Magoli | Simba 4-2 Asante Kotoko | Mechi ya Kirafiki 28/08/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Magoli mawili kutoka kwa Clatous Chama, na mengine kutoka kwa Augustine Okrah na Pape Sakho yameipa Simba ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kati ya miwili itakayocheza nchini Sudan.
    Magoli mawili ya Asante Kotoko katika mchezo huo yamefungwa na Stephen Mukwala dakika ya 9 na Stephen Amankona kwa mkwaju wa penati dakika ya 79.
    Haya hapa magoli yote....

ความคิดเห็น • 170

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyu chama kila goli la simba lazims ahusike, halaf kuna mpuuz anakwambia hana speed hafai. Jaman ifikr mahsl tuheshome vipaji vya watu

  • @johansenbashange2628
    @johansenbashange2628 2 ปีที่แล้ว +11

    Goli la kwanza la Kotoko linaendelea kutukumbusha partner ya Ouatarra na Inonga haina muunganiko! Wanajikutaga kwenye mazingira magumu kwa kuzubaa kwao

    • @kedyjohn1848
      @kedyjohn1848 2 ปีที่แล้ว +2

      In a footballing eye, midfielder kapoteza mpira sehemu hatari sana na ilitosha kwa mpinzani kugusa mpira mara moja tu kuamua pasi ya goli. Siyo kabisa kosa la kipatnashipu...

    • @thomasabelmwakipesile5280
      @thomasabelmwakipesile5280 2 ปีที่แล้ว

      Simba tusije tukafanya kosa la kumwacha Onyango ! Huyu Quatarra namwona ni mzuri zaidi akacheza as defensive midfielder na Inonga akasimama kati pamoja na Onyango!

    • @dullyjabri8393
      @dullyjabri8393 2 ปีที่แล้ว

      Magoli tunayo fungwa ni ya aina moja hata la yanga ni hivi hivi

    • @hajiussi9290
      @hajiussi9290 2 ปีที่แล้ว

      Kwl kk

    • @kedyjohn1848
      @kedyjohn1848 2 ปีที่แล้ว

      @@thomasabelmwakipesile5280 Duuh ulimwona wapi akicheza defensive midfielder bro ?

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 2 ปีที่แล้ว +8

    Ila sio siri jamni simba ikufunga mashabiki tunapata usingiz mnono

  • @tumpaleluhanga1396
    @tumpaleluhanga1396 2 ปีที่แล้ว +6

    Faulo ya Kapama ni ya kizembe sana.
    Kulikuwa hakuna haja ya kucheza vile na kusababisha penati ambayo nadhani haikuwa ya lazima

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 2 ปีที่แล้ว +7

    Walivyoshanglia goli la kwanza dah wangejua nne zinakuja wangetulia tu

    • @brenderdennis4186
      @brenderdennis4186 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha niache nicheke this is simba on 🔥😁😁😁😁

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 2 ปีที่แล้ว +8

    Hpa ndo naamin kam kinyes fc wanaturoga

    • @eddula1756
      @eddula1756 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eee

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 2 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @fauziahamiss7612
      @fauziahamiss7612 2 ปีที่แล้ว

      Umeona he

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      Hapana...Kuna Umafia unaoendelea ambao kamwe hautaufahamu mpaka uwe ndani ya hizi Klabu mbili

  • @kidukakiduka680
    @kidukakiduka680 2 ปีที่แล้ว +5

    Ila jamani huyu beki wetu wakat hua mm simuelewagi kocha anampenda tu ila shuhuli ya onyango haiwezi kabisa na viongzi wakimuacha onyango wamebugi

    • @obadiahnkwale124
      @obadiahnkwale124 2 ปีที่แล้ว

      Hata mm sjamuelewa onyango ni mtu na nusu

    • @gidionmtende8252
      @gidionmtende8252 2 ปีที่แล้ว

      Onyango bado ana umuhimu wake huyu mzito kukimbia

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 ปีที่แล้ว +2

    Inonga wewe ni Bek punguza mbwembwe.

