MCHIZI MOX ANAFUNGUKA KIFO CHA NGWEA/ NI DAWA ZA KULEVYA?/ "ALIZIMIA KWANZA"/ AMTAJA MASTER J
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- #STORY&RHYMES #MOX #NGWEA
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media
Hawa malegends hawapewi heshima inayostahili,, Game wameitoa mbali sana. MuchRespect to All 90s -2000s ARTISTS 🎵 🎤
Ya man. Old Scul Iz Old Scul. Ndo maana huyo producer anamwita brother, KI ATISTI AMWITE TU MCHIZI MOX. KISANII. YEAH!.
Daaah! Mchiz Mox kaongea vitu positive sana kwny muziki. Vijana wajifunze kitu hapo.
Mox wew ni true legend wa bonge fleva👏
Nimekubari 🙌🙌🙌 Mahojiano Na Majibu Nimeyaelewa💯 #MchiziMoxie🇹🇿🎤🎧🎵💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
One of the best interview 🙌🏽 👏👏
nimeipenda studio setting imekaa vizuri
✊🏽👏🏾
Mchizi mox noma Sana kanikumbusha mbali Sana huyu jaa big upe Sana brother mox
Unyama mwingi kwenye interview mox katukumbusha mbali pmj na historia za nyimbo na kibao na masela big up kwa usia wa dj wajuwe jinsi ya kutofautisha nyimbo za club na on air studio asante
Aiseeee ni interview yangu bora kabisa kwa Mwaka huu, bonge moja la interview, big up mwana. Mchix Mox salute nyingi sana bro.
Bongo la interview , nimejifunza mengi sana kutoka kwa tycoon mox. All the way from 🇨🇳
Meeen ni noma sana, nilikuwa napita bila comment ila kwa hyo creativity ni kwere jamaa kapiga show la bure 🎉❤
UK vizuri mchizi Mox,
Huyu jamaa anae hoji anajielewa sana aisee, best interview !!
Mtangazaji naye ana sauti ya Millard bila ya kujijua
Kwel kila sikuu na mwambia
😂😂😂
Kwakwel
Dah😅😅
Haha kweli
Natoka kenya namkubali tycoon mox katika nyimbo zake akimshirikisha mangwea ikiwemo demu wngu na mikasi. RIP ngwea wanyamwez sana.
Yupo sahihi sn kaka mkuu Mox......
Safi bro, interviews zako ziko poa Sana big up but I wish one time ufanye hizo front covers ziwe za muhusika , zisiwe pics nyingi .
Producer wangu Bora wa muda wote D classic.........unajua mpaka sio poa
Mox 🔥💪🇹🇿🇦🇪
Namuona Dee classic haaaa kaka angu huyoo
Dah anachosema Mox ni kweli. Kwa sisi age ya young family tunapata tabu sana na contents za kwenye lyrics na video. " weka mate iteleze", " mwenzenu mimi sijui kutongoza", dah uko na madogo madude ya aibu sana! Matusi yamezidi sana
camera men pia na wachanganya picha za video wamechangnya vizuri
mox mnyamwez sana
hawa ndo wanyamwezi since day 1.
Uyu jaa ana madini kichwani mox Uko vizuri
🎤true legends
Noma
Unanielewa nikisema Mox anajua kufanya interview?
Nakuelewa
Kichaa original
I like all stores hote 🔥 57:42
Mtangazaji hodari msanii fire❤
Moxie 🔥🔥🔥
Mox kafanana na darasa
Nahis CMG DARASSA ana m copy MOX unyama mapigo mixer na kufanana ndo wanamaliza
Vipi kule jikoni si nimesema mchome nyama/ mbona haiji mbona inakawia sana🔥🔥🔥🔥
Mfojo mchoma nyama😅😂
Big up ❤❤❤
RIP Cow wizyyy!
Kapacha ka milad ayo ❤😂😂
I'm the first one to hit a like
Wewe ni noma ......Umetisha, mwanafamilia makini wa Dar24 Media🙌🏾
Chimala mimi nmesoma wanging'ombe so napajua vizur chimala
Tunamuhomba Nikk mbishi apa Pind kL San il
Ahsante sana, tutajitahidi kuhakikisha unamuona NIKKI MBISHI hapa kwenye STORY & RHYMES
Mox
this interview
Hiphop n Bora kuliko vinavyoendelewa. Dunia yaleo uchizi n ajira
Mox kma mox
Sijaona mada inayo ongelea dawa za kulevya.. was all about content??
Hicho kiatu cha host ni kikal sana
Taikun ali
Hayo má jacket si mngehamia njombe tu mnke mnaonekana mnapenda saana baridi kkkkkkk
Kabisa Dar es salaam ,nyuzi joto 28 mpaka 31 sijui hio mikoti ya nini labda Ina Ac ndani
Sikiliza madin ww....acha chuki.....kashakwambia mnyamwez...let's go Mox
Studio kuna Air condition kali sana chukua hiyo kichwa mpira
Dizasta vina
Uyo n after ngwair
Wewe mtangazaji ungekuwa na identity yako ungetisha sema unamkubali ayo hadi unamgezea.
Atar chupa nyingine
🎤true legends