It is already 2024... To my first love Michelle.... I listen to this song and each lyric reminds me of us. "Ipo siku moja....tutajaonana nawe" I wish this were true...22 years since you went to be with the Lord but your memories will forever remain fresh. Forever in my heart
2022 and I still love this song since I was a young girl,now am a mother watching it now and big respect to ray c we miss u in music industry, it's ur fan from kenya
Who's still listen Ray C in 2020 Uko wapi, nikufuate Niambie nipajue Angalau nikuone Roho yangu nitulie Old but its always gold memories of 2004 in Mombasa Raha big tree night club in (bamburi beach)
Wel done 👍 Rayc, the most memorable song. God bless u wherever u r mamaa.imagene nishamtumia wife hii song na amenicall back akiwa analia aky. Just bcoz of love song.👍Rayc
Ushauri wangu kwako naomba uzifanyie remix baadh ya nyimbo zako Zinauwezo wakuhit saana dunian coz zina jumbe nzuur na taamu zenye kusisimua vichwa na mkali za watanzania na dunian kote
ray c never disappoints.......... mimi na wewe... uko wapi nikufuate niambie nipajue angalau nikuone roho yangu itulie..... nikuone nikuone nikuone nikuone..... uko wapi nikufuate
Imenikumbusha 2005 nikiwa kwenye darasa la kwanza,langas primary eldoret.Unarauka kwenye kibanda cha Cinema,unafagia humo ndani kisha hutozwi ada ya kucheki filamu hiyo siku. From 6 to 10 unaburudika na midundo kama hii,duh! Ujana ni Moshi kweli. Nakumiss kwenye game Ray c!🔥🔥❤
Wow. Yani Ray c unanikumbusha mwanga stand nashuka basi yani nyimbo zako zinasikika kutoka kibilizi. Mungu akulinde binadamu sote zaifu hakuna aliye kamilika
mshukuru mungu kwa kukupa uhai kuiskia hii nyimbo 2019, maana wengi wamekwisha tangulia mbele za haki,.....tulioiskiliza nao enzi hizo. RAY C GO ON PLZ.....
Daaah Still Watching October 5th 2021 Hii Ngoma Inanikumbusha Mbali Na Zamani Sana nikiwa Kijana Wa Miaka kama 11 hivi Enzi Hizo Wimbo Huu Na Ule ""Umenikataa bila sababu""" Ulikuwa unapigwa sana Redio Tanzania Na Ule wa Inspector Haroun ""Nimevuka Mabonde Na Milima""" Good Music Never Die
Wangapi wanatamani kuona Ray c nyimbo zake anazifanyia remix gonga like twende sawa
Huu wimbo bado nauskiza hataleo
It is already 2024...
To my first love Michelle.... I listen to this song and each lyric reminds me of us. "Ipo siku moja....tutajaonana nawe" I wish this were true...22 years since you went to be with the Lord but your memories will forever remain fresh.
Forever in my heart
😢
May her soul continue to rest in peace. Pole sana I hope you are healing
@@elizabethmbuya6213 Thank you. Not easy but I know someday it's gonna be alright.
Hugs
I am so sorry for your loss, may Michelle rest in peace
Mm hadi leo 2021 naisikiliza hii nyimbo nimzuri mno
Great memos
2021
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Waaaaawu huu wimbo unabamba
Huuu wimbo n 🔥🔥🔥
2024 mmmmmmh jmn iv hii wimbo itachuja kweli kwangu bado kabissaaaaaaa
2023 still a hit,,,,Ray c was the best!
still new song to me watching 2021❤Uko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie😍
Hees taan caadi maahan
Ilove so much l
Ebu niache mmi nakufa nahinyimbo
Ilove toooo
Ilove ever time
2022 and this is still my favourite song!🧡
Me too
❤❤ RayC still the best
Me too
🥰
Me too.
A great song
E.A.F mungu atulinde tuendelee na ushirikiano 🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇩🇯🇦🇼🇦🇷
Who is here December 2024🎉
2022 and I still love this song since I was a young girl,now am a mother watching it now and big respect to ray c we miss u in music industry, it's ur fan from kenya
p
p
p
p
It's 2021 we still here, cheers to good old days.
Who's still listen Ray C in 2020
Uko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Old but its always gold memories of 2004 in Mombasa Raha big tree night club in (bamburi beach)
☝️
me
We really rocked dem days big tree it was
my childhood crush. buana nani anajua kwa akina rayc . nataka hug tu ntulie
Yuko zake Paris
2020 we here too... kama unamkubali #Rayc hit the like button
👇uko wapi tukufwate mrembo... rudi studio
🔥🔥🔥
cheers to good old days.. 2019 ,who is still here?
