Mbona Aucho alisema angetamani siku moja acheze na Chama,hapo kitu cha ajabu ambacho Ladack amekiongea ni kipi?Wapuuzi tu hawana kitu njaa tu zinawasumbua..
Ameshindwa kujieleza vizuri chasambi unapoulizwa lazima ujue jinsi ya kujieleza ili hata wenzako wasikuona mbaya kwao hata kofi aliulizwa mwanamziki bora tanzania alisema ni wengi ila yeye anavutiwa na Diamond sababu amefanya naye kazi
Wewe kama nani unatafuta kick, huna lolote wewe na herisi saidi nani anaona mbali, ndiyo maana hawajibu ninyi wachambuzi viraza, wewe unaweza simama na heris kwa lolote lilee??
Mimi ni Simba Damu lakini wapo wachezaji wazuri pale Yanga wanaoweza kucheza team yoyote Africa sio vibaya mtu kupewa sifa yake ukiwa unakimbia msifie anayekufanya ukimbie
Kibaya katika kauli ya chasambi ni kusema hakuna mchezaji mzuri simba anacheza vizuri ndio kibaya, angessema tu anavutiwa na mzengeri ktk club ya yanga ingetosha sasa koto huko alikoenda ni mbali ameikosea brand
Wewe sasa ndo utopolo Eng hersi alimtaja Chama ni best player in Tanzania tena alimtaja Chama peke yake hakutaja wachezaji weng Ahmed ally aliongea chochote Bado tena Siku nyngne Hersi alisema Anamkubali Balua kuna kiongozi wa Simba aliongea chochote Hivi utopolo kwann akili hamna nyny
th-cam.com/users/shortsyYXoL_zo8ew?si=qwGFFNnLNmmE2zTP video hii hapa Hersi akimsifia Chama tatizo utopolo hamjielew aisee tuambie baada ya hii video Ahmed ally aliongea chochote kama watoto kina kamwe
Yaan Priva na Kamwe wanajua Mashabiki wa Yanga asilimia kubwa hawajui mpira ndo maana wanawapeleka kama mandezi na Mashabiki ya Utopolo yanaenda tu Sisi mashabiki wa Simba tulimsikia Hersi akimsifia CHAMA kipind yupo Simba ila haikuwa kitu cha ajabu sababu ni mpira mimi mwenyewe nilimkuwa namkubali Mayele na fei toka wakiwa Yanga na mm ni Simba ila matahira wa Yanga wataona ajabu😂😂
Watanzania walio wengi hawana vision nd ttz. Mm ni simba dam lkn tunapochez na yanga bc cku zote huwaambia wenzngu kuw nnaemuogopa pale ni Max pekee. Kijana anajituma mno, hachoki, anaspidi ya hatar na kubw zd akipata fursa ndogo tu anapasia nyavu. Chasambi ni kijana mweny spidi lkn mm binafc alipoongea kuw anakopi kw Max bc kiukwl nimefurahia sn. Md mfup kijana atakuw hakamatiki. Kwhy muacheni musimtie mdomoni. Muacheni acheze kandanda dogo.
Kweli umezungumza Sanga TV hawa wasemaji kinachofanyika ni chuki mbaya sana ukimwangalia hata Ahamed Ally ni mchochezi Simba na Yanga ni watani wa jadi nampongeza sana Kisugu aliyesema hapendi watu wanaotaka kuua utani wa jadi jamani tunaomba utani wa Simba na Yanga urudi siyo matusi.mashabiki mashabiki tunaomba sana.
Tafuteni interview ya max aliposema anataman kuchez aweso ni kawaiada yanga Haina wasemaji vijana Ina wasemaji watoto kina Ali kamwe na priva na Abdulla Aziz wale ni watoto wapumbavu tu awakustahil kuongoza taasis kama yanga AWNA WELED WANAOMGEA UTOTO TUPU
Kijana upo vizr san ndio tunapokwendea huko mm naulaum sana uwongoz wa mpira kukaa kimya. Ilitakiwa kuwakemea vikali sn huko tunapokwendea mmh maan ulimi unabomoa san. Hongera san Kijana unaona mbali san
Nacho wa Argentina alikuwa akicheza na Lionel Messi,akaulizwa ni mchezaji gani anamkubali? alimtaja Cristiano Ronaldo,,muulize kilicho mtokea ,alifutwa team ya taifa ,,😂😂😂😂upo na Messi unataja mchezaji mwingine,fa masihara nn
Ww ndiyo mshamba huwezi kutoa kauli za jumla jumla, uwe straight kwa Washabiki wenzako wa Kolo lakini huwezi mashabiki wote ni Washamba kwanza hata umri wako tu unaonesha huna sifa wala exposure ya kuchambua uelewa wa Wadau wa Soka wa Tanzania.
