Malkia wa Nguvu Amerudi Tena, Daah huu wimbo umenifunza mengi sana kwenye maisha, na Mungu pekee ndiyo Mwenye kupanga linalowezekana hivyo mshukuru Mungu Kwa Kila Jambo, Naomba Likes za kutosha tumpe Nguvu Anjella 😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Acha niseme leo..... @Anjellah nitakupenda leo kesho mpaka kiama, mimi ni shabiki yako namba moja..... pole mama ila nimekuelewa sana, Hongera Ajellah......❤ nalia wallah... mwenye anafell #Blessing kama mimi naomba like zenu please sijawahi kufikisha hata like 50 tangu nimeanza kutumia S9.. ... please nisaidiyeni kumwambia anjellah nampenda😢
Mm naisi studio so yeye ii studio niyakawaida maprduza wakubwa wanakusaidia kufanya kitu nakukupa ushauli ila ii chupa ingepikwa kwa raizi kwakonde geng kichupa kingewaliza wengi ameimba Kama msanii mchanga
Anjella woww!huu wimbo ni special kwa wapambanaji wote duniani sijaskia wimbo kama huu unakutia tamaa na matumaini pia unatoa machozi tukikumbuka pale tulipotoka mpaka sasa kipaji uko nacho Angella.hii moto sana
Nimejikuta machozi yananitoka 😥😥😥😥😥 sauti nzuri sana wewe ni msanii Bora Africa God bless you Black Queen 👑 Kwenye listi yangu ya wasanii wa kike wenye voice nzuri basi wee upo namba 2 1.Ruby 2.Anjela 3.Nandy 4.Zuchu 5.Mauasama 6.Phina nawengine wengi
Kupitia huu wimbo ndio nimeamini chanzo Cha wewe kuondolewa konge gang ni mapenzi Kati ya boss wako wa zamani na kajala! Kuna mistari humu umezungumzia hili ingawa haipo wazi Sana! Kazi nzuri Sana! Karibu Tena Anjela! Sijawahi kuwa na shaka na kipaji chako!
Anjella Yani unatupa wimbo kaaaaaali saaaana siwezi kueleza kisasi inavyo pendwa saanaa melody sauti wowo team konde konga nikuone basi angella mupeni likes zake hapa🔥🔥🔥🔥🙏
Anjela Asante ngoma ni kali kuliko zote ulizowahi kuimba ❤️💕Jamani hii ngoma isiposhika namba moja on trending MNIITE………Nimekaa pale, lets support her❤.
Nimependa ushairi dada kiukweli hii ndio sanaa sauti unayo tangu zamani lakini utunzi huu ndio tulichokuwa tunakitaka hii ni sanaa halisi mumy umeupiga mwingi sema enewei jeshi hata liwe la mujibu wa sheria jau 😘😍
This is wat we call pure talent..if you ain't like here and love the song it means that you're selfish and Jah will never bless you..Let's learn how to appreciate the little...Jah bless Ajella 😭😭😭 and KondeNgang🙏🙏
Safi anjella kweli jeshi amekujenga umekuja na uandishi wa kueleweka na contents endelea hivyo hii ndo style inayo mfanya harmonize atambe mjini uandishi mzuri kaa kwenye content moja itafutie vina ulalo na balance mizani na jitahidi hivyo hivyo chnganya lugha yes unafika somewhere then realese songs back to back usikae sana silence i believe in your talents🎉
This song is giving me goose bumps. Girl, you are blessed. I don't understand your language, but I love the song. Way to go, Anjella ❤❤❤❤, love from Cameroon 🇨🇲
Anjela....naiman nawewe ...najua uwezo wako....unajua...unajua sana mama....hiii nyimbo nikali sana.....nivile tu Sina uwezo....ila hii ndo sapot yang kwako...❤❤❤Asante🙏🎶🎵🎼 kwa nyimbo tam