Nipo
Wel done 👍 Rayc, the most memorable song. God bless u wherever u r mamaa.imagene nishamtumia wife hii song na amenicall back akiwa analia aky. Just bcoz of love song.👍Rayc
Hii wimbo inachoma walai
Ushauri wangu kwako naomba uzifanyie remix baadh ya nyimbo zako
Zinauwezo wakuhit saana dunian coz zina jumbe nzuur na taamu zenye kusisimua vichwa na mkali za watanzania na dunian kote
I second you. kwely kabisaa😊😊👌
Kweli kabisa nakuunga wewe jmn
Kweli jamaa alikuwa anakula mzgo miaka ile video kama hii af ni china
Watching this 2019. Huu wimbo unanikumbusha mbalii🙌🙌😍.
Me too
Yaani nampenda sema katuacha wapweke
Hauko peke yako😎👸
Kweli Kabisa
My days in Mombasa
2024 and still a hit ❤
Yeees🎉
True
Eish❤ still a hit, miriam nasieku wherever you're this song reminds me of the good times we had back then 2005/6, nvs. kweli maisha haipangiki
Enzi za Ray c kwenda ulaya ilikuwa Kama anaenda DAR TO MORO
Mzee kweli alikuwa anakula huu mzgo maana video n Kali paka leo 2022 mwezi 5
Mwenyewe Ray C uko waaapiiiiii..niambiie nipajuee.angalau nikuone ni miaka nyingi sana hatujakusikia...ukooo waaaapiii
If I listen to this song I just miss my dad I wish one day we meet...
I also miss my dad alwys rest in peace 😥😥
Nilikua napenda hii nyimbo sana 😂❤hebu mtoe nyimbo mpya haaa wasanii tuko nao wengi hapa Kenya ❤🇰🇪💚
2
0
2
0 still watching 🇰🇪🇰🇪
zuchu of those times asee ulitisha balaaaa kiuno bila mifupa mpeni likes ajione bado tuna mkubali
Zuchu still waiting to beat ray c... Ray c for life
Can't compare the two
Zuchu ni who😮
❤❤❤
Who is Zuchu?
Kipind icho
Ray C kweli
Da nyimbo naiskiliza kwa siku Zaid ya Mara 4
Niko hukuuuuuuu Enzi hizo huuu wimbo upo kwenye history ya Maisha yangu wapiiiiii Mama machupaaa💪🏽🙏🏼
When i hear this song it makes me smile n bring back the golden days memories
Tanzanian old songs still sweeter 🇨🇩🇹🇿
Ray C ...je l'aimais beaucoup vraiment ...
Nostalgie.
Que Dieu veille sur toi sister depuis la 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aaaaaa ❤2024 uko wapi Ray
Inagonga moyoni ndani kabisaa❤
ray c never disappoints.......... mimi na wewe... uko wapi nikufuate niambie nipajue angalau nikuone roho yangu itulie..... nikuone nikuone nikuone nikuone..... uko wapi nikufuate
Ray C angekua bado na mwili yake ya kitambo na kiuno yake ya nyigu ,Zuchu hangetamba.
can't explain how much I love this song.
Me too
Wamucii Mwangi I love you because of the depth of your feelings..😍
Same to me
Huu wimbo lazima bi harusi wangu akamtafutie mme wake mtarajiwa
Mapenzi kwa trauser ya hipster siku hizo wow I love❤😂😂😂
Ray C messages in her songs are timeless. This song takes me back to Makerere Hill in 2008. Nostalgic.
Memories kibao .it reminds me when I was in primary school.big up my classmates back pale langata road primary
❤❤❤❤ kiukweli wimbo huu umfikie kipenz changu Veronica michel
2024 still watch this song , came back gal
Mtoto MashaAllah
Sauti MashaAllah
Kila kitu MashaAllah
Ray c uko juu 😍
lovely music kabisa
2024 blessings
Du huu wimbo nakupenda ata kabla sijapata mapenzi was kumtumia da I love you ry
wen i listen to this song it takes me far. This song still hit
Imenikumbusha 2005 nikiwa kwenye darasa la kwanza,langas primary eldoret.Unarauka kwenye kibanda cha Cinema,unafagia humo ndani kisha hutozwi ada ya kucheki filamu hiyo siku. From 6 to 10 unaburudika na midundo kama hii,duh! Ujana ni Moshi kweli. Nakumiss kwenye game Ray c!🔥🔥❤
... was so young trying to learn the lyrics to this song.... feeling nostalgic in 2022
your about 25-27 yrs now
@@jamesmayala5491 absolutely 💯
@@t0themoon and life was so fantastic back then now we meet the world and childhood is only good memory wa have
Ray c what amazing tune!!!
