The Power of "The Resurrection" | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Osborn

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Catch the revelation on "The Power of The Resurrection of Christ" from our ongoing series "Kuuweza Wakati Ujao" here on TH-cam
    Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
    Facebook:
    / pastortonykapola
    Instagram:
    / pastortonyosborn
    Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
    Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)

ความคิดเห็น • 23

  • @THE_ZOE_LIFE_
    @THE_ZOE_LIFE_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing, Simply Profound
    # THE SAME SPIRIT THAT ROSE CHRIST FROM THE DEAD IS IN ME 🔥🔥🔥

  • @anordperestalent8113
    @anordperestalent8113 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu BWANA YESU asifiwe! Ni kweli watu wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu kutumia lugha ya kingereza lakini mimi naona sio tatizo ila ombi langu tafuta mkalimani ambaye akuwa speed pamoja na wewe ili watu wa aina zote waelewe vizuri zaidi

  • @weremajohn6510
    @weremajohn6510 6 หลายเดือนก่อน +11

    Ombi langu ni kwamba unahubiri vizuri sana ila naomba tumia kiswahili maana muda mwingi unatumia kingereza kuhubiri maana wanaokutazama ni wengi na sio wote wanafahamu kingereza

    • @peninashungu6633
      @peninashungu6633 6 หลายเดือนก่อน

      Ata wasio jua kiswahili wanatakiwa kusikia ibada

    • @ROSEMBARUKA
      @ROSEMBARUKA 6 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @Billionaire-mr6et
      @Billionaire-mr6et 6 หลายเดือนก่อน

      Alisema hawezi kuubiri kiswahili fluently

    • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
      @AnnastaziaJeremiah-ch3vx 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio jifunze kingereza hapo lugha moja tu aitoshi

    • @aledesiomushi875
      @aledesiomushi875 6 หลายเดือนก่อน

      Binafsi najifunzi bibilia na English pia😅 Mungu akutunze pastor

  • @Ingabirechanny
    @Ingabirechanny 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 6 หลายเดือนก่อน +1

    Glory be to God 🙏🙏

  • @leonPodcast
    @leonPodcast 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona matangazo ya Live, muda huu
    hayapo hewani

  • @GAUDENCIA009
    @GAUDENCIA009 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @work24onme
    @work24onme 6 หลายเดือนก่อน

    Holy Spirit Amen 🙏🏼.

  • @gladysmnyaka9874
    @gladysmnyaka9874 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @scolarelias9102
    @scolarelias9102 6 หลายเดือนก่อน

    Achidonechi

  • @mycowillyzwilliam8056
    @mycowillyzwilliam8056 6 หลายเดือนก่อน

    Hii itakuwa mkuyuni or online tu TH-cam?

    • @pastortonykapola
      @pastortonykapola  6 หลายเดือนก่อน +3

      Hii ni online tuu! Ratiba zote za mkuyuni utaziona kwenye social media pages zetu.

    • @user-lg3zl2sx3v
      @user-lg3zl2sx3v 6 หลายเดือนก่อน

      @@pastortonykapolaok papa we got you. May God use you as he wish. 🙏

    • @mycowillyzwilliam8056
      @mycowillyzwilliam8056 6 หลายเดือนก่อน

      Amen....Nishawekaa notification naisubr...ngoja niendelee na wabeba rizik wa familia..huku tukisubir hii jion