  • @rashidikawanga2941
    @rashidikawanga2941 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani huyu Outtara tutafungwa mengi sana na watu wenye speed yy km hawez kukimbizana na watu atulie nyuma kule kwny position yke sio lazima asogee mbele sanaa,acheze onyango tu maana huyo outarra uchezeji wake km pascal wawa na huyo alikuwa anakaa benchi kwny combination ya onyango na inonga, kocha anazingua. But all in all good performance 👏 👏👏👏👏👊👊👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥

  • @benjaminsteven7350
    @benjaminsteven7350 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi huyu mzungu mbona mi simsisomi

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 ปีที่แล้ว +2

    Shikamooo Simbafc hivyo ndio vipimo sio cha Mwamnyeto mzee wa kuchomesha😂😂😂😂😂

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 2 ปีที่แล้ว +4

    Okwiii????au masikio yangu

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nilishtuka nikafikiri naangalia mpira wa zamani ila nikaona kina Moses Phiri, Okra na wengine nikajua mtangazaji kapagawa na pira biriani

  • @ahadiyamungualdos8344
    @ahadiyamungualdos8344 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba Yangu imesha NIKOSHA moyo mapemaaa Sina shida na mtu

  • @chiddybanda4598
    @chiddybanda4598 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwan hawa utpolo kawaalika nani uku 🐸🐸 🐸 wapite kushoto haiwahusu axe 😃😃😃

    • @allyzahir7998
      @allyzahir7998 2 ปีที่แล้ว

      Kwa nn mnatuogopa sana watani cc Sio maadui ndo Mana tunashiriki shuhuli zenu

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama is one bad news football brain... Naona kapania kweli msimu huu !

  • @eliudeustace8830
    @eliudeustace8830 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndio maana simba sihami hata vp

  • @mariam5617
    @mariam5617 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii mech sio ya kuijaj sana kikos sio chenyewe wangetimia awa wangepgwa paka 10 awa team awana kabsa

  • @paulsamarini11
    @paulsamarini11 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mlichokifnya ndo tunakitaka kwahyo pgeni kaz wanarunyasi

  • @joshuataramo7317
    @joshuataramo7317 2 ปีที่แล้ว +3

    Coash wa Simba kwa hakika hana sababu ya kulaumiwa Victor Akpan hana Msaada kwa Timu .Kiungo cha chini Simba hawana mtu zaidi ya Kanoute. Hata Mkude nimemuona kule Stars alikuwa anarukaruka tu. Nassoro Kapama anaweza anafanya vizuri. So Mzungu Akpan na Mkude Simba wajipange hakuna watu pale.Ila Okwa apewe sana nafasi

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila akipani mmhhh

  • @amanichodo1141
    @amanichodo1141 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations, this is Simbaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @haidaris.kalunga9541
    @haidaris.kalunga9541 2 ปีที่แล้ว

    Magoli yote manne Chama kahusika. Halafu mtu anasema Chama ameisha! Pasi ya Chama kwa Israel,akampa Okrah. Chama kampa Sakho katupia. Penalty kaijaza,kisha kamalizia hesabu ya 4 kwa kuwachekecha.

  • @joshuabryson8044
    @joshuabryson8044 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama huyu ndo simba Yani kaibeba kama yote

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa maoni yangu naona ni bora simba ikawa Taifa stars vile

  • @bennedicthillary500
    @bennedicthillary500 2 ปีที่แล้ว +2

    Ivi mnamfuatilia moses kila gemu anatupia jamaa cio poa , ila chama salute

    • @mamutz5479
      @mamutz5479 2 ปีที่แล้ว

      Jamani Mimi hatasielewi goli lakusawazisha kafunga okra au phili simuelewi mtangazaji simuelewi

    • @costasendama113
      @costasendama113 2 ปีที่แล้ว

      @@mamutz5479 okrah siyo Moses

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 2 ปีที่แล้ว

      Yah ana mwendelezo mzuri na wastani mkubwa wa magoli kuliko washambuliaji wote wapya wa ligi hii yetu.
      Lakini unamfuatilia vp Mo Ouatara?

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 ปีที่แล้ว +1

    BRAVO SIMBA.S.C🇹🇿🇬🇷🙏

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 2 ปีที่แล้ว +3

    Aina ya goli la kwanza simba wanafungwa ni aina ya magoli aliofungwa na yanga mabek hasa wa kati bado rotation kubwa inaitajika onyango mpka leo hakuna kucheza kwann

    • @hajiussi9290
      @hajiussi9290 2 ปีที่แล้ว

      Umesem k2 kk hap ni vzr tukjitathmin nn 2fanye

    • @ezekiajamess4977
      @ezekiajamess4977 2 ปีที่แล้ว

      Pale kosa ni la Yule beki mpya hakabi kabisa bola angekua onyango

    • @hajiussi9290
      @hajiussi9290 2 ปีที่แล้ว

      @@ezekiajamess4977 lamsing koch kuna w2 awap nafasi waonesh uwezo wao nawo onyango hkun 7bu y kmba asingie maan nimra y tat kosa moj ilo ilo

