tu kipande cha maneno BASI HAIFAI KUDAKIA MANENO KATIKATI
MBONA JAMBO LIPO WAZI
Akhi Allah akuhifadhi , hii Video jana Shiekh ndio amefafanua Zaid aliyoyasema wiki iliopita, video imetumwa na mwenye channel na ikaenea , makosa na Ya Shiekh Aliemkosoa ama ni ya nani? Hakuna ushabiki, Dini ni nasiha
Kakusudia shari na kumdogosha sheikh na yy kujifanya anaelimu zaidi
Hilo ndio tatizo la Abdallah Humeid hasikilizi mpaka mwisho anakurupuka sana 😢
Sasa nyie mnao edit ili kumtetea si muedit na majibu ya shekhe kassim tuyaone
Hatuna mda wa kupoteza. Watu wana kiu ya Elimu hawanahaja ya mizozo.
@@fauzproduction eee maajabu mahizb ety nao wana hja na elimu duh nyie c wazee wa mabenk shule na vitega uchumi aya ana fundisha wap ductur bank nije nisome ila shida ata kuja kunifundisha maswala ya mabenk c ndo alicho somea yy mna anpotosha jamii na we ulivo mjinga wa edit kumtetea c ange toa majibu ya kielim yy mwenyewe sasa huo uchawa co mzuri we hizb
@@fauzproduction nyie ndo watu wa makelele co cc kwani nan alie anza kuwa tukana ulamaa c nyie kisha mkiambiwa toeni hoja ety n klle kweli mahizb nyie wapumbvu sanaaaaaaaaaaaaa
@@fauzproduction kaaa usome ww unatetea hoja za mtu baki unaacha za wanchuoni huna akili kabisa ww na mnyama tofauti nn sasa acha ujinga ww
@@IbrahMiracle-em4sh Shukran baraka Allahu fik