Mbele ninaendelea_Official_Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2021
  • Kwa neema ya Mungu napenda kukualika kuangalia nakuabudu pamoja nami wimbo huu wa mbele ninaendelea, nikutie moyo kuwa Bwana Yesu Anakwenda kukuinua kutoka apo ulipo Naomba Share,Subscribe channel hii ili uwe wakwanza kupata Video nyingine nyingi zaidi Amen

ความคิดเห็น • 279

  • @scholasticajonathan2534
    @scholasticajonathan2534 ปีที่แล้ว +8

    Nilipookoka this was my song na mpaka leo haipiti wiki sijauimba katika madhabahu ya Bwana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾kwa imani

  • @estellamgalla791
    @estellamgalla791 23 วันที่ผ่านมา

    Huu mwimbo ni mzuri sana 🎉nauimbaga kila siku 🎉

  • @JosephYasinta
    @JosephYasinta 26 วันที่ผ่านมา

    Bwana atupandishe juu ya Milima yote

  • @JosephYasinta
    @JosephYasinta 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu ndeye anastahili kutupandisha Juu

  • @kissakasongwa9385
    @kissakasongwa9385 ปีที่แล้ว +7

    Ee Bwana Uniinue kwa Imani nisimame. Nipande milima yoooteee eeh Bwana Unipandishe. Hallelujah

  • @salomemutiso2910
    @salomemutiso2910 8 หลายเดือนก่อน +3

    Do much anointing...hakika naomba Mwenyezi Mungu unipandishe milima yote....in Jesus name.

  • @user-ef9el6kq5i
    @user-ef9el6kq5i ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki Sana kwa wimb mzuri eee bwana nipandishee hallelujah senk you my brother

  • @herenasanga389
    @herenasanga389 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwee siku zote nyimbo nzuri san huwa inanigusaa san

  • @barakathomash2780
    @barakathomash2780 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤💬😔😔😔😔😔
    The Song is real spititual,direct connecting to God, Strengthening ,Rebbuilding,reconstructing confidence again... Re surender ,Powerful and blessing.
    Mungu aendelee kukutunza kwaajili Yangu🤝🤝✍️🧎🧎.

  • @moshe606
    @moshe606 2 ปีที่แล้ว +6

    Give me this 🏔️. Bwana niinue kwa imani nisimame. Nipandishe. Amen

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว +1

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @jacksonmalolage9476
    @jacksonmalolage9476 2 ปีที่แล้ว +8

    Nilikuwa nautafuta sna huu wimbo ,, thanks God nmeupata ,, glory to God

    • @samwaya4873
      @samwaya4873  ปีที่แล้ว +1

      Ameeeen

    • @raymondmutinda3773
      @raymondmutinda3773 ปีที่แล้ว

      Ever woke up with a song in your mouth, I woke up with this today.

  • @iconstechnologies3125
    @iconstechnologies3125 5 หลายเดือนก่อน +3

    Everytime I think of my sick mother I play this song

  • @vimalmwaifunga7607
    @vimalmwaifunga7607 2 ปีที่แล้ว +4

    Natamani kila anaesikia na kutazama hiii nyimbo asikie ninachosikia mimi 🙌🏼Wimbo umebeba utukufu sio wa Kawaidaa...God Bless You man of God....Glory to God

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @bettykibale4449
    @bettykibale4449 5 หลายเดือนก่อน +2

    Eeee bwana unipandishe ...very powerful

  • @veronicagithinji6212
    @veronicagithinji6212 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤I love love the message in this song.. God continue blessing youu...