Nyimbo ni nzur sana imebeba ujumbe mzito wenye ukweli ndan yake kikubwa dadaetu #anjella_tz usiishie hapo bado kipaji unacho let's go 🏃 listen new song blessing 🎉
Aaaah, hapa napo mtoto wetu kaupiga mwingi. It the first for my beloved nimependa pasi kufikiria mara mbili mbili, pile wimbo umetoa shukran zote kw Jeshi, kw real funs wetu wote kama mwana KONDE Geng aliye/atakaye uskia huu wimbo atalia kama mimi. Tatu ukweli kw wimbo ni mwingi na nne nasio mwisho unaonyesha kwa konde geng kuna kutiana nguvo na moyo wa kulove yaani akuna kukata moyo, jeshi aliwatangulizia that (Never give up) ameshema kando na miguu kutomkubali na kubaki macho juu bado jeshi wali muunga mkono hadi atakapo kuwa Amri jeshi mkuu. Naami hii sasa inaenda kuwa dhiirishia kuwa Angella ni amri jeshi mkuu. Zuchu akiskia hii kwisha yeye, na next i bet lazima ataiziza ujume naye aimbe kama hii eti kuonyesha mapenzi ya kindugu kw wasafie😂😂 yeye uimba mapenzi ndio, lakini kwa Mondi sio kw wasafi label. Thanks to Angella kujua kuwa konde ndio home na kuamua kuwapa tha best hitsong
Anjella Deus vai te abençoar sempre Esse a sua Música é Sentimental sempre toca Nus milhares das pessoas bom Trabalho Continue Deus vai te Ouvir Obrigado 🙏✔️
One day I will pack my clothes and travel to Tanzania just to meet this black angel 😇 🖤 ♥ ✨ Love u since u are in KondeGang and I will always support you. LOVE FROM BURUNDI 🇧🇮 ❤
Achana na nyimbo za dunia hazitokupeleka popote Muimbie Mungu atakulipa pia atakuponya na matatizo yako yote ya ki mwili na kiroho okowa kwanza maisha yako mpe yesu ndio cha msingi na uwe mwaminifu kwake una sauti nzuri bi blessing again
ANJELLA hii umeua saaaana🥰🥰 Tumpe maua yakeee
Kabisa 🇰🇪
Kabisa👏👏.....
Kabisa
Safi
Hata 254 tumempa
Usipoupenda huu wimbo wewe ni mchawi. Team gulf wenye tumekuja ku show love for our beautiful queen anjella piteni na likes❤🇰🇪🇶🇦
Good job my sister kajalla
❤❤❤❤❤🇦🇪
Anjela never give up ❤
@@monjemghalu1734 she's going far
Team Qatar tumekubali
Waliosikiliza zaidi ya mara 2 tujuane oya huyu dada anajua❤
😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Kama wewe unamkubar angella ❤❤❤ kama yoote
Usipo penda huhu wimbo yaani wewe una roho mbaya nakukubali sana Ângela niko pamoja na wewe dada yangu
Malkia wa Nguvu Amerudi Tena, Daah huu wimbo umenifunza mengi sana kwenye maisha, na Mungu pekee ndiyo Mwenye kupanga linalowezekana hivyo mshukuru Mungu Kwa Kila Jambo, Naomba Likes za kutosha tumpe Nguvu Anjella 😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kabisa yani. Mi nampenda sanaaa
😭😭😭😭😭😭
❤
This world used to be a place to learn to suffer, but that has to change. Make this world heaven!
Wimbo mtamu na wenye huruma. Nakupenda sana Anjella from here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Acha niseme leo..... @Anjellah nitakupenda leo kesho mpaka kiama, mimi ni shabiki yako namba moja..... pole mama ila nimekuelewa sana, Hongera Ajellah......❤ nalia wallah... mwenye anafell #Blessing kama mimi naomba like zenu please sijawahi kufikisha hata like 50 tangu nimeanza kutumia S9..
