Always old is gold. Nasikitika sana nyimbo za sasa hivi ni mapenzi tu wala hamna onyo, karipio Wala fundisho lolote kwa vijana vitu vinavyosaidia ustawi wa jamii na ustawi wa taifa kwa ujumla katika hasa wimbi mmomonyoko wa maadili
Perfect combination of bass guitar, rithim and Soro guitar,saxaphone, drums and keyboard. This are the kinds of songs which made our youthful life meaningful. 2024 still enjoying
Maisha yalikuwa mazuri na wazazi wangu dada yangu kaka zangu lkn leo nimebaki peke yangu wote wametangulia mbele ya khaki nawamiss sana ninaposikiliza nyimbo hizi Mwenyezi Mungu awajalie pepo AMINA
I'm younger than you. I remember hearing this song when I was 1st or 2nd grade (standard as we call it, Tz) that would've been '86/87. Even then I (tender age) was attracted to our Music, thanks to RTD.
Ninakumbuka kipindi kile nilikua ninamchumbia mke wangu.Mara tukiwa pamoja tunasikiliza wimbo huu.Wimbo wenye mashairi ya kuvutia.Sitausahau maishani mwangu.
Nilikuwa kwanza ndiyo ninaanza kuielewa dunia na maisha yaliyomo wakati bana ba Maquiz walipokuwa wakifanya vitu kama hivi. Yanikumbusha mbali kabisa! Ah!
nafurahi kusikia wimbo wenye afya na ujumbe mzito.nilikuwa mdogo na nilibahatika kuiona maquis pale amana ilala.sasa naishi manchester.najikumbusha hazina kubwa tulioiacha afrika.asante vumbi na karibu manchester.richard minja.
Hao wa kufundishwa wako wapi?kizazi Cha Sasa hakiogopi,hakuna huyu ni mkubwa,hakijui mipaka yake,Kila jambo akwambia mambo ya zamani hayo .ndo ata utafutaji wao niwa shida hawana baraka za wazee
I was always late at school because of listening to this song (s) till midnight....*!!!!!!??????
Wimbo huu ulikuwa ukinikuna vibaya mno,na mpaka sasa.Nani anasikiliza wimbo huu mwaka huu wa 2021?
Always old is gold. Nasikitika sana nyimbo za sasa hivi ni mapenzi tu wala hamna onyo, karipio Wala fundisho lolote kwa vijana vitu vinavyosaidia ustawi wa jamii na ustawi wa taifa kwa ujumla katika hasa wimbi mmomonyoko wa maadili
Perfect combination of bass guitar, rithim and Soro guitar,saxaphone, drums and keyboard. This are the kinds of songs which made our youthful life meaningful. 2024 still enjoying
Maisha yalikuwa mazuri na wazazi wangu dada yangu kaka zangu lkn leo nimebaki peke yangu wote wametangulia mbele ya khaki nawamiss sana ninaposikiliza nyimbo hizi Mwenyezi Mungu awajalie pepo AMINA
Pole sanaa.
Polee mkongwe
Pole sana
Daaah nakumbuka mbali sana mpenz luta cha zaman, zahabu Wimborne mzr sana tupo pamoja 2024
Reminds me of my father RIP Thomas Kayembe Mutombo a.k.a Tomaa
Vyakula vya roho,ujumbe wa kweli kabisa.
Yan nime amka asubuh nikawa naisikia kichwani inaimba jaman izindoo nyimbo 223
Reminds of my late parents. While growing up in Kisumu Kenya
Daah umenikumbusha mbali sana wimbo huu
Mziki uliojengwa kwa mawe, haubadilika ni kama umeimbwa Leo asubuhi
Muziku wa hadhuhuri muziki taratibu in kbc radio taifa in kenya.very nice music
These golden oldies are just so authentic & real.I like this song especially how it transits from the begining to the end.Nice classic
It's 2023 and the songs makes a lot of sense,I love the song❤
These are the days when music was music
Ukweli utabaki kuwa ukweli bwana JOSEPH!
The music that went to school and graduated.
What can I say, back to my childhood.🤔
Ukitaka kusikia mziki hii bac njoo best point hotel kila ijumaa mpaka jpili karibu sana tupo ubungo dsm
orch marquis du Zaire rocked the airwaves in the 80s...
Mmmmh! Gani kama Maquiz! 👍
mpenzi luta is really soothing song
This takes me back to 1983, I was very young but could enjoy the music. ASANTE WAZEE!!
I'm younger than you. I remember hearing this song when I was 1st or 2nd grade (standard as we call it, Tz) that would've been '86/87. Even then I (tender age) was attracted to our Music, thanks to RTD.
Tupo panoja mm waziri yagala wa dar vingungut
What can I say, back to my childhood. Happy days at Usagara Mwanza.
I was soo young..nimelala nikamkumbuka mamaangu...nikajikita naimba mpeenzii rutaaa...nikaingia youtube...nikaikutaaa!!!OLD IS GOOD ASEEE!!!
Wimbo mzuri sana! Sauti, vyombo na ujumbe vyote vizuri.
Jambo!!! from Brighton UK!! good sounds. We were in Magagoni in early sixties - I remember the ferry ride and fish
Ranalo tibim
Wimbo huu kwa kweli umenipeleka mbali. Excellent tune would be the understatement of the year. Kudos Orchestre Marquis
Nakumbuka kwenye miaka ya 1980's
Safi sana 😂❤
Nguza Mbangu.Aisee combination ya Guitar na Saxo hatari sana.
