UIMBAJI HUU UNANIKUMBUSHA MBALI SANA NDUGU ZANGU WALIOTANGULIA MIAKA MINGI NA UNANIPA HAMASA KUBWA YA KUIAHINDANIA IMANI HII YA WOKOVU MPAKA MWISHO. MUNGU AWABARIKI MNO WATU WA MUNGU
I wish u just did the original version which brings original taste of the memory...Biblia Husema Studios. God keep blessing you for continually serving Him. My favorite
Kwaya yenye mashiko mengi ya dini,,ujumbe mzito sana kupitia huu wimbo Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu Na pia tuzidi kuombeana katika maisha haya maana hakuna mwenye uhakika wa kuishi milele
Amen sana, napenda sana huu wimbo hususani kwa version ile ya kwanza mliyorekodi bila matumizi ya midundo ya vinanda. Ina maana kubwa sana kwangu binafsi, na inanikumbusha maisha ktk kijiji cha Majahida Bariadi ambapo wazazi wangu walikuwa watumishi wa serikali, familia yangu iliishi kwa ujirani mwema sana na wamisionari wa kanisa la AIC kule Majahida walipokuwa na mission yao, na baadhi yao walikuwa marafiki wakubwa wa familia ya Babangu, one more thing, Baba wakati huo alikuwa mjumbe wa vikao vya SDA Union ya Tanzania. Wakati huo ndege ndogo ya Union ilikuwa iitua kule Bupandagila na kumchukua Baba kwenda kwenye session Arusha... What a memory! aliposafiri tulibaki na mama yetu, we were very young, yet we understood every thing that was happening! Our mother mwalimu Hellen Barnabas Masanja alikuwa pia mwimbaji wa kwaya ya Subira Ya Kanisa la Bariadi, maeneo mengine yanayokuja kwa kumbukumbu ni pamoja na Nkololo kwa Babu na Bibi yangu ambao wameshatangulia mbele za haki! nakumbushwa pia habari za Bupandagila mission enzi hizo ikiwa makao makuu ya jimbo la South Nyanza chini ya uongozi wa Marehemu Mzee na pastor Mashigani ( we used to call him pr Machine gun ) hizi ndizo zilikuwa nyimbo za kila siku..., zilishiba ujumbe na umahiri mkubwa ktk utunzi na harmony ktk maeneo ya vocal na vyombo in a very simple yet very powerful manner. When i hear this song, I reminisce a number of SDA pastors of those blessed 80s yrs. Amen. Wazazi wangu hadi sasa ni wapenzi wakubwa wa kwaya ya Muungano.
Great songs, great people, great messages, great scenes, great everything! May each of you not lack anything in your lives and my prayer is that God continues to bless you in your families and gospel ministry.
I'm Mathew Isdory from Kigoma TZ,when I listen to these songs from muungano choir, I feel joy,happiness and peace in my heart. May our heavenly God bless this choir forevermore.
Hizi ndio zilikuwa nyimbo, za sikunhizi ni fujo tuu. Badala ya kumsifu Mungu na kumuomba imekuwa ni jasho jukwaani na kunengua, ni kama wanaocheza zaidi ndo nyimbo zinakubalika
I can listen this song as many times as I live. What a message! @MuunganoChristianChoir may Almighty God bless you abundantly for good work of faith you do. Amen
With this choir you fill like you are in heaven, I just like to be with them, thanks you very much for your effort God bless you all in Jesus name, see In heaven
Listening from Nairobi,Kenya. May God bless you, But the bass voices/singers are low or may be silent in the song, Choir master can you do something on that?