... please nisaidiyeni kumwambia anjellah nampenda😢
Mungu akufungue zaid❤
Nice ❣️😘 sijui kwanini nimechelewa
Utunz mzuri dada ila sikupenda ulivoiimba umeimba kawaida sana ungeeiiimba kwa hisia zaidi ungenoga sana huu wimbo ila hongera Mungu akujaalie
Mm naisi studio so yeye ii studio niyakawaida maprduza wakubwa wanakusaidia kufanya kitu nakukupa ushauli ila ii chupa ingepikwa kwa raizi kwakonde geng kichupa kingewaliza wengi ameimba Kama msanii mchanga
Kweli ila aidha kali sana kuimba kawaida angeeeimba kwa hisia tungelia
Hii gomaa kaziiii sanaaa kamaa wew ubeikubali wema link zak hap kam 100
Mdogo wangu Anjera mimi Dada ako nakuombea sana Mungu yupo pamoja nawe
Anjella umerudi na kitu kimoja nikupongeze unakipaj kwakwel na MUNGU azidi kukufanyia wepes kayltika kipaj chako💯💯💯
Angela unajituma Sana mungu mwema utafika mbali
Waooow❤❤❤wa kwanza jmn km tunamkubali❤❤❤❤❤gonga like
Namsikia kontawa kabisa humu,🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Daah!! Nilikua namtafuta mtu ambae masikio yake kama yangu aisee ulichokiona ww namm nimekiona tawa Katia mkono humu
Tawa mtu mbad sana🙌🏻
Kazi Nzuri sana,
Sema uandishi kama wa konde boy ,ongera sana dada kwa mziki mzuri ❤❤❤
Ngoma kali sana god bless you 🙏
M natatizo la miguu, wao wakaniunga mkono🥲🥲🥲
This song is so emotional❤️
Hizo vocals ni 🔥
Melodies ❤
Beats oh my god 😢😮
Team gulf hebu let's support a very talented queen 👑
Q❤❤
Tupo hapa udugu
Amazing ❤❤❤
Big talent anjella keep it up trust me
Anjella woww!huu wimbo ni special kwa wapambanaji wote duniani sijaskia wimbo kama huu unakutia tamaa na matumaini pia unatoa machozi tukikumbuka pale tulipotoka mpaka sasa kipaji uko nacho Angella.hii moto sana
Nimejikuta machozi yananitoka 😥😥😥😥😥 sauti nzuri sana wewe ni msanii Bora Africa God bless you Black Queen 👑
Kwenye listi yangu ya wasanii wa kike wenye voice nzuri basi wee upo namba 2
1.Ruby
2.Anjela
3.Nandy
4.Zuchu
5.Mauasama
6.Phina nawengine wengi
Wow nyimbo Kali sana nimerudi ka mara kumi hivi... nyimbo yenye yagusa moyo never give up.. My will blessing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilitamani amalizie kondemusicworldwide😢😢😢go girl
Kupitia huu wimbo ndio nimeamini chanzo Cha wewe kuondolewa konge gang ni mapenzi Kati ya boss wako wa zamani na kajala! Kuna mistari humu umezungumzia hili ingawa haipo wazi Sana! Kazi nzuri Sana! Karibu Tena Anjela! Sijawahi kuwa na shaka na kipaji chako!
Nashkuru umenifumbua mackio nimeckza zaidi na zaidi ila ww umenpa ufumbuzi nyimbo imentoa chozi hii
Nikwel alipowekwa macho juu na kufumbwa mdomo, wanawake kwenye mziki wanapitia mengi
Kuna Hisia nyingi kali katika tunzi hizi
Najarbu kuskiza mara nyingi sana ili kuelewa hisia zake .
Go BIG Anjella
Anjella Yani unatupa wimbo kaaaaaali saaaana siwezi kueleza kisasi inavyo pendwa saanaa melody sauti wowo team konde konga nikuone basi angella mupeni likes zake hapa🔥🔥🔥🔥🙏
Daaah❤❤ wimbo mzuri me ni mmoja wa shabiki yako
Achana na majeshi Wa ovyio hao, God ndo jeshi kamili mrembo, this is a hit song 2023, God bless you mamah you are super talented, never give up.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anjela Asante ngoma ni kali kuliko zote ulizowahi kuimba ❤️💕Jamani hii ngoma isiposhika namba moja on trending MNIITE………Nimekaa pale, lets support her❤.
Nimependa ushairi dada kiukweli hii ndio sanaa sauti unayo tangu zamani lakini utunzi huu ndio tulichokuwa tunakitaka hii ni sanaa halisi mumy umeupiga mwingi sema enewei jeshi hata liwe la mujibu wa sheria jau 😘😍
Let's make it number one song guys! Please we need to support this young girl
Ofcourse, she can
Exactly ❤❤❤❤❤
Hongera sana mdogo wangu
Jeshi amefanya job mob We as kenyans we loves it. Jeshi is exploiting all corners of talents especially music,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔜
Definition of real talent. Ngoma kali sana. Twendeni na likes za kutosha
This is wat we call pure talent..if you ain't like here and love the song it means that you're selfish and Jah will never bless you..Let's learn how to appreciate the little...Jah bless Ajella 😭😭😭 and KondeNgang🙏🙏
Wimbo mtamu Dada anjella ,mungu yupo na we ,he will keep the fire burning in your talent.
