AJALI YA MELI ILIYOZAMA ZIWA TANGANYIKA 11 WANUSURIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Meli ya mizigo inayofahamika kama MV Mbalamwezi yenye namba za usajili DY0074 mali ya mfanyabiashara wa nchini Burundi Rafiki Ibrahim iliyokuwa inafanya safari kutoka Zambia kwenda nchini Burundi imezama katika maeneo ya kijiji cha kabwe, kata ya Kabwe, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa kwenye Ziwa tanganyika,

ความคิดเห็น • 5

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera polisi wetu Kwa kazii nzuri
    Penye hongera tunawapa penye mmekosea tutawakosoa

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 ปีที่แล้ว +1

    Ohoooooo tena jamani poleni sana ndugu zangu kasnga uko😱😱😱

  • @yonaelias5805
    @yonaelias5805 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungi

  • @yonaelias5805
    @yonaelias5805 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu

  • @pitalukasmwanioti1458
    @pitalukasmwanioti1458 2 ปีที่แล้ว

    Ohoooooo tena jamani poleni sana ndugu zangu kasnga uko😱😱😱