Bando MC Ft Stamina Shorwebwenzi - Darasa(Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 773

  • @remikiusmahela1087
    @remikiusmahela1087 4 ปีที่แล้ว +157

    Tulio rudia rudia hii ngoma nipen like

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +64

    *Kufanya mapenzi juu kwenye ndege ni uhuni tena uhuni ulio bobea maana dhambi inawahi kufika mbinguni* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Shenzi sana nyie jamaa

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +3

      🙏🙏🙏🙏

    • @sadicksamuel2005
      @sadicksamuel2005 4 ปีที่แล้ว +4

      Hahahahaha halafu bongo movie walivowaongo unaweza kuta uwoya ameigiza bikra 😂😂😂😂

    • @dladchalle9179
      @dladchalle9179 4 ปีที่แล้ว +1

      haaahahaa

    • @clifordedenny2267
      @clifordedenny2267 4 ปีที่แล้ว

      G

  • @jaffarsalim7009
    @jaffarsalim7009 4 ปีที่แล้ว +5

    Na hii Hali inakondesha kishenzi, wenzako wanapeleka magari ww unapelekwa na mapenzi😂😂😂🔥🔥🔥Sanaa Stamina weweee 💪001

  • @justerick1074
    @justerick1074 3 ปีที่แล้ว +2

    Bando mwanangu nakukubali yani💥💥
    Ulisema msumari una inchi ngapi vile...😂

  • @jeremiahyohana9472
    @jeremiahyohana9472 4 ปีที่แล้ว +40

    Bongo movie walivo waongo unaweza kukuta uwoya kaigiza bikra 😁😂🤣😁

  • @jerrynationtv3385
    @jerrynationtv3385 4 ปีที่แล้ว +1

    Bando...... Waambie wenzenu yule kiziwi kajisikia

  • @saimonjoseph2304
    @saimonjoseph2304 4 ปีที่แล้ว +18

    Kama unaamini mistari ya hii ngoma mikali gonga like

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Asante

  • @mohamedsaid6281
    @mohamedsaid6281 4 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la ngoma nalrudia rudia mpaka machiz wananchukia

  • @captainamin6669
    @captainamin6669 3 ปีที่แล้ว +1

    Ii kali ile mbaya 🇰🇪🇰🇪

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani muda huu ndio nimesikiliza vizuri huu WIMBO.... Bando umetisha Sana dogo.... Nadhani wewe ndio real KING WA HIP HOP TZ

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana bro attanass

  • @deodassah
    @deodassah 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri Hapa, NAAMINI IKO SIKU Tutafanya mziki kwa pamoja, bila utofauti wa kitaifa RESPECT from +254

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Bless my g

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 ปีที่แล้ว +8

    Unapomuita demu wangu Malaya hakikisha Dada yako bikra 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Bando Bando Bando hii michano umeua Stamina kazika harafu Mimi nai PLAY mara 27 kuanuaa matanga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      🙌🙌🙌twende mjin

  • @EYVMedia
    @EYVMedia 4 ปีที่แล้ว +47

    Bando Mc you are the Next Big thing in East Africa Hip-hop Scene.... kudos💪💪 bruv keep on pushing... and I really like the fact that you are getting mentorship from the Best (Stamina👍)

    • @jungleboymogy
      @jungleboymogy 4 ปีที่แล้ว +3

      Morio😂😂😂😂ebu pitia kwangu uone shugli

    • @tanzania_celebs
      @tanzania_celebs 4 ปีที่แล้ว +2

      sawaaaa

  • @breezy9ine
    @breezy9ine 4 ปีที่แล้ว +2

    Akuna Raper mkali kama bando

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 4 ปีที่แล้ว +4

    2002, when I fell inlove with Bongo music, mambo ililikua kama hii.. Matonya, kina Kiba wkatokea.. Mondi akaingia ligi, sijui mmakonde pia eti anaiteka industry...
    Much respect Stamina.. na Roma, Roma incase ukijisikia ata wiki niko tu hapa Seattle, sema we exchange emails.. angalau ata nyamachoma wiki mzima na....