HAUJACHUJA. HAUCHUJI HAUTACHUJA.
Yaaani hakika"ya kale ni dhahabu",nimemkumbuka patna wng Siri Mkongopele(Mkumba),hatari tupu.
Ni mekumbuka mbali Sana enzi za ikarusi Na ilala ya juwata
MUSIC WITH EVERLASTING TASTE
One of the best composition of our times.
Those days radio ikiwa ni radio ikiwa Kbc
Nyimbo hizi zinanikumbusha baba angu mdogo Faustine Ng'hwanale Magalo. Miaka ya 80
Perfect sax and drums.
Everblazin nostalgia
Good music lovely vocals and instruments well coordinated its just awesome...takes me to a trance
Ninakumbuka kipindi kile nilikua ninamchumbia mke wangu.Mara tukiwa pamoja tunasikiliza wimbo huu.Wimbo wenye mashairi ya kuvutia.Sitausahau maishani mwangu.
nyimbo hizi hunikumbusha mbali sana hapa kenya I love this music
Nouma sana
Wimbo murwa sana, utamu ni uleule hadi Leo 2019
❤
Nilikuwa kwanza ndiyo ninaanza kuielewa dunia na maisha yaliyomo wakati bana ba Maquiz walipokuwa wakifanya vitu kama hivi. Yanikumbusha mbali kabisa! Ah!
nafurahi kusikia wimbo wenye afya na ujumbe mzito.nilikuwa mdogo na nilibahatika kuiona maquis pale amana ilala.sasa naishi manchester.najikumbusha hazina kubwa tulioiacha afrika.asante vumbi na karibu manchester.richard minja.
maskini mie/ mamaa kwa kweli sina raha/ sasa umeipatapata hio mama lutaa eeh/ tizama sasa misha yako yamebadirika/
Ubishi wacko mpenzi wangu, ukwell umekuponza, hukutaka kusikia cha mme, sana yamekukuta.....
Wimbo burudani na Ujumbe mzuri kabisa, safi ile ile
Guitars are awesome!
Very nice vocals and arrangements
i love Nguza viking guitar
Inspiration for Marioo's hit, Raha
Aisee nilikuwa primary school kitambo sana enzi hizo Rais ni mwalimu nyerere
Heei long time ago salamu za ahudhuri VoK na Dada Jamila ndinda kasalu
My favourite, ikeep on repeating this song on and on,the tunes,sexophones , smart kabisa
Nawakubali maquis Sana Sana. From Kareeeeem ms
Best music ever
Kila jumamosi silent inn mwenge.. pale mlimani (udsm) kitabu usiku hakipandi...
good music listen to that lead vocal of the late Kyanga.
Nilisikia wakati baba yangu alinunua radio bahada ya kuuza ngombe. Nitamu kweli' Nashukuru you tupe
my all time favourite since in primary
Niseme mini Mimi ila kusikiza mambo mazuri tu
The mild controlled voices,sweet guitars,drums,and alto sax has never sounded better.Maquiz for u Na mistari kali
Old is Gold! Viva Marquis...The Legends continue to live...
Fantastic
Inakukumbusha nini....? Old is gold
Naupenda sana huu wimbo
nyimbo nzurr sana
Fantastico those were the days when music was music 🎵🎶🎶
Beautiful arrangement
Very nice song👍👍👍
Hiyo Bass guitar imefikichwa vilivyo c mchezo! Nimeipenda
Nakumbuka Ilonga TTC Mchepuo wa Sayansi Kilimo tukiwa na akina Mpangwa MamaSobai Mr Nyaupumbe na mtaalamu wa Sayansi Mr Firnandes Mpogolo
Je wadau kuna mtu anauza kunitajia.Safu Nzima ya Walioshoriki ktk Wimbo huo?
i love this song so so much
Kana mda hata watu wema wataisha kabisa maana hamna karipio malezi au mafundisho mema
Hao wa kufundishwa wako wapi?kizazi Cha Sasa hakiogopi,hakuna huyu ni mkubwa,hakijui mipaka yake,Kila jambo akwambia mambo ya zamani hayo .ndo ata utafutaji wao niwa shida hawana baraka za wazee
My favorite hit ever
Old is gold!!!!
LA BELLE MUSIQUE DU PASSE TOUS SON LE katangais
nakumbuka kipindi natoka kupigana vita vya kwaza vya Dunia.
Sweet nostalgia...
Ok luta back Ina msg nzuri😀😀😀
hizo guiters sijui ziko ngap kama ok jazz hongera maquiz du zaire
Nimekumbuka Enzi za sixties raha sana miziki kama hii ilikuwa nzuri sana
Enzi izo tupo vijana daaa
Perfectly done
mpenzi Rutha nasikitika Sherie
ZEMBWELA......
Old is gold
maquize due zaire legendary band ilunga toto brother to kasongo shinga
🔥🔥🔥
It has a lot of realities of real life
hii nyimbo safi sana vumbi thanx
Pure gold
Ever green!
Nani yupo 2025, tujuane kwenye hizi raha
dunia ya leo Luta nenda pole ple
Nakumbuka enzi ya white house
Inanikumbusha wakati huo mwaka 1983 nikiwa mdogo saana darasa la kwanza
Hatari sana
Message is clear
hapo ndo namkumbuka banza mchafu
Huyu guitarist Mzee Mutombo aliendaga wapi?
hoyaa!!!
aah..utamu ulioje
very nice song
Safi sana