  • @ezekielrichard1833
    @ezekielrichard1833 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zako znajua kunieka sawa barikiwa

  • @JosephYasinta
    @JosephYasinta 26 วันที่ผ่านมา

    Utukufu kwa Mungu

  • @jamesjoshua2757
    @jamesjoshua2757 ปีที่แล้ว +2

    I really wish to meet the producer there is this shhhhhhhhhhh am hearing on background inanikosesha kusikiliza wimbo kwa uzuriiii

  • @bensonnjuguna4293
    @bensonnjuguna4293 6 หลายเดือนก่อน +2

    BEEN LISTENING TO THIS SONG SINCE YESTERDAY. IT REALY BLESSES MY SOUL. FEW SINGERS SING SONGS THIS WAY NOWADYS

  • @hildakazige1637
    @hildakazige1637 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa Sana, mungu akutie nguvu kwenye kazi yako ya kumtumikia yeye ubarikiwe Sana🙏

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 2 ปีที่แล้ว +2

    Kunanguvu yaajabu sana sana Mungu akubariki kwa nyimbo nzurii sana

  • @JohnRycus-eu3ps
    @JohnRycus-eu3ps ปีที่แล้ว +1

    Bwana uniinue, thanks brother

  • @dayanbukuku3602
    @dayanbukuku3602 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee aisee aisee hongera sn kwa ibada hii nzuri

  • @faithchabeda1952
    @faithchabeda1952 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nipande milima yoteee eeh Bwana unipandishe

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo nikiimba naona Mungu anavyonitendea na roho mtakatifu anashuka kabisa najikuta nasali mno nakua jasiri

  • @MuhammedKeremjii
    @MuhammedKeremjii หลายเดือนก่อน

    Ooh my God

  • @janety1933
    @janety1933 ปีที่แล้ว +1

    Utuinue kutoka kuzimu na utupandishe Hadi juu ya Yale mawingu maana huko ndiko kunapataka ufalme wa milele, eeeeh bwana utupandishe

  • @annahkitondo8206
    @annahkitondo8206 ปีที่แล้ว +2

    Very powerful,naomba mungu unipandishe juu zaidi na zaidi

  • @MrSon.
    @MrSon. ปีที่แล้ว +1

    blessed dear, awesome one. The piano is playing much and destructive on the beginning part.

  • @arminatemba5364
    @arminatemba5364 2 ปีที่แล้ว +8

    So powerful, blessed be the name of the Almighty God.

  • @GiftMbula
    @GiftMbula หลายเดือนก่อน

    ❤ amazing

  • @eliasmhagama4978
    @eliasmhagama4978 ปีที่แล้ว +4

    So powerful, how wonderful our living GOD. Praised be his mighty name JESUS CHRIST

  • @mbisetvmbise9261
    @mbisetvmbise9261 ปีที่แล้ว +1

    AMEN tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu🤲

  • @andulilemwakalinga7635
    @andulilemwakalinga7635 ปีที่แล้ว +3

    Napenda wimbo huu🕊️

  • @onesmomasamaki1885
    @onesmomasamaki1885 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waya umu uliua saan kak

  • @user-mr3qg9iq5k
    @user-mr3qg9iq5k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Utukufu kwa Mungu wetu

  • @christophermatupila7165
    @christophermatupila7165 2 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah, thank you Nice song and More anointing

  • @justusmusau7561
    @justusmusau7561 ปีที่แล้ว +1

    Sina mashaka na wewe Mungu

  • @dorcashita3531
    @dorcashita3531 2 ปีที่แล้ว +2

    my powerful song when i feel very low i jz sing one stansr thn i be strong en prayer warrior ...b blessed more

  • @farajakichali5130
    @farajakichali5130 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua venyew nakupendaga hua unanibariki sana my bro

  • @emmanuelpaul3017
    @emmanuelpaul3017 2 ปีที่แล้ว +3

    5:26 holly spirit alishuka, hallelujah

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 2 ปีที่แล้ว +1

    Kunawatu hawaioni kazi yako 100percent Mungu atakufanya viwango vya juu mwaka huu

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @uncoj.mwanamziki
    @uncoj.mwanamziki 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna wimbo wowote mwaka huu wa 2022 umenibariki kama huu wimbo..Ndugu acha Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว +1

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏

  • @leicymburu5695
    @leicymburu5695 6 หลายเดือนก่อน +1

    Best gospel song I usually listen to.

  • @andrewevans8026
    @andrewevans8026 8 หลายเดือนก่อน +1

    wow... this is Grace...

