Flora mbasha unakipawa sana cha kuimba Mungu amekupa ila kosa kubwa ni kuolewa mara ya pili, ww unahesabika ni mzinz maana mme wa ujana wako yupo hai, pamoja nakuimba kwako usipovunja uhusiano huo utakwenda JEHANAMU YA MOTO, ambapo ni kilio nakusaga meno.
mungu anaket kat kat yasifa pia kumsifu bwana kunawapasa wanyoofu wa moyo sasa ww unawezaje kumsifu mungu wakat hujapatana na mzaz mwenzio ibada njema inaanzia nyumban ndio inatoka nje yan hapo unaonekana mnafki mkubwa. hata kusamehe hujui utawaambiaje watu wasameh uvumilivu hujui utawaambiaje wengine wavumilie mungu hashindwi na jambo ila ww ulikata tamaaa
Flora Mbasha, I have followed your songs, Unanibariki sana dada.Nyimbo za hali ya juu sana. Barikiwa sana, majaribu ni mengi lakini Bwana akushike mkono .Jana ni mara ya kwanza kusikia uimbaji wako
Mungu akubariki Flora yn nmeusevu kwny simu huu wimbo naupigisha usiku wote naota ndoto za kumtumikia Mungu tu na nikiamka kutwa nzima moyoni naimba Yesu usinipite! Hakika wimbo unagusa sanaaa!
Da frola kiukweli nakupenda haswaaaa kutoka moyoni napenda sana kuimba injili siku moja niite na mim unishirikishe my dear duuu Mungu akuinue namim ni WA mwanza mwenzako
Madam huu wimbo uliuimba kwa kweli,,yaani mimi unanigusa kwa namna ya tofauti sana.Siku ya kwanza nimeusikia kwenye sherehe ya ndoa yako,,ulinitoa machozi kwa kweli.Naomba Yesu asinipite
Pass me not, O gentle Savior, Hear my humble cry; While on others Thou art calling, Do not pass me by. Savior, Savior, Hear my humble cry; While on others Thou art calling, Do not pass me by. 2 Let me at Thy throne of mercy Find a sweet relief; Kneeling there in deep contrition, Help my unbelief. 3 Trusting only in Thy merit, Would I seek Thy face; Heal my wounded, broken spirit, Save me by Thy grace. 4 Thou the spring of all my comfort, More than life to me; Whom have I on earth beside Thee? Whom in heaven but Thee?
Flora mbasha unakipawa sana cha kuimba Mungu amekupa ila kosa kubwa ni kuolewa mara ya pili, ww unahesabika ni mzinz maana mme wa ujana wako yupo hai, pamoja nakuimba kwako usipovunja uhusiano huo utakwenda JEHANAMU YA MOTO, ambapo ni kilio nakusaga meno.
mungu anaket kat kat yasifa pia kumsifu bwana kunawapasa wanyoofu wa moyo sasa ww unawezaje kumsifu mungu wakat hujapatana na mzaz mwenzio ibada njema inaanzia nyumban ndio inatoka nje yan hapo unaonekana mnafki mkubwa. hata kusamehe hujui utawaambiaje watu wasameh uvumilivu hujui utawaambiaje wengine wavumilie mungu hashindwi na jambo ila ww ulikata tamaaa
Dada moja kati ya nyimbo zako zilizonibariki ni hii,barikiwa
ee mungu usipite tizama na mimi ni mwanao nihurumie ktk majaribu ninayopitia baba
big up flora ,yesu usinipite unapo zuru wengine pliiiiz nkumbuke ,
Flora Mbasha, I have followed your songs, Unanibariki sana dada.Nyimbo za hali ya juu sana. Barikiwa sana, majaribu ni mengi lakini Bwana akushike mkono .Jana ni mara ya kwanza kusikia uimbaji wako
Hata nikikukosea,naomba usinipite Yesu..Mungu akubariki madam flora..Wimbo huu umegusa moyo wangu.
always your my no one fam....you did it madam......
Waaaao hongera Mrs Daudi keep it up Mungu Yuko na wew Hakika yesu usinipite huu mwaka
Yesu usiniache.. hata nikikukosea nakuomba unifundishe Baba.
Barikiwa Madam Flora.
