Mungu wangu nakushukuru kwa neno hili limenipata vyema, nimelitafuna kabisa siyo maramoja limeninenea nimefurahia limenijenga, Mungu na akubariki katika njia au huja zako zote Mtumishi wa Bwana. Hili naiwe baraka kwangu na wengine weeengi kwa utukufu wake Mungu.Amen Amen
you all probably dont care but does anybody know a tool to log back into an Instagram account?? I stupidly forgot the password. I appreciate any assistance you can offer me.
Sanbela sanbela ukweli kabisa
Mungu wangu nakushukuru kwa neno hili limenipata vyema, nimelitafuna kabisa siyo maramoja limeninenea nimefurahia limenijenga, Mungu na akubariki katika njia au huja zako zote Mtumishi wa Bwana. Hili naiwe baraka kwangu na wengine weeengi kwa utukufu wake Mungu.Amen Amen
Watching from Kenya
Amen mtumishi
Kati ya wachungaji huwa nawaelewa na uniinua kiimani niww asante Mungu akubaliki sana
Mungu azidi kukuongezea unapotoa hakika imani yangu inaimarika na ninapata nguvu hatanikiwa nimechoka na kukata tamaa
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
tuned
MUNGU akubariki sana. kila ninaposikiliza mahubiri yako naongezeka kiimani
Amina Baba kila nikisikia saut yako Iman yangu inakuwa kwa MUNGU .
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana.
AMEN
NIMEBARIKIWA SANA . GLORY TO GOD
Ahsante sana mtumishi wangu kwa mafundisho mazuri.
I CONNECT MYSELF AND MY FAMILY IN JESUS NAME.........AMEN
you all probably dont care but does anybody know a tool to log back into an Instagram account??
I stupidly forgot the password. I appreciate any assistance you can offer me.
Amen Amen pastor
Amen
Asante sana
AMINA
Uyomtu mmoja ni mimi, imani yangu imeimalika zaidi.
Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake💒
Lulu, unamfahamu Edna Lifa?
@@EK-kp2np ndio namfahamu .
Amen