  • @davidbrian7469
    @davidbrian7469 หลายเดือนก่อน

    More grace bro🙏

  • @officialsamuelthomas
    @officialsamuelthomas 2 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥

  • @georgemtila2522
    @georgemtila2522 ปีที่แล้ว +3

    So beautiful song, God bless you all 🙏🙏🙏

  • @bettybrown4291
    @bettybrown4291 2 ปีที่แล้ว

    Yani Nina mwezi Mzima nasikiliza wimbo huuu Yani Kila nikisikiliza namuona mungu akinipandisha ubarikiwe kaka angu sanaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏

  • @mcjoshuatanzania352
    @mcjoshuatanzania352 2 ปีที่แล้ว +11

    KAKA MUNGU AKUTUNZE THAT'S IS MORE THAN ANOINTING 🔥

  • @anthonynjagi9023
    @anthonynjagi9023 ปีที่แล้ว +2

    I love this song

  • @SophieKiambi-en9zm
    @SophieKiambi-en9zm 5 หลายเดือนก่อน

    Nipande milima yote,eee Bwana unipandashe🙏

  • @prospermgalama7982
    @prospermgalama7982 ปีที่แล้ว

    Nimependa mwanzoni huko mbele ni kama umepoteza mvuto....but what a song

  • @EmmeryhanaKolima-jz4mh
    @EmmeryhanaKolima-jz4mh 4 หลายเดือนก่อน

    My song❤

  • @fampraisepro
    @fampraisepro 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother go go my Brother unahudumia wengi Kaka aiiisee umejaa neema Sana 😭😭😭😭😭

  • @eliudywillz3229
    @eliudywillz3229 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful inaleta hamu ya kumwabudu MUNGU umefanya vizuriiiii SANAAA be Blessed 🙏

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @gabrielzacharia3268
    @gabrielzacharia3268 2 หลายเดือนก่อน

    nice song

  • @tihomassatu7183
    @tihomassatu7183 2 หลายเดือนก่อน

    Sina mashaka na kazi ya calvary, ee bwana sitaogopa chochote, maana Kwako ni salama, nipandishe Kwa Imani

  • @priscamsossy4744
    @priscamsossy4744 2 ปีที่แล้ว +1

    What a nice work...barikiwa sana

  • @jamesfrank5703
    @jamesfrank5703 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana bro... Mungu aendelee kukupandisha viwango na viwango

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @benjaminanthony8625
    @benjaminanthony8625 2 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥 maombi uyasikie 🙏

  • @mercyjepkoech9951
    @mercyjepkoech9951 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nipandishe bwana

  • @fortunenoel28
    @fortunenoel28 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Sam..Neema ya Kristo ikupeleke viwango vya hatima..

  • @phaustinesombe
    @phaustinesombe 6 หลายเดือนก่อน +1

    My lovely worshipping song

  • @amanigeorge9886
    @amanigeorge9886 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @pendokyando2374
    @pendokyando2374 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze mwanangu kazi hii isiwe bure Sam

    • @samwaya4873
      @samwaya4873  2 ปีที่แล้ว

      Ameen asante sana mumy

  • @priscamsossy4744
    @priscamsossy4744 2 ปีที่แล้ว +14

    Restoration Bible Church........my home.......May God's blessings be with you siku zoote......nawapenda nyote💖

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @izuus2000
      @izuus2000 2 ปีที่แล้ว

      I can do all things through Christ Jesus. No mountain too higher than . My God is able to do all that I can think of imagine

  • @angelmuco3154
    @angelmuco3154 ปีที่แล้ว +1

    Amina 🔥🔥🔥God bless you Man of God 🙏

  • @WanjoyTVke
    @WanjoyTVke ปีที่แล้ว +2

    I saw this song on my Inlaw's status, I searched it, I downloaded it, It had become my anthem, I listen to it everytime.
    God bless you guys

  • @emmanuelpaul3017
    @emmanuelpaul3017 2 ปีที่แล้ว +55

    So much annointing, niliimba huu wimbo wakati naendesha gari hasa kipande kila cha mwisho kutokuwa na mashaka na calvary, roho mtakatifu alishuka na kunenena kwa lugha huku naendesha gari, hakika wimbo huu una nguvu sana ya Mungu... barikiwa sana