Lyrics (1) Miradi gani (miradi gani) uliyo nayo Yenye dhamani zaidi ya Yesu Mradi gani (mradi gani) wenye wokovu ambao faida yake uzima milele (uzima milele) (Chorus) Mali na miradi ili baraka Usipende zaidi yake Bwana Mkumbuke Bwana kwa mali yako, Toa mali yako kwa kuhubiri (×2) (2) Nilizaliwa (nilizaliwa) nikiwa uchi Mali na vyote baraka za Mungu Mradi gani (mradi gani) wenye dhamani, zaidi ya moyo wangu Potelea mbali (potelea mbali) (3) Twasumbukia (twasumbukia) nayapitayo Nini dhamana ya moyo wako? Neno la Mungu (neno la Mungu) linakuuliza- ni mradi wa uzima sawa na milele? (sawa na milele)
Asante sana. Lakini, mustali wa kwanza wa chorus, kuna neno moja halisikiki vizuri...Mali na miradi ILI baraka. Je, ni "ili" ama ni lingine? Ubarikiwe.
Who is still listening to this wonderful song with me in 2024?
Niliskisa hii wimbo wiki iliipita na nimebarikiwa hongera dugu na dada zangu Mungu awabariki
UIMBAJI HUU UNANIKUMBUSHA MBALI SANA NDUGU ZANGU WALIOTANGULIA MIAKA MINGI NA UNANIPA HAMASA KUBWA YA KUIAHINDANIA IMANI HII YA WOKOVU MPAKA MWISHO. MUNGU AWABARIKI MNO WATU WA MUNGU
Wimbo wa Baraka kweli. Muendelee na kazi ya Bwana kupitia uimbaji mfikie wengi. Niliwapata siku moja Kisii Kenya. Mungu azidi kuwabariki zaidi
serve God today because you never know about tomorrow
Jamani jamani waimbaji wa muungano mungu awalinde awape maisha marefu nimeanza kuskiawimbohuu nkiwa mdogo miaka ya 84 nasema amin
Na wewe akubariki pia
Kweli kweli kabisa, endelea kutubariki
Hapo ndipo uimbaji NATURAL ulipoishia , kwa Sasa mmmh !!
Amina ,Bwana awabariki sana
Thank you for doing God's work while it's still day coz time will come when it will be dark and you won't work !
Mkumbuke Bwana Kwa mali yako ..toa mali yako Kwa kuhuburi
What an inspiring hym
Congratulations to this choir . Glory to the most High God
This song reminds me of my late dad who would listen this song and others done by muungano on Bibilia Husema...I love all muungano songs
My mum loved this song ..Rip mum
Amina, huu wimbo tangu miaka ya 80 ,lakini ujumbe wake ni mpya kila siku, mbarikiwe sana,karibuni kanisa la waadventista wa sabato matengenezo.
Awesome! One of the best Christian songs I have ever listened to.
Hakuna zaidi Mungu
Uimbaji ni mtulivu ujumbe ni kamili vyombo vinapigwa Kwa umakini mkubwa.....hakika nafarijika sana
Asante sana kwa hiyo habari njema, MUNGU AWABARIKI nyote
Very nice watanzania wetu old is Gold
Kutoka kenya mwenda....twapenda nyimbo zenu saaana....
Wimbo wenye baraka
Been looking for this song for yrs! I heard it as a young man about 20 yrs ago. Thanks be to God for giving us to live
I wish u just did the original version which brings original taste of the memory...Biblia Husema Studios. God keep blessing you for continually serving Him. My favorite
Amen Amen
Dunia sisi ni wapitaji. Nilizaliwa nikiwa uji Mali na miradi ni ya Mungu.......Nice message
Woou, so wonderful Wana wa Mungu
Kwaya yenye mashiko mengi ya dini,,ujumbe mzito sana kupitia huu wimbo
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Na pia tuzidi kuombeana katika maisha haya maana hakuna mwenye uhakika wa kuishi milele
Amen amen amen Mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu
powerful song it stand the times of all ages.......