  • @petrolubagula5532
    @petrolubagula5532 4 ปีที่แล้ว +2

    oyaaa bandoooo🙌🙌🙌🙌 unamwita demu wangu malaya basi hakikisha dada ako ni bikra

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Naam

  • @Sammychweya
    @Sammychweya 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti uwoya kafanyaje😂😂

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 4 ปีที่แล้ว +22

    Ngoma kali kama hii af kuna Misenge imeDislike 😂!.. Noma sana wanangu 🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Bless family

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Watu

    • @elmackbabylon3420
      @elmackbabylon3420 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC nc one😐😑😐😑😐😑😐😑😐

  • @innocentssamuel4110
    @innocentssamuel4110 4 ปีที่แล้ว +2

    Stamina stamina stamina nimekuita Mar a tatu Brooh 😂😂hivi mnajua kichwa cha chin hakina utosi 😂😂😂😂 Mpeni like zake

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante

  • @selemanijohn4315
    @selemanijohn4315 4 ปีที่แล้ว

    Mambo mazuri yanaitaji gharama ila stamina we noma kweli

  • @GerryAllen98
    @GerryAllen98 4 ปีที่แล้ว +5

    Bando hapana sio kwa punchline hizi🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♂️

  • @missdija4959
    @missdija4959 4 ปีที่แล้ว +2

    Luku haina bando la chuo😂 kibogoyo akifa ataacha pengo? We Bando hujawahi kosea🔥🔥
    Hip pop to the world 🌏

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Dija www

  • @Sir.Ramadhani-Kisai
    @Sir.Ramadhani-Kisai 4 ปีที่แล้ว +1

    nmependa sana hii creativity bando ya hapa darasani katika verse zako tofauti wakawa wanaonekana watu tofauti wanapita lakn sauti ni yako,go mwanangu huu ni ubunifu mzur kiukweli

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Dam yang

  • @davidndungu4854
    @davidndungu4854 4 ปีที่แล้ว +11

    Umesema kichwa cha chini Halina utosi. Dhaaaah. 💥💥💥🔥💯

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Naam

  • @eddytzonlinetvTallMan
    @eddytzonlinetvTallMan 4 ปีที่แล้ว +1

    MA BROTHER HILI NI DARASAAAAA

  • @azzamsaeed5253
    @azzamsaeed5253 4 ปีที่แล้ว +8

    Ni sawa na alikiba kuvaa buti la JEJE!!! Aisee goma kal sanaa..

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Jambo

  • @zakariakiema621
    @zakariakiema621 4 ปีที่แล้ว

    Waa Kali hii,, ukiita dada yangu malaya hakikisha dada yako ni bikira

  • @elgrigogarang3851
    @elgrigogarang3851 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma 🔥🔥 piga collabo ady kenya stamina

  • @azizarajab2296
    @azizarajab2296 3 ปีที่แล้ว +1

    Talent ya hali ya juu

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 4 ปีที่แล้ว +1

    Mistari ipo hapa babeki💪💪

  • @husayn908
    @husayn908 4 ปีที่แล้ว +17

    Kaliiiii 🔥.....Bando! One love straight kutoka Mombasa,Kenya!

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante

  • @buzzkamonline7308
    @buzzkamonline7308 4 ปีที่แล้ว +29

    BANDO ANATISHAA MPK ÑÀKIMBIAA KWA MISTAR ILIYOOO BOBAAA DADEKI
    UWOYAA UTAKUTA MPK ANAIGIZA YUKO BIKRA KIZIBO HAKIFUNIKI SUFURIAA 💃💃💃💃💃tuzidiii
    th-cam.com/video/0q8VntcL0LM/w-d-xo.html

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Mwanangu

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 4 ปีที่แล้ว +1

    Salut kwenu.. stamina na bando

  • @ramadhanimnyambika8003
    @ramadhanimnyambika8003 4 ปีที่แล้ว

    Mambo ya vuchwa haya ni uhuni hivi unajuwa kichwa cha chini hakinaga .....

  • @isakamahelela5577
    @isakamahelela5577 4 ปีที่แล้ว

    unapomwit Dada yang Malaya bac hakikixha Dada yako bikra nomaaah xanaaaa

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Yaah

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 4 ปีที่แล้ว +1

    Awa watu sio watu wazuri ktk gemu hili mana wameuwaaa paka nomaaa

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna watu wanao fanya kazi kwa uhuru na mafanikio kama Rosta
    Wanacheza single
    Wanacheza Double super 👍