Wewe ndo mshamba sana ndiomana huna nywele hovyo kabisa unachambua kishabiki sana nenda kwa mikia wenzio huko fala wewe mbona hujawahi sema timu yako imepewa penalty 12 mechi 14 pumbavu kabisa wewe
We jamaa ni high maturity
Bigup sana broo Ique kubwa sana , nyie ni watu Muhimu sana KTK jamiii
Uko sawa kaka
Nakuelewa sana kaka.kwani Kuna ubaya gani akimpenda mchezaji wa timu nyingine
Upo sahihi Sana broo
Nimefurahi Sana analysis yako.
Embu tuambie wachambuzi feki kama Mchome Mapovu
Kabwe umeongea fact bro🎉
Mbona Aucho alisema angetamani siku moja acheze na Chama,hapo kitu cha ajabu ambacho Ladack amekiongea ni kipi?Wapuuzi tu hawana kitu njaa tu zinawasumbua..
Nachama yupowap asaiv
Broo kongole kwako Sana kati ya wachambuzi nawaelewa ww ni mmoja wao
Kweli kaka hasa mashabiki wa yanga na viongozi wao.
Ni kweli tu.
Kaka nakupa saluti upo vzr sn na una vision ya hl ya juu sn.
Ameshindwa kujieleza vizuri chasambi unapoulizwa lazima ujue jinsi ya kujieleza ili hata wenzako wasikuona mbaya kwao hata kofi aliulizwa mwanamziki bora tanzania alisema ni wengi ila yeye anavutiwa na Diamond sababu amefanya naye kazi
Wewe huna timu umchukue baleke, maana mkiamka habali za timu simba na yanga mnazo, vilaza ninyi mashavu yalee,
Sidhani kama alikuwa sawa
Upi sahihi Kabisa
Wewe kama nani unatafuta kick, huna lolote wewe na herisi saidi nani anaona mbali, ndiyo maana hawajibu ninyi wachambuzi viraza, wewe unaweza simama na heris kwa lolote lilee??
Hivi mpira mpaka mfurahishwe au? Sasa leo Jean Charles Ahoua amempa somo jema dogo.
kaka umepngea facts sana
Mimi ni Simba Damu lakini wapo wachezaji wazuri pale Yanga wanaoweza kucheza team yoyote Africa sio vibaya mtu kupewa sifa yake ukiwa unakimbia msifie anayekufanya ukimbie
Kibaya katika kauli ya chasambi ni kusema hakuna mchezaji mzuri simba anacheza vizuri ndio kibaya, angessema tu anavutiwa na mzengeri ktk club ya yanga ingetosha sasa koto huko alikoenda ni mbali ameikosea brand
Ivi umeeelewa alichozungumzia wwe aloooo,,,,,,...
Umeona Simba wameongea kitu arifuuu zaiiiid ya hao uto,,,,,,...?
Skiliza tena hiii clip utaelewa
Siyo marimbuken bali shida kubwa serikali imejiwekeza zaidi yanga hilo ndio linawapa kiburi zaidi
Kipara wa kwanza mwenye akili 100%
Kaka mwanzo nilikua sijakwerewa ila saivi nimekwerewa sana wewe nimkwer sana kaka
Na mimi ni mwana Simba. Chasambi yupo vizuri.
Max ametaja wachezaji zaidi ya wa tano lakini angemtaja Awesu pekee yake ingeleta taaruki kwa mashabiki na huyo Med Ali angesema tu
Wewe sasa ndo utopolo Eng hersi alimtaja Chama ni best player in Tanzania tena alimtaja Chama peke yake hakutaja wachezaji weng Ahmed ally aliongea chochote Bado tena Siku nyngne Hersi alisema Anamkubali Balua kuna kiongozi wa Simba aliongea chochote Hivi utopolo kwann akili hamna nyny
th-cam.com/users/shortsyYXoL_zo8ew?si=qwGFFNnLNmmE2zTP video hii hapa Hersi akimsifia Chama tatizo utopolo hamjielew aisee tuambie baada ya hii video Ahmed ally aliongea chochote kama watoto kina kamwe
Wewe hizo sajili za pacome, maxi, azizi hizo zilikua scauting za SIMBA jamaa wakafanya biashara kwa YANGA
Thibitisha
@@richardnganya2311kuthibitisha Nini wakati Kila kitu kinaonekana ujinga huo
UKO SAHII 100% Ushamba ni MZIGO
Mbona wakati anafanya interview na Azam TV alisema pale Simba anavutiwa Mavambo au hiyo interview watu amjaiskiliza
Huyu ni mtanzania kweli mbona anaakili sana hakuna mtanzania wa hivi huyu sio mbongo ana upeo mkubwa mno
Yaan Priva na Kamwe wanajua Mashabiki wa Yanga asilimia kubwa hawajui mpira ndo maana wanawapeleka kama mandezi na Mashabiki ya Utopolo yanaenda tu Sisi mashabiki wa Simba tulimsikia Hersi akimsifia CHAMA kipind yupo Simba ila haikuwa kitu cha ajabu sababu ni mpira mimi mwenyewe nilimkuwa namkubali Mayele na fei toka wakiwa Yanga na mm ni Simba ila matahira wa Yanga wataona ajabu😂😂
Ila hii itamgharimu kweli ktk wachezsji wote wa simba hajaona mtu not true angesema wanacheza vizuri ila siyo kivutio anachohitaji yeye
Watanzania walio wengi hawana vision nd ttz.