mubalikiwe sana
Nawe ubarikiwe
best childhood moments from Kenya. May God pay your children and their children for blessings you left us as a choir
The best choir ever. really love songs of muungano and let our God help you to spread the word of god
This is a blessing to this nation.Than you for taking time to serve your Almighty
Wapendwa wa Bwana, mbarikiwe sn
Barikiwa pia
Amen sana, napenda sana huu wimbo hususani kwa version ile ya kwanza mliyorekodi bila matumizi ya midundo ya vinanda. Ina maana kubwa sana kwangu binafsi, na inanikumbusha maisha ktk kijiji cha Majahida Bariadi ambapo wazazi wangu walikuwa watumishi wa serikali, familia yangu iliishi kwa ujirani mwema sana na wamisionari wa kanisa la AIC kule Majahida walipokuwa na mission yao, na baadhi yao walikuwa marafiki wakubwa wa familia ya Babangu, one more thing, Baba wakati huo alikuwa mjumbe wa vikao vya SDA Union ya Tanzania. Wakati huo ndege ndogo ya Union ilikuwa iitua kule Bupandagila na kumchukua Baba kwenda kwenye session Arusha... What a memory!
aliposafiri tulibaki na mama yetu, we were very young, yet we understood every thing that was happening! Our mother mwalimu Hellen Barnabas Masanja alikuwa pia mwimbaji wa kwaya ya Subira Ya Kanisa la Bariadi, maeneo mengine yanayokuja kwa kumbukumbu ni pamoja na Nkololo kwa Babu na Bibi yangu ambao wameshatangulia mbele za haki! nakumbushwa pia habari za Bupandagila mission enzi hizo ikiwa makao makuu ya jimbo la South Nyanza chini ya uongozi wa Marehemu Mzee na pastor Mashigani ( we used to call him pr Machine gun ) hizi ndizo zilikuwa nyimbo za kila siku..., zilishiba ujumbe na umahiri mkubwa ktk utunzi na harmony ktk maeneo ya vocal na vyombo in a very simple yet very powerful manner.
When i hear this song, I reminisce a number of SDA pastors of those blessed 80s yrs. Amen.
Wazazi wangu hadi sasa ni wapenzi wakubwa wa kwaya ya Muungano.
Amina. Ubarikiwe uzidi kukua katika imani
amen
Barikiwa
Nilizaliwa nikiwa uchi,mali na miradi ni mibaraka usipende mali kuliko mungu!20/3/2021 kutoka Haydom-manyara William cresent kirway.
Amina WATUMISHI wa Mungu,mnapatikana mkoa gani Jaman natamani siku moja Baba anipe neema nije nikutane nanyi mmekuwa baraka haswa
Mkoa wa simiyu
Mumekuwa baraka kwangu sana
Amina.
Wonderful songs... Naitaka Ile inayosema,Yesu yuaja.
Yesu yuaje na mawingu mazito na kila jicho nalitamuona..
Use this whatsapp number +255620399935
@@muunganochristianchoir_Tz thanks
@@muunganochristianchoir_Tz Paste the link here we listen online
❤
Yaani Sasa ndo nafika nyumbani wow
Pongezi sana kwa nyimbo hizo za uvivio na matumainio makuu ya milele
Great songs, great people, great messages, great scenes, great everything! May each of you not lack anything in your lives and my prayer is that God continues to bless you in your families and gospel ministry.
I'm Mathew Isdory from Kigoma TZ,when I listen to these songs from muungano choir, I feel joy,happiness and peace in my heart. May our heavenly God bless this choir forevermore.
Blessed while at work mahubiri kupitia nyimbo za zama
God bless this choir their songs are inspired
Wow iko sawa
Tunabafuata sana tena nawapenda sana from burundi mubarikiwe
Ubarikiwe nawe pia
May God bless you in this divine service you are doing.
Nyimbo zenye uuisho
Amen mbarikiwe sana
Michael kingora, Kenya,a beautiful gospel song, I like the original version.
This is very nostalgic. God is great.
Mungu Aliye Hai awabariki kwa nyimbo hizi zilizo na NENO
God is everything Aky ukweli.