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Naam

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 4 ปีที่แล้ว +1

    Ivi mnajua kichwa cha chini hakinaga utosi ....wohuu

  • @kapombesenior6486
    @kapombesenior6486 4 ปีที่แล้ว

    Kicwa cha chini hakinaga utosi,,,😂😂😂😂 kali sana

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Inafahamika

    • @kapombesenior6486
      @kapombesenior6486 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC Mistari imeenda shule kongole mnatubamba mbaya

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah!!! Ni zaidi ya Darasa ni Chuo kikuu kabisa Bando&Stamina you are so talented guys

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      So fair

    • @fedricklubigisa139
      @fedricklubigisa139 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC Hatri sana Kaka Mnatupa chenye mashabiki tunahitaji Asanteni sana 🙏🙏

    • @lilymatoli7117
      @lilymatoli7117 4 ปีที่แล้ว +1

      Hhhhhha#mbng movie walivy waong unawez,kuta,uoya,kaigiz bikr

    • @fedricklubigisa139
      @fedricklubigisa139 4 ปีที่แล้ว

      @@lilymatoli7117 Haha ni htr sana aisee

  • @erickmollel598
    @erickmollel598 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikiwa na hasira wakunitulizA sina naweza kunja ndita nikaziweka mfukon haahahahaha iyo mistari huwa nairudia rudia sana

  • @scripturetz1056
    @scripturetz1056 4 ปีที่แล้ว +2

    Mando Mc umekuja fresh sana tuishi humu #madsoft

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Mc kamil

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 ปีที่แล้ว +1

    Unapo muita dem wangu malaya basi hakikisha dadaako bikra

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Yes

    • @guccij3549
      @guccij3549 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC 😁 itabidi utafute shule ya kuwafundisha hawa Fake Rappers jinsi ya kuandika izo punch 🔥

  • @thelivingwelltv6399
    @thelivingwelltv6399 4 ปีที่แล้ว +2

    bonge la ngoma,video bonge la ubunifu,
    kazi nzuri sana guys

  • @dylanbrien5937
    @dylanbrien5937 4 ปีที่แล้ว

    Bongo movie walivyo waongo utashangaa et Irene uwoya kaigiza Bikra😅😅😅😅😅😅😅👊👊👊

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥,,💣💣,, Afu embu stamina msake #rapcha_ tz mfanye balaa..

    • @scripturetz1056
      @scripturetz1056 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukitaka kumtag MTU TH-cam anza na leli #Rapcha_tz

  • @chidoohtz3836
    @chidoohtz3836 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili li bando linajua sanaaa

  • @givenserick9648
    @givenserick9648 4 ปีที่แล้ว +1

    Naukubali huu tokea 254🔥🔥🔥🔥

  • @ramadhanwetaba6112
    @ramadhanwetaba6112 4 ปีที่แล้ว +5

    "Bongo movie walivo waongo, waeza kuta uwoya kamuigiza bikraa" 😂😂😂😂😂

  • @dieonmovement2557
    @dieonmovement2557 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sanaaa big up brother

  • @joachimdemarine369
    @joachimdemarine369 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani kama stamina
    Moro moja respect
    Tuishi na hii ngoma

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Hakuna kama bwenz

  • @Thadeus97
    @Thadeus97 3 ปีที่แล้ว

    Creativity iliopo kweny lyrics mpak video sio ya kitoto,,,
    #talentedbandomc#

  • @ramadhanimnyambika8003
    @ramadhanimnyambika8003 4 ปีที่แล้ว

    Nairudia tena na tena

  • @markwambura2113
    @markwambura2113 4 ปีที่แล้ว +2

    E banaaa eeeeee hii ngoma ni hatali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Sumu

    • @markwambura2113
      @markwambura2113 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC nakuja IG new follower

  • @falsafayohana7161
    @falsafayohana7161 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikiwa na hasira halafu nikakosa cha kupiga naenda kupiga muswaki🤣🤣 like 100 pleas....

  • @lotchangapatrick1190
    @lotchangapatrick1190 4 ปีที่แล้ว +3

    Kaka tuchati ✌️✌️✌️Stamina, Big up bro.

  • @barakhamapigooo7036
    @barakhamapigooo7036 4 ปีที่แล้ว +1

    Alooooo oyaaa tuchiee mtaaa alafuu kiroho mbayaaa #imepitaaaa_Sitamini_oyaaaa. #Bandooo_mmeuaaaa

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Bless

  • @SennyFleva_1
    @SennyFleva_1 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma...sana.
    Nikuwa na hisara....