  • @evajosephmtandika5015
    @evajosephmtandika5015 11 หลายเดือนก่อน

    Umeimba katika Roho ,nimebarikiwa sana

  • @evilahmponzi5312
    @evilahmponzi5312 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu Asante Baba Nakuhitaji Sana Mungu wangu niinue inua Imani yangu inua Uchumi wangu inua ndoa yangu Asante Yesu Asante Bwana

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏

  • @glorywalter3085
    @glorywalter3085 ปีที่แล้ว

    Hakika faraja iko ndani ya wimbo huuu😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @hellenagodwin8353
    @hellenagodwin8353 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendeleee kukulinda kwa kipawa hiki ulichonacho

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏

  • @cesiliaadam6797
    @cesiliaadam6797 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my brother Samwel kaz nzr sana hiiii

  • @rosemarymkenda5627
    @rosemarymkenda5627 2 ปีที่แล้ว +10

    Very powerful, you have brought a new meaning to this song

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 ปีที่แล้ว +3

    Very powerful worshiping moment.I feel the presence of God

  • @egbertkyaruzi7671
    @egbertkyaruzi7671 2 ปีที่แล้ว +1

    Am blessed

  • @gellshamsimon3347
    @gellshamsimon3347 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mnoo Kaka

  • @ellichrissjohn5304
    @ellichrissjohn5304 2 ปีที่แล้ว

    Nipande milima yote eeeh Yesu unipandishe.

  • @jofreysimon7218
    @jofreysimon7218 2 ปีที่แล้ว +3

    My God hold me up till the end since you are my boast wherever I am without you am nonsense at all😭🙏🙏

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏

  • @kissajaphet2928
    @kissajaphet2928 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nakukubali sana na unajua bro kazi nzuri sana backup wapo vizuri jmnii 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @izuus2000
    @izuus2000 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Holly ghost. Take me higher

  • @emmanuelnollo5022
    @emmanuelnollo5022 ปีที่แล้ว +4

    This is so powerful, the song is full of anointings yesterday I repeated it more than ten times.

  • @getrudekosgei4689
    @getrudekosgei4689 ปีที่แล้ว +3

    True meaning of worship may the name of God 🙏 be lifted up

  • @charlesjohnson6285
    @charlesjohnson6285 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa na huduma hii sana sana Mungu skuinue zaidi na zaidi master!

  • @happynessmwashambwa9487
    @happynessmwashambwa9487 2 ปีที่แล้ว +1

    Sam maufundiiiiii, am your big fun... Am proud of you surely

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @mussamalcom6670
    @mussamalcom6670 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @raymonddanielcosmas444
    @raymonddanielcosmas444 ปีที่แล้ว +2

    My powerful prophetic song 🔥

  • @jonasbuzingo2236
    @jonasbuzingo2236 2 ปีที่แล้ว +4

    from glory to glory.... praise be to the mighty God 🙏🙏

  • @ellyminja5707
    @ellyminja5707 2 ปีที่แล้ว +1

    Very powerful 🔥 🔥 Mungu akitunze na kukikuza kile alicho kiweka ndani yako.

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 ปีที่แล้ว

      Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 ปีที่แล้ว

    🤝

  • @henrymanase3275
    @henrymanase3275 2 ปีที่แล้ว +1

    MANAGER 🔥🔥🔥🔥🔥......vie vwa

  • @asteriajohn4755
    @asteriajohn4755 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh Haleluyaa nimebarikiwa Sana..

  • @rev.bishopmwantake7942
    @rev.bishopmwantake7942 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeh Bwana uniinue 🙌

  • @peterkaale6977
    @peterkaale6977 ปีที่แล้ว

    Kaka yangu una nguvu Mungu akubariki sana

  • @FredKametaTz
    @FredKametaTz 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Kaka Sam. Sifa kwa Bwana

  • @mussayaya9435
    @mussayaya9435 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn audiomac hamna ngoma zako

  • @grantcharlestz6321
    @grantcharlestz6321 2 ปีที่แล้ว +1

    Kubwa sana mtumishi 🔥🙏👏👏

  • @elfridaihamba8651
    @elfridaihamba8651 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana sana tenzi hii 144💜