God, remember this gospel evenjilist
Hizi ndio zilikuwa nyimbo, za sikunhizi ni fujo tuu. Badala ya kumsifu Mungu na kumuomba imekuwa ni jasho jukwaani na kunengua, ni kama wanaocheza zaidi ndo nyimbo zinakubalika
I can listen this song as many times as I live. What a message! @MuunganoChristianChoir may Almighty God bless you abundantly for good work of faith you do. Amen
Waaaaaaoh!!!🥰🥰🥰
Wonderful voices glory
I'm with you, from Uganda thanks for the song God bless you in Jesus name
Be blessed too
Absolutly sure!!! Toa mali yako kwa kazi ya Mungu!!!
God bless them great song
Mpangilio WA vyombo na sauti hupendeza sana
Mungu awabariki sana waimbaji mnanitiamoyo
Ubarikiwe pia
With this choir you fill like you are in heaven, I just like to be with them, thanks you very much for your effort God bless you all in Jesus name, see In heaven
Thanks for listening
Quite a nourishment ,it never gets old for me....
I hope we could get a present choir like this in this days
Wimbo wangu utotoni nikijiunga na uimbaji mbarikiwe sana .
Nawe ubarikiwe
Very nice blessed and encouraging!
Wimbo was baraka kweli
AMEN AMEN AMEN
Amen.. nostalgic
Only invest in God our almighty
So beautiful God love for you
Evergreen hits.mungu awabariki sana
Amina. Barikiwa pia
Hongera sana kwaya ya muungano SDA kutoka Tz
True Christian music.
Wimbo wa kuzaliwa kwa Yesu so kushona uko wapi wapendwa.
Jaman jaman nimesikia kabisa
2022 let Glory be to God always be blessed muungano choir
This is always my first song in the morning
Mikah and Daudi pokes salamu zangu za dhati
AMINA
Naomba muongeze zile nyimbo za harusi pia kutoka kwa vol 13 ya kaseti
One of my best songs
wonderful song
Very addictive song!
Wimbo mzuri sana
Babu simwoni
Babu yako nani?
precious memories
God bless you for this song
Amen
Beautiful sana
Good evening, ireally love the song
Halleluyah!
Yabariki
Listening from Nairobi,Kenya. May God bless you, But the bass voices/singers are low or may be silent in the song, Choir master can you do something on that?
Amen
We will deal with it
I guess I am quite randomly asking but do anybody know of a good site to stream newly released movies online?
@Moises Myles I watch on FlixZone. Just search on google for it :)
Nce songs
Nice
👏👏👏👏
🙏🙏
Lyrics
(1) Miradi gani (miradi gani) uliyo nayo
Yenye dhamani zaidi ya Yesu
Mradi gani (mradi gani) wenye wokovu ambao faida yake uzima milele (uzima milele)
(Chorus)
Mali na miradi ili baraka
Usipende zaidi yake Bwana
Mkumbuke Bwana kwa mali yako,
Toa mali yako kwa kuhubiri (×2)
(2) Nilizaliwa (nilizaliwa) nikiwa uchi
Mali na vyote baraka za Mungu
Mradi gani (mradi gani) wenye dhamani, zaidi ya moyo wangu
Potelea mbali (potelea mbali)
(3) Twasumbukia (twasumbukia) nayapitayo
Nini dhamana ya moyo wako?
Neno la Mungu (neno la Mungu)
linakuuliza- ni mradi wa uzima sawa na milele? (sawa na milele)
Congrats God be with you all
Mbarikiwe sana
Asante sana.
Lakini, mustali wa kwanza wa chorus, kuna neno moja halisikiki vizuri...Mali na miradi ILI baraka.
Je, ni "ili" ama ni lingine?
Ubarikiwe.
Aaamina
I thought the song was done by AIC Mwanza. Excellent song with strong message. Where can I get the vedio in Nairobi
Karibu, usisahau kusubscribe
simply go to TH-cam and download
Very good
Nice song
Nabarikiwa na wimbo huu,
Only God can reward you,