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Piga mswaki

    • @SennyFleva_1
      @SennyFleva_1 4 ปีที่แล้ว

      @@BandoMC nakubaliii kaka

  • @nasibujanga8194
    @nasibujanga8194 4 ปีที่แล้ว +2

    Oyoyoy nikisanga ngoma kali imetisha sana kama magazijuto

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante boss

    • @nasibujanga8194
      @nasibujanga8194 4 ปีที่แล้ว

      P 1 sana naelewa sana kazi zako nikiwa na hasira nikikosa chakupiga hua napiga mswak hata week ile ndani ya fr dy night rais wa bongo flv alielewa kaza

  • @issayanasoni1467
    @issayanasoni1467 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukisema bando uwong uyo ni bando na nusu

  • @mudyhamza8571
    @mudyhamza8571 4 ปีที่แล้ว

    Namuona umemupa shavu kendy kwenye kideo nimefurahi kumuona jamaa Kaz kubwa hii nimeikubali sanaaa

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Mwanetu

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      🙌🙌🙌🙌

  • @dullahmuba3334
    @dullahmuba3334 4 ปีที่แล้ว

    Jama mmetisha kinoma noma sana hopo ndommenene sawasawa

  • @riskybwauswazi8242
    @riskybwauswazi8242 4 ปีที่แล้ว

    Mmeliuwa vyema hili pin wakubwa moto sana

  • @christopherhaule908
    @christopherhaule908 4 ปีที่แล้ว +2

    Track Kali Sana

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Suti

  • @kingdevi4085
    @kingdevi4085 4 ปีที่แล้ว

    Kibogoyo akifa hawez akaacha pengo🤣🤣Tisha sna

  • @batterylow0.57
    @batterylow0.57 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh amba luti aigize bikraaa🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @hassanihanzel
    @hassanihanzel 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi mnajua kichwa cha chini hakina utosi 🤣🤣...nawakubali lakini 💯

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁

  • @ellymtima3673
    @ellymtima3673 4 ปีที่แล้ว

    Nikiwa na hasira wakuntuliza ni we we!!!!

  • @stevenatusi6179
    @stevenatusi6179 4 ปีที่แล้ว

    brother bando nakubali Sana ninacho kuomba usivunjike moyo make hakuna mbivu hisio na maumivu mungu akusimamie daima pia usije msahau sitamina make kawa Kama kaka Sasa pambana uwe mfano mzur kwenye jamii 💝💝💝

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Asnte steve

  • @yohanidimoso3711
    @yohanidimoso3711 4 ปีที่แล้ว

    Bongo movie walivyo waongo unaweza kuta uwoya akaigiza bikra.

  • @justinephilipo5255
    @justinephilipo5255 4 ปีที่แล้ว

    👊👊kama unamkubaree stamina gonga sio kama utaacha

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏

  • @officialkhantz785
    @officialkhantz785 4 ปีที่แล้ว +1

    Bongo movie walivyokua waongo unaweza ukakuta uwoya anaigiza bikraa 😂😂😂😂😹😹

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁

    • @officialkhantz785
      @officialkhantz785 4 ปีที่แล้ว +1

      @@BandoMC nawakubali san kwa mistari mnayotunga 💪💪

  • @salimuhabibu5295
    @salimuhabibu5295 4 ปีที่แล้ว

    Dah chap nimekuja baada yakumuona #bando na #stamina naelewaga Sana Hawa watu

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Wachanaji

    • @salimuhabibu5295
      @salimuhabibu5295 4 ปีที่แล้ว

      Nawakubali Naweza kunja ndita na nikaziweka mfukoni mwana #bando

  • @jumsady2112
    @jumsady2112 4 ปีที่แล้ว

    Stamina ameua sanasaaanaaa

  • @jjdamimi7234
    @jjdamimi7234 4 ปีที่แล้ว

    Nawaza nafurah kimya kimya sina data eti vp niinue chuma nijenge #stamina# au nikope buku nipate #bando# bro mmeua sana humu🙌🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      Bless family

  • @xtashrayvash2996
    @xtashrayvash2996 4 ปีที่แล้ว

    Nnauweza wa kumpa hi mondi alafu nisimpe sallam sk🔥🔥🔥

  • @rajabmpamwa8164
    @rajabmpamwa8164 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaah mameeee nyie watu mmeshindikana