Wow wimbo mzuri sana ❤️❤️❤️
Dada unajua sanaa wasioupenda huuu Wimbo ni wanafkii
Unakipaji kizuri sana Anjela, mwenyezi Mungu azidi kukuongoza ufikie malengo yako ❤❤❤
Huu wimbo umenivuta hisia Sanaa, dadangu siku moja tutapiga kollabo❤
😅
This is a REVOLUTION... GOOD MUSIC, GOOD VOCALS , GOOD TOUCH & GOOD EVERYTHING. CONGRATULATIONS. NYIMBO NZURI.....
Tungo za CONTAWA hizi kabisaaaa
Uitwe Anjella tawa maana imekaa kikontawa fulani hiviii🎉 umeuwa💯
Haya tulio rudia zaidi ya mara moja tujuane hapa 🥰🥰🥰
*Nikumuona Anjella Naona Mwimbaji Wa Gospel mkali sana* 🔥🔥💪💪❤️
Love from kenya
Music 🙌
Sound🙌
Melody 🙌
Content 🙌
Safi anjella kweli jeshi amekujenga umekuja na uandishi wa kueleweka na contents endelea hivyo hii ndo style inayo mfanya harmonize atambe mjini uandishi mzuri kaa kwenye content moja itafutie vina ulalo na balance mizani na jitahidi hivyo hivyo chnganya lugha yes unafika somewhere then realese songs back to back usikae sana silence i believe in your talents🎉
One of the realest comments here, Anjella, zingatia haya maelezo dada 🎉
Wewe mdada unajua sanaaaa hadi unaboaaaaaa❤❤❤❤❤❤
She needs support,wimbo mzuri sana hadi nimesikia kulia big up Angel 🇹🇿🇺🇸❤️
Anjella is such a whole vibe
Much love from Kampala 🇺🇬🇺🇬
Tunakupenda sana kabisa
This song is giving me goose bumps. Girl, you are blessed. I don't understand your language, but I love the song. Way to go, Anjella ❤❤❤❤, love from Cameroon 🇨🇲
Music is univesal language
❤❤❤❤
Mungu wa mbiguni atakujalia, nashukuru kwa wimbo wako umenifariji. asante.
Aisee kwa huu wimbo nainua mikono juu🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 umeweza tena Umeweza sana Da Anjella ✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥
This song is so good and also emotional ❤
Yup 😢anaongea maisha aliyepitia .
Great tune,tulikuwa tumekungonja sana keep the 🔥🔥 burning
Beautiful melody + beautiful message
Mungu akusaidie kwa nguvu zake ufike pale utakapo ❤❤❤
bila shaka lazima kontawa kaandika hii kazi🔥
Wow wow wow! This one got me. What she sang is bare truth, take heart and believe in God no matter how hard situation becomes, He is a faithful one.
Good job Angella. The Angels sing heavenly
the queen is back 🙌, acheni uchawi huyu sister anajua ase 🙌🙌🙏🙏
basi tu ila naamini huu wimbo hakna ambae haujamgusa✊✊
Definition of real talent, killed it Queen🔥🔥🔥
Nandy alifungua label ya kusign wanawake, she should consider this pure talent angela 🥰🥰🥰🥰...mola akuzidishie daima mama🙏🏻🙏🏻🙏🏻..upendo 🇰🇪
Anjela....naiman nawewe ...najua uwezo wako....unajua...unajua sana mama....hiii nyimbo nikali sana.....nivile tu Sina uwezo....ila hii ndo sapot yang kwako...❤❤❤Asante🙏🎶🎵🎼 kwa nyimbo tam
Good music 🎧good melody 🎸
Nyimbo ni nzur sana imebeba ujumbe mzito wenye ukweli ndan yake kikubwa dadaetu #anjella_tz usiishie hapo bado kipaji unacho let's go 🏃 listen new song blessing 🎉
This is golden voice , kama kweli diamond platnumz ni mfanyabiashara mzuri ,this is a talent that can not be ignored
Mungu akuponye kwa uwezo wake
Aaaah, hapa napo mtoto wetu kaupiga mwingi. It the first for my beloved nimependa pasi kufikiria mara mbili mbili, pile wimbo umetoa shukran zote kw Jeshi, kw real funs wetu wote kama mwana KONDE Geng aliye/atakaye uskia huu wimbo atalia kama mimi. Tatu ukweli kw wimbo ni mwingi na nne nasio mwisho unaonyesha kwa konde geng kuna kutiana nguvo na moyo wa kulove yaani akuna kukata moyo, jeshi aliwatangulizia that (Never give up) ameshema kando na miguu kutomkubali na kubaki macho juu bado jeshi wali muunga mkono hadi atakapo kuwa Amri jeshi mkuu. Naami hii sasa inaenda kuwa dhiirishia kuwa Angella ni amri jeshi mkuu. Zuchu akiskia hii kwisha yeye, na next i bet lazima ataiziza ujume naye aimbe kama hii eti kuonyesha mapenzi ya kindugu kw wasafie😂😂 yeye uimba mapenzi ndio, lakini kwa Mondi sio kw wasafi label. Thanks to Angella kujua kuwa konde ndio home na kuamua kuwapa tha best hitsong
Anjella Deus vai te abençoar sempre Esse a sua Música é Sentimental sempre toca Nus milhares das pessoas bom Trabalho Continue Deus vai te Ouvir Obrigado 🙏✔️
Everdade
Kenyans let's come together,, the song on repeat again 😢
Thanks dear
You still got this Angela... Top notch vocals.
