Panguso yako haijaipita SHILINGI, SHILINGI ni bonge la series mzee mafufu acha maneno, watu hatuangalii ukubwa wa waigizaji waliopo panguso, tunaangalia kazi nzuri we bado sana ila unajitahidi nikupongeze kidogo.
Kuwa na wasani wakubwa kwenye panguso sio kigezo cha flm kuwa nzuri issue ni ujumbe ulioko humo hvyo ujinga wa jimmy anaamini watu kuliko wanavyovifanya
PANGUSO katika nafasi yako uliyocheza haina uhalisia, maana hakuna mtu wa namna hiyo katika jamii yetu ya sasa. Ambaye ni tishio kwa kila mtu na kila taasisi.
Jimmy Mafufu namkubali sna Panguso inaelezea maisha halisi ya uswahilini na maisha halisi ya watanzania..
Jimmy Respect broo kazi nzurii
Huyu jamaa anajiamini kweli, that's wonderful I say...
Kwel kabisa mafufu waambie hao .
Panguso sio poa! Mzee keept up bro
From kenya but in real madebe is another level ✌🏿
Jimmy mafufu your a good man and intelligent
Panguso yako haijaipita SHILINGI, SHILINGI ni bonge la series mzee mafufu acha maneno, watu hatuangalii ukubwa wa waigizaji waliopo panguso, tunaangalia kazi nzuri we bado sana ila unajitahidi nikupongeze kidogo.
Umeona eee, shilingi ni balaaa
Nakubali
Jimmy mafufu nakuhamini sana
Tandi ni bora kuliko séries yote
Huyu Jamaa, hapana
Huna maarifaaa kaul njema ni ibada
hatuangalii garama tunaangalia kazi
Kabisaa
Wasanii mnayatupa sana maneno jamani tamthilia yenyewe mbona kawaida tu jmn.
Jimmy huyo sijui kama anafahamika kuliko madebe madebe yuko juu kuliko wasanii wa flm wa siku hzi na ndo aliyebaki
Hahahahaha recordin jaman
Ila ninkweli heshima kwa waliotangulia ni muhimu sana made be aache kusema wenzake vibaya
👍
Shilingi ndo baba lao bana eeeh
Kua juu sio tatizo ila madebe filamu zake zinaelimisha madebe yuko juu sana keep up madebe mm shabiki wako mkubwa kutokea kenya
jamani mbona hamtoi hatia kaka jimmy
Uko sawa bro lakini madebe ni level nyengine na hajigambi
Panguso hamn kitu umekopi kw movie zako
Madebe jeshi la mtu mmoja haufanani nae wala haumuwezi hata kidogo sinema zake zinaelimisha na zinafundisha. Acha tukusifie usijisifiwe mwenyewe.
Madebe humuwezi hata robo
Hiyo panguso yenu inachosha tu.. hakuna kitu hapo
Shilingi imefunika Jimmy mafufu tunaomba uache kuigiza Sasa🤣
Sababu kubwa ni wanaojichubua na wanasiojichubua
Uta jipanga kaka madebe uwesani naee
Wakumsemea Madebe vibaya sijamwona bado wee unatafuta Kiki
Mfikie Muda muwe mnaongea kauli moja, ss watazamaji ni burudani tu
Kuwa na wasani wakubwa kwenye panguso sio kigezo cha flm kuwa nzuri issue ni ujumbe ulioko humo hvyo ujinga wa jimmy anaamini watu kuliko wanavyovifanya
Umeona eeeh,kwny shilingi underground weng bt imetubamba
madebe haumwezi wachana tu kupiga kifua
Kumbe shabiki wa kina Rey acha unafiki fanyeni kazi
Jimmy humuwez madebe lidai hata kidogo
Kama kuna group mbili zinazofanya vizuri tz ni ya madebe na ya kitale jamaa la maneno ya kuambiwa hao tu ndio wanafanya kazi zenye uhalisia kwa sasa
PANGUSO katika nafasi yako uliyocheza haina uhalisia, maana hakuna mtu wa namna hiyo katika jamii yetu ya sasa. Ambaye ni tishio kwa kila mtu na kila taasisi.
Labuda afufuke kanumba ndo anaweza kutufanya tulinganishe mambo yake madebe lidai vinginevyo huyo jimmy nimiongoni mwa mazuzu