  • @abdulkarimpumbe8620
    @abdulkarimpumbe8620 4 ปีที่แล้ว

    Blood angu sawaaa

  • @gama_liely
    @gama_liely 4 ปีที่แล้ว

    Daaah jaman nyie mnaweza sana jaman dah

  • @ramadhanimnyambika8003
    @ramadhanimnyambika8003 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zote nimedownload hii hapa nitaingia tuu youtube maan punchline umesimamisha dede kam chuchu za mtoto wa mchungaji umetisha bando mc

  • @MohamedAhmed-hc4xx
    @MohamedAhmed-hc4xx 4 ปีที่แล้ว

    Ati uwoyo kaigiza 😂😂😂😂😂Stamina bwana Mungu anakuona 😂🙌🏻

  • @GenvixDigital
    @GenvixDigital 4 ปีที่แล้ว

    Sio Mistari,sio vocal,cio kila kitu,unafanya bro,haufanyfanyi...

  • @undercover_mcee
    @undercover_mcee 4 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa sawa sawa sawa sawa

  • @richbrizzy_tz
    @richbrizzy_tz 4 ปีที่แล้ว

    BANDO MC Anajua saaaaaana yaaaani nairudia narudia nyimbo daaaaaaaaah

  • @JeshitrendingTv
    @JeshitrendingTv 4 ปีที่แล้ว

    Congratulation bando kadri siku znavoenda nazid kuona ukali wako keep it up bro

  • @stevenick1204
    @stevenick1204 4 ปีที่แล้ว

    Bongo nahis soka hakuna Bando nkiamua kufanya soka nitafanya
    Guna hadi Ole Gunna

  • @mudhihirmpinga6324
    @mudhihirmpinga6324 4 ปีที่แล้ว

    Hata kizibo cha soda ni mfuniko ila _________!
    Tisha saaaaana

  • @emmanueldrawerhq7526
    @emmanueldrawerhq7526 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubunifu wa juu sana, lakini niulize kitu. Hiyo ni Leble ama kundi?

  • @kidoh_tz
    @kidoh_tz 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanafunzi mbishi darasani

  • @Sam-lc1lo
    @Sam-lc1lo 4 ปีที่แล้ว +3

    Loving it from the +254 Nice song.

  • @buzzkamonline7308
    @buzzkamonline7308 4 ปีที่แล้ว +1

    San boko akimwaga lkn duuuuuh stamina a atar bandooo eeeeeh chafuaaa jiji la u tube kam lako

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Bless bro

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 4 ปีที่แล้ว

    noma sana. imekaa poa kinoma noma aisee

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Bless

  • @mjuba
    @mjuba 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmekubali hii ngoma ni mwake🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Kali sana

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 4 ปีที่แล้ว

    Diwani utaongoza kata zote ila sio kata k....hizi nisaidi ya uni bando hizi ni💪💪💪bando zenye stamina ...hazikati mwezi mpaka mwezi mwaka zinatoboa ...

  • @raymondkundi8563
    @raymondkundi8563 4 ปีที่แล้ว

    Aaah bando mtu mbaya... Nakuona mbal bro✊🙌🙌🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว

      Asante blood

  • @michaelrapando1866
    @michaelrapando1866 4 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa cha chini hakina utosi daah muko sawa

    • @BandoMC
      @BandoMC  4 ปีที่แล้ว +1

      😁😁

    • @hassanidrisankingilea8827
      @hassanidrisankingilea8827 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuna kipindi tulikosa chakula tukala msoto🤣🤣🤣😂😂 hatari na nusu........ Gonga like kama nawewe ushawai kula msoto kama mimi....

  • @habibthani8727
    @habibthani8727 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah nakubal sana mnyama bando hii mistar waga unato kamus gan

  • @ismailomar9946
    @ismailomar9946 4 ปีที่แล้ว +1

    uwoya kaigiza bikra 🤣🤣🤣👌🏾👍🏿

  • @hanzurunikazunarichilyenga9150
    @hanzurunikazunarichilyenga9150 4 ปีที่แล้ว +1

    Vina-sikika ila kuvielewa ni ngumu🤔🙌

  • @mchafumedia2758
    @mchafumedia2758 4 ปีที่แล้ว

    Kaliiii Bando, Location Kidogo Ilikuwa Inataka Kuzingua Na Shooting Ya Directed. Ngoma Kaliii