Assalam alaykum warahmatulah wabarakatu akhy Shukrani sana kwa ukumbusho huu kutoka kwa simba wa MIMBARI, nakuomba utuwekee na mada isemayo maovu ya macho na ulimwengu wa maiti pamoja na ubaya wa kusengenya kutoka kwa Sheikh wetu huyu ili izidi kua swadaqa tul jaaria kwetu sisi
Assalam alaykum warahmatulah wabarakatu akhy
Shukrani sana kwa ukumbusho huu kutoka kwa simba wa MIMBARI, nakuomba utuwekee na mada isemayo maovu ya macho na ulimwengu wa maiti pamoja na ubaya wa kusengenya kutoka kwa Sheikh wetu huyu ili izidi kua swadaqa tul jaaria kwetu sisi
Allah amrehemu shekhe
Mungu akupe janati mema shekhe wetu akulipe mema yalo mema inshaallah shekhe wetu bachu
Ewe ALLAH Tupe mwisho mwema
Alla s,a akurehemu
Mashaallah Allah akusamehe makosayako akufanyie Firdausi iwe makaaziyako
Amiin