Uyu ni mpumbavu sana ajui mpira nini zungumzia timu yako icho ndio muhimu kwasababu ata yanga kuchukua ubingwa amecheza na timu nyingi tuu zote ziheshimiwe
@@daudkhatib-qn5tr Mwambie chama tyr ameshawasili jangwani Tena kwa tsh 0.0009 za tz ...... Chama alishaaga mapema kwamba anahama udundukani 🤣 na tyr amefika jangwani
Vizuri kijana wangu, Hekima umeumbiwa nayo Go on!
Kaka wape vidonge vyao
Mwimba taarabuwa makolo
Mwamba uko vizuri
Tutawanyooosha haswaaaaa
Awa ndio mashabiki awaendi mpirani hadi Simba na Yanga
Kwa nini,wewe mbona hujielewi...
Kaka upo vzr,lkn hapo kwenye ndoa unakosea,kupata mtoto ni zawadi toka kwa Mungu na c uwezo wa wana ndoa!.
Gamondi yuko juu sana
Ni . Kweli usiopingika mkubwa akijamba husingiziwa mdogo na mdogo akibisha mikwaju humuandaama
Makolo pokeeni ushali musijitie ujuaji
Kaka unaongea vizuri lakin hutoeleweka kwakuwa umevaa nguo ya mabingwa(Yanga)
😅😅😅
Uwa napenda kkusikiliza upo makini dogo
❤
Uyu ni mpumbavu sana ajui mpira nini zungumzia timu yako icho ndio muhimu kwasababu ata yanga kuchukua ubingwa amecheza na timu nyingi tuu zote ziheshimiwe
Hujielewiiii
Wewe ndio mjinga, ukisikiliza hapo huyo unayemuita mpumbavu, anayatoa kichwani? Ulitaka akiulizwa akatae kujibu?
Hata ww nimpuuzi illa hujielewi
Achen uongo amna helaya kumsajili chma
Hii comment yako inapelekwa maktaba ... Tutakukumbusha
Kwani chama analipwaaa bilioni ngapi na madunduka ili ashindwe yanga
@@daudkhatib-qn5tr Mwambie chama tyr ameshawasili jangwani Tena kwa tsh 0.0009 za tz ...... Chama alishaaga mapema kwamba anahama udundukani 🤣 na tyr amefika jangwani
Mwamba kitambo tu yupo jangwani wewe unasemaje au mpk uambiwe na mangungu 🤣🤣
Huyo mpumbaavu hajuwi hata khoji mtuu