Ongera dada yangu najuwa mwenyezi Mungu anakuona
Black Angel !! Congratulations ma sœur ✌️✌️
One day I will pack my clothes and travel to Tanzania just to meet this black angel 😇 🖤 ♥ ✨ Love u since u are in KondeGang and I will always support you. LOVE FROM BURUNDI 🇧🇮 ❤
Going there dec arrange we go Godwiling
Angella 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥✍️✍️✍️ Keep pushing you are a star 🌟
This lady is so much talented, Yes she is the next Jide.
Achana na nyimbo za dunia hazitokupeleka popote Muimbie Mungu atakulipa pia atakuponya na matatizo yako yote ya ki mwili na kiroho okowa kwanza maisha yako mpe yesu ndio cha msingi na uwe mwaminifu kwake una sauti nzuri bi blessing again
Anjela dadangu mm Kwa hii nyimbo Kwangu ni bora sana kulko zlopita hongera Mungu abariki kazi yako❤
We are blessed with Angella tones maashallah 🙏🙏🙏🙏🙏
Nice song dada kza buti
Great vocals..Good music..Good job Anjella.
Maashallah nice song keep on going anjela never give up🔥🔥🔥👍
Hii imeenda 🔥🔥🔥🔥nakukubal sna bi dada piga kazi maisha yasonge
Anjella my favorite. Ahsante Kwa nyimbo nzur 💪💪💪🥰🥰🥰🥰
Definition of Good music 🔥🎶❤️
my black queen is back with good sound...indeed youre talated
This is true life story, I can feel the emotions in your voice 👏
It's made of true story but ni kazi nzuri sana 🇰🇪🇰🇪
@@rizikisalim9829 she's going through konde kamfanya vibaya
Bonge moja la nyimbo
@@jacksonkasimba170 she's talented
@@rizikisalim9829 she's underrated
Kumbe uyu dada anajua kutunga ivi kweli armonaiz ilikuaje mpaka akamuacha mungu atakubariki usijali
Hongera Sana Harmonize bila wewe nisinge mjuwa Angel umepambana saaaana konde big up saaaana
Still, Anjella is a genius 👏 God blessing Anjella
Lyrics zipo vizuri kawasilisha hisia in real and ideal sense big sana "Enjo"
I was missed you anjjela😢😢, am happy to see you again ❤❤❤ keep it up, I feel this massage😢😢
Queen is Back
LOVE FROM BURUNDI 🇧🇮
Sema uyu dada anakipaji sana na Harmonize alifanikiwa kukiona kipaj chake.Ila sijui shetan gan amepita kat yao mbaka amewagombanisha.
Hakika mbele yakutunga huu mwimbo ulimuomba mungu maana huu wimbo unanguvu kubwa sana.
Melhor música de Anjella do ano. Moçambicanos vamos likes❤️✅🇲🇿🇲🇿
Je t'aime ❤️ tellement mon artistes. Team konde Gang depuis 🇨🇩
She Never disappoints
Big up sana dg anjelle 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉chukua maua yako Dada Angela ngoma kali sana"
Nice song hadi najipata naicheza kila wakati... 254 imeshika sana.