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee 2 ปีที่แล้ว

      Jerome, wewe unaujua mpira. Wewe Shabiki wakweli

    • @isihakabanda589
      @isihakabanda589 2 ปีที่แล้ว

      Kila hatua Dua..kaka ondoa shaka

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee hata anachokifundisha hakuna hawa ni makocha wamafungu

  • @alwaysinprofit5750
    @alwaysinprofit5750 2 ปีที่แล้ว +2

    Banda yuko fresh sana

    • @jacksonmoses9428
      @jacksonmoses9428 2 ปีที่แล้ว +1

      Dogo anacheza mpira wa kizungu hana parapara za kufunga goli

  • @nuhuswalehe6690
    @nuhuswalehe6690 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama atabaki kuwa yeye🔥🔥🔥

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 2 ปีที่แล้ว +1

    The brain master

  • @angleemanuelhassan6048
    @angleemanuelhassan6048 2 ปีที่แล้ว

    Yani hivi vyura vinawazaga
    dabi tu 🐸🐸🐸wanasimba sisi tucheke jamaniiii
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omaryhajji1393
    @omaryhajji1393 2 ปีที่แล้ว +2

    Magoli yote chama kahusika

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 ปีที่แล้ว

      Halaf Kuna wajinga watakuambia chama ameisha eti anapoozesha Mpira ...Halaf unarudi kumshangaa kocha wa Simba kumtoa chama kwenye mechi ya ngao ya hisani...nilimmind sana kocha huyu alifanya ujinga sana Yanga wasingeshinda ile mechi Kama chama asingetoka ..ile mechi chama lazima angepiga pasi za mwisho au kufunga tungetoka droo au tungeshinda

    • @rashidimkongewa3927
      @rashidimkongewa3927 2 ปีที่แล้ว

      Kwani chama ndio Nani

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 ปีที่แล้ว

      @@rashidimkongewa3927 angalia clip hiyo utamjua tu

  • @hassanmsilu146
    @hassanmsilu146 2 ปีที่แล้ว

    Kikosi Cha leo simba

  • @eddula1756
    @eddula1756 2 ปีที่แล้ว +2

    3-2

  • @parambili1382
    @parambili1382 2 ปีที่แล้ว

    Kweli tumeshinda ila akpan mmmh n janga l taifa

  • @sifaomary1490
    @sifaomary1490 2 ปีที่แล้ว

    kwenye goli la 4 banda alikuwa na uwezo wakufunga akiwa amefumba macho lakini akampa tena chama!

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html St Ty

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tupo avic tunawasubir makolo

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 2 ปีที่แล้ว

      Misukule tuu hamna kitu nyie utopolo

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว

      @@atupelemsyani7411 mishono ya mayele imeponaa ??

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 2 ปีที่แล้ว

      tv mshono wa mayele uwe kwetu??? Hv mzma kwel ww😁😁😁😁

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว

      @@salamasaidi6620 kumbe ulitaka awe nao boss wako mo

  • @ibrahimmohanmed6569
    @ibrahimmohanmed6569 2 ปีที่แล้ว

    Umoja n mguv kocha atulie t.na.atumie malf na akl

  • @maryrweyemamu7825
    @maryrweyemamu7825 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikia Emanuel Okwi???

    • @hemedkagodah1436
      @hemedkagodah1436 2 ปีที่แล้ว

      Daah uyu mwamba ukiwa unaskiliza redio adi raha ata kwe tv ukiskia jina lake tu ..

  • @mnkubaafmily8095
    @mnkubaafmily8095 2 ปีที่แล้ว

    Namuno inacheza saa ngapi

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba imefulia ukitaka kuhakiki klabu yetu haina hela tazama usajili wetu na huyu mzee mnomuita kocha huyu mzee wa mchongo haifikishi popote simba huyu kacheza dili na wale wazee wadili

    • @CyimSky
      @CyimSky 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha kutafuta kiki kwa kusema wengine pambana kujua thamani yako

    • @huseinmuya2651
      @huseinmuya2651 2 ปีที่แล้ว

      sio kosa lasimba nikosa la uongozi

    • @furahajacob9110
      @furahajacob9110 2 ปีที่แล้ว +2

      twachie simba yetu kenge mjamzito ww

    • @omarymahanyu5748
      @omarymahanyu5748 2 ปีที่แล้ว

      Yaani umeongea pumba utafikiri umekalia kitu chenye ncha kali!

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 2 ปีที่แล้ว

      @@CyimSky Hatuwezi kuzungumzia kingine itakua haiendani hapo tupo kwenye mchezo wa simba na Asante kotoko unataka tuongelee tim gani na kwa munasaba gani ??