Mm ni simba dam lkn tunapochez na yanga bc cku zote huwaambia wenzngu kuw nnaemuogopa pale ni Max pekee.
Kijana anajituma mno, hachoki, anaspidi ya hatar na kubw zd akipata fursa ndogo tu anapasia nyavu.
Chasambi ni kijana mweny spidi lkn mm binafc alipoongea kuw anakopi kw Max bc kiukwl nimefurahia sn.
Md mfup kijana atakuw hakamatiki. Kwhy muacheni musimtie mdomoni. Muacheni acheze kandanda dogo.
Ukiazi wa kujitakia huo, na sajili za kina Mutale mnaowabeza leo nazo zilikuwa scouting za nani??
Kweli umezungumza Sanga TV hawa wasemaji kinachofanyika ni chuki mbaya sana ukimwangalia hata Ahamed Ally ni mchochezi Simba na Yanga ni watani wa jadi nampongeza sana Kisugu aliyesema hapendi watu wanaotaka kuua utani wa jadi jamani tunaomba utani wa Simba na Yanga urudi siyo matusi.mashabiki mashabiki tunaomba sana.
Kwel kaka
Nyie mavyura mnao mpo da huyu jamaa pia ni washamba tu...
Bw. mdogo Wewe ni Mlogikali endelea kuukanya, kwani Manyumbu tuko wengi mno. Wape watu shule kuhusu soka la Bongo
Kumbe kuna watu wengnei wenye akili uto
Ally kamwe utoto wake umezidi, kwani yupo yanga kama shabiki wa kawaida tu sio kama kiongozi kwa mambo anayoyafanya
Unaongea ukweli kaka
Mtasema sana na bado panya wadogo nyie
Kwel kaka mashambiki wa simba na uongozi wake
Wivu unakutesa
Hata huyo dube na saidio alisema anatamani kucheza nachama kipindi hicho chama yupo simba
Ali kamwe na ndugu yake wote wapumbavu2 hawana uelewa wa mpira
Tafuteni interview ya max aliposema anataman kuchez aweso ni kawaiada yanga Haina wasemaji vijana Ina wasemaji watoto kina Ali kamwe na priva na Abdulla Aziz wale ni watoto wapumbavu tu awakustahil kuongoza taasis kama yanga AWNA WELED WANAOMGEA UTOTO TUPU
Wale cyo Watoto niwajinga na wapumbafu
Mbona milio hivyo?😅😅
Yote haya yanasabishwa na tff mbovu imetekwa na gsm.
Kijana upo vizr san ndio tunapokwendea huko mm naulaum sana uwongoz wa mpira kukaa kimya. Ilitakiwa kuwakemea vikali sn huko tunapokwendea mmh maan ulimi unabomoa san. Hongera san Kijana unaona mbali san
Nacho wa Argentina alikuwa akicheza na Lionel Messi,akaulizwa ni mchezaji gani anamkubali? alimtaja Cristiano Ronaldo,,muulize kilicho mtokea ,alifutwa team ya taifa ,,😂😂😂😂upo na Messi unataja mchezaji mwingine,fa masihara nn
We mwenyewe mpuuzi mmoja tu kwani ,,weweumeanza lini mpira,zungumzia mpira siyo watu,
Yaan unatuonyesha kweli Utopolo ni vichaa mfano wewe
We pimbi niwakupunguza maana akili yako imejaa maji
Ww ndiyo mshamba huwezi kutoa kauli za jumla jumla, uwe straight kwa Washabiki wenzako wa Kolo lakini huwezi mashabiki wote ni Washamba kwanza hata umri wako tu unaonesha huna sifa wala exposure ya kuchambua uelewa wa Wadau wa Soka wa Tanzania.
Sasa wewe ndo mshamba soma comment za hii video asilimia 80% tunamuunga mkono jamaa sasa wewe uwe una akili kuliko 80% walio muunga mkono 😂😂😂
Umri ndo nn kenge ww sikiliza anachotema umri hausiani na fact nyny ndo wale munaoamini ukivaa suti ndo unaheshima fala ww
Ni ushamba tuu
Wewe ni mpumbavu sana huna akili wewe mwenyewe akili huna inawezekana akili ni nywele
Wewe ndo mshamba sana ndiomana huna nywele hovyo kabisa unachambua kishabiki sana nenda kwa mikia wenzio huko fala wewe mbona hujawahi sema timu yako imepewa penalty 12 mechi 14 pumbavu kabisa wewe
et imepewa duh utoto unazid kuendelea