Power of good music before Gigi money was born 😂🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂
😂😂😭
Jan 17th 2021 still enjoying this to the end of the world 💕
I dont understand swahili but the way i love her songs only God knows
2019 nime skia hii ngoma ika ni fanya nishikwe n feelings z kitambo
I got married on 2003 but 2004 i got pregnant but this song caset wah 😅
Wahenga tunaipata hii pale umemmiss babe na yuko mbali basi ndo kadedication ketu hako ❤️
Daaah nakumbk mbal saana❤
Natamani ungefanya rimix na diamond katika wimbo wako huu utaingiza fedha nyingi sana
Tunaangalia 2021 like hapaa❣️
Akikua na muonekano mzuri toka zaman
2022 love from Burundi 🇧🇮🇧🇮 it's nostalgic I used to hear this song when we were young.good to hear it again
2023 old is gold❤
❤❤❤❤ninapend
A good one Ray c
To those who will find this at 2050, I was here at 26yrs.✌️✌️
This type of songs never go out of fashion,, wondered why and how 😮😮❤
This girl Ray c.. when I play her touching songs reminds me China 🇨🇳 Guangzhou.. God bless the work of your mouth...#talent.
Wow. Yani Ray c unanikumbusha mwanga stand nashuka basi yani nyimbo zako zinasikika kutoka kibilizi. Mungu akulinde binadamu sote zaifu hakuna aliye kamilika
One of my favorite. Mad love from Kenya
This will forever be kept in our history books manze.. Especially when kbc was ruling the airwaves.. Big up ray c manze ❤
Huyu dada anajua jamani👏
Jamani hivi hizi nyimbo nzuri kama hizi zitajirudia kweli
2024
So Swt inanikumbusha mambo mengi mno nyimbozake cmojatu zote zinamaana sanakwangu
mshukuru mungu kwa kukupa uhai kuiskia hii nyimbo 2019, maana wengi wamekwisha tangulia mbele za haki,.....tulioiskiliza nao enzi hizo. RAY C GO ON PLZ.....
GOD..aki nikiskizaa hii song najiona mzeee
good job RAY C .. huu wimbo unanibambanga kila ninapouskia. kudos!!
Wah! Reminds me of the old early mornings.. Radio citizen.
2
0
2
1 still watching from my motherland 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💫
Uko wapi kweli??? Baado nakutafta angalau roho yangu itulie aaaa the memories those days ha
My all time love. Be blessed wherever you are❤
Mâcha allah ❤❤wimbo nzuri kabsaaa
Eu adoro essa música até hoje
Venha t ver meu coração descansar
Tuliokua ray c ndo mschana mzuri pekeake Tanzania tujuane 😂 yoh 2021.
😂😂😂kwel me nampendaga Sana Yan sichok kuskilza nyimbo zake
Back then nlikua napenda dem jirani wangu then wakahama 😂🥹🥹😭😭😭😭😭😭😓 ila niliumia sana
Nakubuka balikuweli mungu endelea kutupa pumzi ya uzima
it reminds me of those lovely days when I used to relax on the couch an just listen to gifted ray c I love u
Kenya princess tenaa😂😂
good song sitawai isaau hii nyimbo 😢😢❤
Man it took me a minute to find this song 🤣🤣 finally found it
Hakika saut na mwenyewe zinaendana safiiii sana mabint toka Iringa
M bongo wa kwanza maishaaa na bataaaa za hatr🎉🎉🎉
Ray C is irreplaceable 🧡💓❤️💞🎨🖌️
Indeed😊
Nyimbo zako badoo zinaelewekaa sana Dada ila wewe ndo huonekaniii
duh rc kitambo sana enzi za darasa la 4
Nyibo za zaman nzuri sana
Nakumbuka mbali sana 😍😍🥰
😢 man old days namiss
I can't stop listening and watching her song Ray C am in love in what ever you have done
HUYU DADA ANA KIPAJI SANA LAKINI UNGA UKAMWALIBU
Hopefully people in 2090 will still appreciate this masterpiece 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wow thax
Nakupenda we mwanadada jmn hujui tyuuu rudi bc uendelee kipenz
I loved this chiq she was the best in east Africa wachana Napa wa juzi
Reminds me of Vincent Atea on Citize radio. #Mtafute mbunge wako 6:30 am before going to school
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana marehemu dada aliupenda sana😭😭😭😭
Mrembo, Rudi studio... listening for Afghanistan...hongera
Daaah Still Watching October 5th 2021
Hii Ngoma Inanikumbusha Mbali Na Zamani Sana nikiwa Kijana Wa Miaka kama 11 hivi
Enzi Hizo Wimbo Huu Na Ule ""Umenikataa bila sababu""" Ulikuwa unapigwa sana Redio Tanzania
Na Ule wa Inspector Haroun ""Nimevuka Mabonde Na Milima"""
Good Music Never Die
2024 watching from Dubai nastolgia music lifetime hits
Nyimbo za kitambo ni poa na zina mafunzo napenda sana