  • @loysamwely4574
    @loysamwely4574 2 ปีที่แล้ว

    Goli la kwanza alikuwa phili

  • @kibasatv1524
    @kibasatv1524 2 ปีที่แล้ว

    Hatariiii sana msimbazi

  • @asifiwevenus4083
    @asifiwevenus4083 2 ปีที่แล้ว

    Chama ndiye kiungo simba

  • @nurumgohelen3867
    @nurumgohelen3867 2 ปีที่แล้ว

    Sapot tusonge naitwa japhetizo nafanya Muzik ingia youb Sachi japhetizo utapata Ngoma Kali zote usisahau subscribe

  • @alwaysinprofit5750
    @alwaysinprofit5750 2 ปีที่แล้ว +2

    Chama kama de bruyne

    • @geofreybahema5118
      @geofreybahema5118 2 ปีที่แล้ว

      He is good but not like kdb please have some respect

    • @janethjackson7704
      @janethjackson7704 2 ปีที่แล้ว +1

      Kiboko yenu ni yanga nyie paparukeni mtakuja tu tuwanyooshe vizur vizur

    • @simonlaizer6942
      @simonlaizer6942 2 ปีที่แล้ว

      We naweee kwn unatesk ukiw wp Janet??🤣🤣🤣

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 2 ปีที่แล้ว +1

      daah..yaani jana nilikuwa nafikiria hivohivo kila nkiona pass zake elekezi...ni KDB kabisa wa bongo

  • @Trendzzzzzzz
    @Trendzzzzzzz 2 ปีที่แล้ว +1

    👏🏼👏🏼👏🏼

  • @Marioo_official
    @Marioo_official 2 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @hbrtv3345
    @hbrtv3345 2 ปีที่แล้ว

    Simba nguvu moja

  • @charlesfrancis8253
    @charlesfrancis8253 2 ปีที่แล้ว +1

    Ligi mbovu

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️

  • @abasirajabu5917
    @abasirajabu5917 2 ปีที่แล้ว

    Ongera chama

  • @alielmahdi7
    @alielmahdi7 2 ปีที่แล้ว

    مرحباً بكم في ارض النيلين 🇸🇩

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 2 ปีที่แล้ว

    Chama cletous

  • @antygaspergabriel403
    @antygaspergabriel403 2 ปีที่แล้ว

    Mechi imejaa penalty

  • @aronatv47
    @aronatv47 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya Off side na huku nako wanabebwaaaa..?Watu buanaa

    • @iTelephone820
      @iTelephone820 2 ปีที่แล้ว

      Offside iko wap au unatafta kiki mzee

  • @danielchalamila2395
    @danielchalamila2395 2 ปีที่แล้ว

    Asante kotoko imeshuka kiwango saivi sio kama zamani tusibweteke sana

    • @danielchalamila2395
      @danielchalamila2395 2 ปีที่แล้ว

      @@Mungwetostudio12 Hapana uwezo hana ndio maana amefungwa

  • @zubedaibrahim7865
    @zubedaibrahim7865 2 ปีที่แล้ว

    Wep vyaoooo

  • @janethjackson7704
    @janethjackson7704 2 ปีที่แล้ว +5

    Kiboko yenu ni yanga nyie zurureni tu lakini tunawasubili mrudi tz tuwanyooshe vizur vizur,nawakumbusha tu naona kama mmejisahaulisha

    • @athumaniramadhani4975
      @athumaniramadhani4975 2 ปีที่แล้ว +2

      Bila Shaka mtacheza na Simba game 30 ata kimataifa mtacheza na Simba 😁😁

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 2 ปีที่แล้ว

      @@athumaniramadhani4975 we jitoe akir ila najua umeelewa nn mrembo Janeth anasema

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 2 ปีที่แล้ว

      Waambie hao makolo

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 2 ปีที่แล้ว

      @@bujashidaniel5537 ok mwezi wa 10 sio mbali

    • @jovinesalvatore4055
      @jovinesalvatore4055 2 ปีที่แล้ว +1

      @@athumaniramadhani4975 kuna waatu akili huw hawana ujue...yan wao wanawaza daby kila kukicha ujue😃😃

  • @ip_header
    @ip_header 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kotoko jamvi la wageni, watu wanajipigia tu, sio kipimo sahihi, mechi na El-hilal ndio itaonyesha hali halisi ya Simba

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      Huwezi jua uhalisia wa Simba bila wachezaji Zaid ya 6 wa kikosi Cha kwanza

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 ปีที่แล้ว

      @@abuushaymaatz wachezaji 11 wa Simba hawajasafiri na kikosi (kakolanya, manula, kapombe, mkude, Mohamed Hussein, kyombo,kibu Denis, onyango hajasafiri, kanoute yupo kwao,

