Aisee mmenifurahisha sana wazee wangu, hii inaonesha siasa so vita.safi sana naona wazee wakipeana mikono,safi sana,Mzee kikwete,lowasa,mkapa,maalim Seif wote sawa hapa.
Ash to ashes, Bwana ametoa bila shaka atatwaa, Ina lillahi waina ilayhi rajiun. End of the road. Sote tuko njiani baadhi yetu kesho au keshokutwa hakuna ajuae. Tupendane.
siasa si adhabu wala vita. siasa ni maboresho ya mawazo. mbona swali lako lina ukakasi nanibkakwambia hatofika wewe upo msibani kuangalia nani hajafika. pole badilika
dah ila waliyokaa hapo mbele wamepata kazi kila anayeingia wasimame alafu niwazee kimama nyerr kina mzee mwinyi nawazee wengine mmekua very shap kusimama kwakila aingiaye
Kumbuka WaTZ ni wabantu kwanza halafu ufikirie uislamu usiouelewa vizuri amabo ni utamaduni wa kiarabu.. hebu acha ujinga.. Napenda sana watu wangu wanavyochukulia dini zilizoletwa na wageni bila kuzichukulia kuwa ni utamaduni wetu.. otherwise Watanzania ndio wangekuwa magaidi wakubwa wa kiislamu duniani..!
Kifo ni fumbo wamejipanga wote marehemu 😢😢😢
Htr xna ndg
Sina chakusemaa zaidi ya ,😭😭😭😭
Kabisa
Kwa kweli I sau
Bado msekwa tu hapo wazamani sabini kavuka huyo anakula pensheni tu 😅😅😅
Aisee mmenifurahisha sana wazee wangu, hii inaonesha siasa so vita.safi sana naona wazee wakipeana mikono,safi sana,Mzee kikwete,lowasa,mkapa,maalim Seif wote sawa hapa.
Dah naangalia 2024 naangalia wengi washagariki apa😢
Nakupenda Maalim Seif Allah akuhifadhi
Amiin
Amiin
Amiin
Nimerudia kwangalia hii video 📷 kwer maisha ya mwanadamu ni adith tuu
Basi kuweni hadithi nzuri ya kuhadithia ukiondoka ktk hii dunia..!
Ash to ashes, Bwana ametoa bila shaka atatwaa, Ina lillahi waina ilayhi rajiun. End of the road. Sote tuko njiani baadhi yetu kesho au keshokutwa hakuna ajuae. Tupendane.
Hii vdeo ina hisia sana.. Laleni salama 1:03
Kwakweli hakuna cha kudumu mmmm
maalim hao wote kuanzia mkapa mpaka wa sasa wamekufanyia mbaya katika siasa ,wajue ipo siku
Huu ndo umoja wa Taifa wa dhati 👍🏾
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
siasa si adhabu wala vita. siasa ni maboresho ya mawazo. mbona swali lako lina ukakasi nanibkakwambia hatofika wewe upo msibani kuangalia nani hajafika. pole badilika
R.I.P our father kingunge🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
dah ila waliyokaa hapo mbele wamepata kazi kila anayeingia wasimame alafu niwazee kimama nyerr kina mzee mwinyi nawazee wengine mmekua very shap kusimama kwakila aingiaye
Watu na siti zao.
Magufuli hayupo kuchukua bom ukarusha bila shaka hao wate wanafiki wa inch yetu isipokua mag tu
Hii video kwa sasa dah 😢
Yaan
Kwakweli malim alikuwa hana chuki ona alivyo mtazama na kumuanza mkapa hapo kwa story
Wote wameondoka
Waongo kwenye mioyo yao kuna vitu vimejificha
Lipumba si mwenyekiti? Mbona yupo back stage
Anaemuona seif hazeeki tujuane duh
I'm
Baba mwenye nyumba mbona sijamuona?
au alikua na dharura?
Nuru Mvungi hongereni sana viongozi wetu
safi sana wazee wetu mmetufundisha kwa kupitia hili. na inawezekana ktk nchi za Africa mashariki ni Tanzania
Kweli wamemiminika kma wanatokea shimon kma kumbikumbi.... Wangemiminika wakat anaumwa
Umejuaje kama walikuwa hawaendi, ama ulitaka Kila anae fika kumuona mgonjwa afike na waandishi wa habari?
Kasoro mmoja tu
Bathromeo Chengula
Nani?
Mh! Uislamu wa Tz jmn ni shiida.
Nurse f
or life
Kumbuka WaTZ ni wabantu kwanza halafu ufikirie uislamu usiouelewa vizuri amabo ni utamaduni wa kiarabu.. hebu acha ujinga.. Napenda sana watu wangu wanavyochukulia dini zilizoletwa na wageni bila kuzichukulia kuwa ni utamaduni wetu.. otherwise Watanzania ndio wangekuwa magaidi wakubwa wa kiislamu duniani..!
Kwa bahati mbaya sijui jeuri wala matusi, so endelea tu mwenyewe.
Nurse for life ,Shidaa tupuu
Nurse for life Kwan nitajie Mtume yeyete Ambae hakuchanganyika na Makafir