Hongera sana mdogo wangu kwa kweli umesimama imara kutumikia MUNGU ubarikiwe
Mungu akubariki Flora
yn nmeusevu kwny simu huu wimbo naupigisha usiku wote
naota ndoto za kumtumikia Mungu tu na nikiamka kutwa nzima moyoni naimba Yesu usinipite!
Hakika wimbo unagusa sanaaa!
Nabarikiwa na nyimbo zako nakupenda da Flora. Mungu akubariki
Far from all bado Mungu anakutumia to touch every broken souls.. God bless your ministry Frola
Da frola kiukweli nakupenda haswaaaa kutoka moyoni napenda sana kuimba injili siku moja niite na mim unishirikishe my dear duuu Mungu akuinue namim ni WA mwanza mwenzako
madam flora , umenibariki kwa hii nyimbo unaponukuu mistari ya biblia umeufanya wimbo uniguse rohoni .
Hongera sana kwa wimbo mzuri sana kweli Yesu usinipite
My best song forever napokua na wakati mgumu nafarijika sana kupitia huu wimbo god bless you mamaa
Ubarikiwe Dada flora kwa Huduma yako hii
Madam am speechless Mungu akutunze mpendwa
😭😭😭😭 Madam flora barikiwa sana wimbo wakuliza na kubariki
Madam Frola sina la kukwambia zaidi ya kusema asante kwa huu wimbo
Usinipite Yesu..Barikiwa sana dada angu.
Aisee huu wimbo duu unaniponya kila leo barikiwa mtumishi
Nyimbo nzuri sana tena ya kuabudu big up flora
HAKUNA MWINGINE ANAWEZA KUBEBA MADHAIFU YETU KM YESU AFANYAVYO HAKIKA YESU NI WA AJABU NA PEKEE SANA... JIPE MOYO SONGA MBELE SAFARI HAIJAFIKA MWISHO.
Madam huu wimbo uliuimba kwa kweli,,yaani mimi unanigusa kwa namna ya tofauti sana.Siku ya kwanza nimeusikia kwenye sherehe ya ndoa yako,,ulinitoa machozi kwa kweli.Naomba Yesu asinipite
Mungu akiwa ndani mwako Hakuna wa kukurudisha nyuma, nami mwaka huu mungu anivushe salama
Wimbo nzuri nabarikiwa Sana,yaani dada unaimba Sana
kazi nzuri kutoka kwako madam kwa neema ya MUNGU wetu azidi kukuimarisha na ufanikiwe kimataifa @madamflora #YESU usinipite
Ubarikiwe Sana'a madame frolah l real love uuu
Huu wimbo unagusa hadi mifupaa @floraaa hongera nakukubali sana dada angu sio kwa vocal hili la dunia nyingine kabisaa
Nice song.... Stay blessed my ccta
nimependa ulivyo badilika madam,mungu akubariki sanaaaaa
I can't get enough of this song,it is such an inspirational song .God bless you madam u are really touching peoples' lives
Nimetoka kuutafuta sasa ivi.....God bless u Dada flora
Sichoki kuutazama wimbo huu ,ubarikiwe sana dada Flora
This is powerful song Be blessed madam 🙏🙏
Nausikiliza kila mara kweli Mungu akubariki Dada
Nyimbo bora kabisa ya kuabudu kwa Tanzania kwangu Mimi.
umeimba Vizuri kazi yako ni njema.
fLORAH THIS IS VERY POWERFUL.MUNGU AKUTETEE NA HUDUMA YAKO, NA SHETANI AAIBIKE
mama najua unaimba kwa hisia Kali sana mungu akuongoze ktk kaz kazo zuri tumeipenda kaz hii
NIMAOMBI YANGU YESU ASINIPITE MWAKA HUU..UBARIKIWE MY SISTER NICE WORK
lov u,Mungu aendelee kukuinua
Dada Mungu azidi kupa ufunuo katika huduma yak ya uwimbaji
A very blessing song jamani, Madam hongera sana. Yesu usinipite. Nimefarijika sana na wimbo wako. Keep in struggling madam...