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 ปีที่แล้ว

      @@abuushaymaatz wachezaji 11 wa Simba hawapo, 9 wapo team ya taifa, onyango yupo dar kwasababu ya mgomo, kanoute yupo kwao kimatatizo ya familiar

    • @alymansury
      @alymansury 2 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo liverpool juzi goals 9 alicheza na mtibwa

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 2 ปีที่แล้ว

      Kwenye viwango vya CAF asante kotoko wako juu ya yanga

  • @mkuyasmkuki6220
    @mkuyasmkuki6220 2 ปีที่แล้ว

    nommà sana

  • @girionpantaleo5881
    @girionpantaleo5881 2 ปีที่แล้ว

    Emmanoeli okwi karud simba au nimesikia vibay

  • @evaristkiiza1938
    @evaristkiiza1938 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Simba
    mechi saf ya maandalizi

  • @frankjacob971
    @frankjacob971 2 ปีที่แล้ว

    Simba hatar xn

  • @mamajaphety1624
    @mamajaphety1624 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mbona mashabiki hamna

  • @cathbertmitoga9713
    @cathbertmitoga9713 2 ปีที่แล้ว

    Kotoko timu laini sana,beki uchochoro

  • @bensonmeritis4108
    @bensonmeritis4108 2 ปีที่แล้ว

    Hii nfo ximbaa

  • @jezzo_16
    @jezzo_16 2 ปีที่แล้ว

    Chama

    • @kingyeskingyes2263
      @kingyeskingyes2263 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html Ty hi

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 2 ปีที่แล้ว +2

    Goli la nne offside

    • @davidmbaga2998
      @davidmbaga2998 2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa kibendera tumekuelewa

    • @treezybrown9647
      @treezybrown9647 2 ปีที่แล้ว +1

      Toa ilo moja

    • @simonlaizer6942
      @simonlaizer6942 2 ปีที่แล้ว +1

      Kajarib na ww km utapt at hy of side nyangum ww😝

    • @iTelephone820
      @iTelephone820 2 ปีที่แล้ว +1

      Offside kwa sakho au banda 3:48 em tizama hapo banda yupo onside na Sakho kaukwepa mpira na nyuma kulikua na beki enhe offside inatoka wap

  • @salihalash4111
    @salihalash4111 2 ปีที่แล้ว

    I dont think you will see beautiful stadiums like this in tanzania
    Only in Sudan🇸🇩🇸🇩

    • @vitalismarunda6760
      @vitalismarunda6760 2 ปีที่แล้ว

      Have u ever reached in tanzaniaa

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว

      Bangi

    • @salihalash4111
      @salihalash4111 2 ปีที่แล้ว

      @@vitalismarunda6760 yea you only have one stadium and its govt stadium

    • @jeremiahsanare8754
      @jeremiahsanare8754 2 ปีที่แล้ว

      Benjamin mkapa stadium dar es salaam

    • @Abasiyacity
      @Abasiyacity 2 ปีที่แล้ว

      @@vitalismarunda6760 he is talking about Simba FC club stadium. Simba has no stadium like Alhilal. Yea Tanzania has a nice government owned stadium, Sudan also has one that is due to open later this year. East Africa ❤️

  • @abbasmashomo5978
    @abbasmashomo5978 2 ปีที่แล้ว

    Tiba mbadala inawasiubir

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 ปีที่แล้ว +1

    Chama ni chama tu

  • @rachelmfeti3465
    @rachelmfeti3465 2 ปีที่แล้ว

    Magoli 3 yote off side

    • @iTelephone820
      @iTelephone820 2 ปีที่แล้ว +1

      3:48 araf pause uone km ni offside km inauma chomoa

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 2 ปีที่แล้ว +1

    ila kwa phiri napo naona kama tulipigwa tu..hana kashi kashi kama striker yani😕

    • @tausimvila2174
      @tausimvila2174 2 ปีที่แล้ว

      Hapna ila Koch nmba anayompnga kwake sio sahihi phir mzuli akitokea kma wing

    • @anoldjohn1757
      @anoldjohn1757 2 ปีที่แล้ว +2

      Huna akili wala soka hulijui pumbafu

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 2 ปีที่แล้ว

      @@anoldjohn1757
      basi samahani kaka unisamehe nimekosa

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 2 ปีที่แล้ว

      @@tausimvila2174
      nadhani itakuwa hivo maana daah..unamuona mara chache sana

    • @jovinesalvatore4055
      @jovinesalvatore4055 2 ปีที่แล้ว

      kam Phiri anafunga bas inatosha kuwa ni striker mzur kwetu

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 2 ปีที่แล้ว

    Otaraa bado sana