NAKUPENDA | PR. GWIRISHA & LISA (wedding song) | Official video
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2022
- Wimbo NAKUPENDA, unaelezea namna ambavyo Bwana harusi na Bibi harusi wanakiri upendo uliopo ndani yao na kwamba wanamuomba MUNGU awadumishe katika upendo huo hasa sasa wanapokuwa katika ndoa.
Audio by Baraka George
Videographer/Director: MeeSHA (Didah Creationz)
follow us on
youtube: / @didahtv
Instagram : Didah Media
For bookings and business
Mawasiliano:
0683194203/0754445292
---------------------------------------------
Business Inquiry ➤ didahmedia@gmail.com
---------------------------------------------
MY SOCIAL NETWORKS!
TWITTER ➤ / didahmedia
INSTAGRAM ➤ / didahmedia
AUDIOMACK ➤
TIKTOK ➤ / didahmedia
---------------------------------------------
Support the Channel!
Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500.
VODACOM :LIPA Namba➤ 5844653 @DidahCreation
Tunashukuru kwa kuwa Mwanafamilia wa Didah Tv unayejali - บันเทิง
Naupenda sana wimbo huu. Sending love from Kenya.
Wimbo mtam baraa♥️
My pr God is good all the time!!!
AMINA MNO- VIAPO TUVIENZI KUPITIA WIMBO HUU KILA MNAPOHITILAFIANA JARIBUNI KUIMBA WIMBO HUU UTAWASIDIA KUSAMEHEANA.
Ameen ameen
Bwana awabidishe Mchungaji Gwirisha. Nakuombeeni kwa safari ya ndoa Bwana adumu na kwenda nanyi.
Ameen ameen Barikiwa sanaa
Ukisikia blesses hazisimuliki ndo hizi: respect sana wandugu
WAoooooooo G mwalimu wangu wa kwaya mwanalugali, iseeee BWANA awapganie safi Sana
Mbarikiweee sana💪💪🙏
Ni nzuri sana mungu awasimamie
Amina pastor
🤩🤩🤩🤩 safi sanaaaa
Brilliant ✔
Huu wimbo ukawe maisha yenu...ts a nice song
EVERYBODY SAY AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN.
Nawatakia baraka tele kutoka kwa Mungu. Na akawape maisha yaliyo jaa Neema hata mkawaone na vitukuuu💖💖💖💖
Amina sana mungu awabariki nawarinde maisha yenu yote na ninawaombea muendelee kumtumikia mungu maisha yenu yote na mpendane millele mungu awabariki sana
Congrats my TZ gal may God bless Ur union
Mungu awaweke na mkapate kibali nyinyi na kizazi chenu...nothing I could ask for but your happiness guys nawapenda mnoo
kawimbo kananoga🥰🥰🥰
Sheeeem😘😘😘
moja ya wenzi ambao ni marafiki😍😍😍😍😍 Mungu azidi kuwainua ktk huduma yenu...
Bwana aibariki familia hii ya kichungaji.
Barikiwaa Mchungaji wanguu
And how are you now, is she sing again? she have nice voice
aisee MUNGU awabariki sana kwa wimbo mzuri unaofundisha mbarikiwe sana japo kwa kuchelewa
🎉
💗🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wow just wow
I like this song for really
Be blessed
Jaman beautiful Song Lissa🎉🎉❤❤❤
😘😘
Huu wimbo naupenda sana mbarikiwe kwenye harusi yangu razima kama hajui kuimba nitafundisha jamani katamu sana 🔥🔥
Such kinda love.
Nyimbo nzur sana 😘😘😘😘😘😘
Mbarikiwe sana na mwe na ndoa njema🙏🙏
mbarikiwe sana wapendwa ndoa yenu ikawe yenye furaha daima kila siku
waoooo waoooo waooooo all the best
Naguswa na wimbo mtam Sana mungu awalinde maisha yenu yote hakika mudum kumtumikia mungu❤❤❤❤
Amen🎉
wooow, Nikizihesabu ahadi, Glory to be to our God
Ameen ameen
Ameen Ni Rehema na Neema za Mungu Kufika Happ mlipo🙏
Mbarikiwe sana Pr
❤❤❤such kind of beautiful love and beautiful song of course lissa and gwirisha itz a great and glory to God u really deserve it be blessed. Amen
Woooooow thanks❤😊
Wooow
Sheem
Wow 😍😍😍😍😍😍
Raha sanaaa
Nawatakia kila la kheri kwenye maisha yenu ya ndoa.
Ameen ameen Shem
@@gwirishamjema9633 Amen shem
Safi sana hongereni sana😍
safi sana
It's wonderful songs praise singers Bariadi TZ are blessings
Wowww
This was beautiful 😍❤️
My Pastor
Good 👍😊
Love is beautiful
Wimbo mzuri. Hongeren mdumu daima kwa Amani na upendo.
Ameen ameen
Audio ya wimbo naipataje
😍😍😍
Woow
😘😘
Waiting is over
Hongwreni kwa kazi nzurii
Safi sanaaaa,,nimeipenda hii,, Mungu awabariki sanaaa
Amen
Wonderful! God bless your marriage
Waoooooo😘
Kwa kweli nmeguswa barikiweni
Wow good song blessings
🔥🔥🔥wooow
😘😘😘
Hallelujah ❤
Amen 🙏
May you have happy marriage 💑 and abundant blessings under insurance cover of GOD
Amen
♥️♥️♥️❣️❣️❣️
I was looking for this song😊😊😊😊
be blessed
So lovely, May God be with you
Thanks 🎉
🔥🔥🔥❤❤
😍😘😘
Na iwe hivi kweli.
Barikiweni sana
Barikiwa
Beautiful!!!
Thank you brother
😍😍😍
Watu na sauti zao bna hivi mnatoana wapi
Mtoe audio mpiya ambayo haina majina jamani watu tupate wa kuingilia ukumbini 😂😂 habari ya kuingilia nyimbo za wengine tuu 😂😂
Naomba namba ya Director 2a video edit hii
0754445292
Shukran sana mtumishi namba nimeiona
Karibu