Barikiwa Dada
Yesu usinipite, unapozuru wengine nikumbuke na mimi
Nimeupenda sana huu wimbo ubarikiwe dada Flora
yesu usinipite unapo dhuru wengine na mmi unikumbuke nyimbo inani bariki madam frola utunzwe na yesu wangu
Yesu usinipite,naomba unikumbuke unapodhuru wengine am blessed with that song barikiwa Madam Flora
Shukurani frola umegusa moyo wangu 👏👏
nice video
ujumbe mzito
hongera sana Madam fora, umenitia moyo sana,sitaogopa mabaya, nitasonga mbele
usinipite Yesu wangu
barikiwa sana madamu flora, hakika Yesu usinipite utende jambo jipya kwangu
Barikwa sana
Yesu usiniache, unifundishe nikikosea.....
Am blessed in this song🕯
Mungu azidi kuwa nawe Dada yangu
Wimbo mnzur sana na umeimba kwa utulivu
Nice madame Mungu Amewekeza kitu kwako be strong
♥This is a beautiful song Flora it showcases your vocals and it's ANOINTED ♥🕎♥
Wimbo mzuri madam umetulia sana.
Wimbo umenigusa san huu Mungu akubariki San Madam Flora I love you
usinipite mwokozi
AMEN AMEN. Wimbo huu niliuskia kwenye harusi Yako madam Flora and l have been waiting for it . Now l got it. Thanks so much and be blessed
Dah Huu wimbo wangu Bora Kwa Huu Mwaka. Nice Song Madam.
Pass me not, O gentle Savior,
Hear my humble cry;
While on others Thou art calling,
Do not pass me by. Savior, Savior,
Hear my humble cry;
While on others Thou art calling,
Do not pass me by.
2
Let me at Thy throne of mercy
Find a sweet relief;
Kneeling there in deep contrition,
Help my unbelief.
3
Trusting only in Thy merit,
Would I seek Thy face;
Heal my wounded, broken spirit,
Save me by Thy grace.
4
Thou the spring of all my comfort,
More than life to me;
Whom have I on earth beside Thee?
Whom in heaven but Thee?
Nami Yesu nakuomba usinipite,wimbo umenigusa sana Mungu azidi kukuinua cc
2019 wimbo umeendelea kunibariki sana,
your really touching people's lives, it's so an inspirational song, Yesu usinipite unapozuru Wengine naomba unikumbuke. Good job Madam Flora
beautiful song,following from Kenya.am waiting for kwa mji wa mwangaza.
kwa kweli umeimba Yani si choki kusikiliza.
Naliaga nikisikiliza hii nyimbo
Ts so touching and powerful, blesses
Wimbo mzuri sana ongera mpaka nalia
Big up Madame Frola Kazi yako nzuri Barikiwa
Mpaka natoka machozi mwenzenu eee yesu usinipite na mimi
Touching song (emotional).Mungu akubariki na kukuinua zaidi Flora
Nice song
Hiii kali ya mwaka flora haayaaa ubalikiwe na mungu azidi kukuinua 🎤🎤👍🏻🔥🔥
mkumbuke na mbasha anaumia kwaajl yako
barikiwa sana Dada na Mimi usinipite
Tears in my eyes.. A very touching song in deed. Be bless madame.
usiogope flora God is with u till the end of time.
wimbo mzuri sana, barikiwa madam flora
Ameni,Mungu azidi kukuinua my lovely sister
Ila huu wimbo ni mzur sana
Why waimbaji mnaimba tofauti kabisa na Mlivyo
I have listened this song many times,real it is inspirational Song.
Powerfully song my dear
Nice da Flora nimeipenda kwa kweli
God bless you for this song.
Can you translate in English please.
Yesu usinipite wimbo poa sn..
Blessing , nice song Dada flora
MUNGU akubalik sana sana
We mdada sikupendi duuuuu Mungu anisamehe lkn nakuachukia sana mlio ma roll model wangu ila duuu umalaya huuu
Uzuri ni kwamba hauna mamlaka ya kuchagua nani awepo na nani asiwepo. MWENYEZI MUNGU atakujibu hili. Bora usingezaliwa😡
Eee Yesu usinipite, barikiwa madam
Barikiwa sana ...mziki mtam sanaa
Amen Nimebarikiwa da flora🙏🙏😘
It’s soul touching song 😞. Bless you Madam 🙌🏽
Nice song be bless Flora
Barikiwe na yesu
Nice song ❤
Yesu usinipite, hakika nabarikiwa zaidi na wimbo huu!Madam Mungu akuinue zaidi
kimamba official kama vile na wewe nimekuonaaa ooopppss