Mnalazimisha jaman kwann kuna watu wamelelewa bila wazazi kuwa pamoja kwani hawaajakua? Sasa Aslay ana mkewe mtamfosi vp na Tessy alishasema hawezi kurudiana na Aslay mnajua kapitia nn magumu aah X harudiwi maradhi mnayatafuta kilazima😂
Uzuri waka mademu wa baba moza sio madrama. Angekuwa na demu mwajuma ndala ndefu leo Instagram ingechafuka kwa vichambo. Au kama kale kajanamke ka barnaba kaswahili hakooo
JAMANI TESSY NA ASLEY MMEPENDEZEANA SANA JAMANI MRUDIANE MLEE MTOTO WENU ASILELEWE NA BABA MWINGINE AU MAMA MWINGINE RUDIANENI JAMANI.
Mnalazimisha jaman kwann kuna watu wamelelewa bila wazazi kuwa pamoja kwani hawaajakua? Sasa Aslay ana mkewe mtamfosi vp na Tessy alishasema hawezi kurudiana na Aslay mnajua kapitia nn magumu aah X harudiwi maradhi mnayatafuta kilazima😂
Wameshaaa rudiyana kitaaambo hawooo😂😂😂
Tessy kawa mtamu bala ❤️ achana na alivyokuwa mwanzo naminyama uzembe
Tessy rudi kama fayma usiachie mtu baba mtoto wako😊
Mashallaha asly sisi wa Mombasa tunnakupenda sanaaaa❤❤❤
Kabisa mamaah kjana wetu uyu
Huyu dada anajielewa ❤
Sana tena hana maskendol
Nimefurahi sana Aslay kuludi ktk gem❤❤❤👍👍👍👍
Wewe unajua tena una jua tena ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mrudie mama mtt wakooo🎉🎉🎉🎉 Moçambique
Imefanya kurudi kwa family pia afya imerudi wote amani tele
Mama mzazi alimwambia usimwache huyo mama mtt
Waaah,tessy vipi tena😂😂😂😂😂
From 🇧🇮mashaallah
Asley ww ni kipenz wetu kaka vovotw vile mm km.mm.npo na ww
MASHALLHA ASLY UMEJINENEPEA TU WW ❤❤❤❤
Aslay eu sou teu grande fã irmão saiba disso sou Moçambicano 🇲🇿🇲🇿
TESSY RUDI KWA MME WAKO HAO WENGINE WANAKUDANGANYA TUU.
Huyu Tessy ni pasua kichwa, Aslay usikubali kutoka mstarini songa mbele.
Aslay umerudi tena kwe kweli ya moto band ilikuwa imevuma sana rudini tena
Nikweli
Body language aslay alisha move on
Wow tessy ❤❤❤
Sana kupiga live
Warudiane wanapendazan 🎉🎉💖
Mumeona reaction ya a slay nikama Anjali Ali move on
Haijalishi kama ajali au la wanajuwana wenyewe bwana 😂😂😂
Hakufanya poa hata hug pia
family
I love aslay for free
Uyu tessy aliona anazeeka kajipunguza ivo had nauzur kapungua
Bongo nyoso unaweza ukaona wamependeza full photo shoot kumbe njaa hatari
@@JaymbwanziOg ahahahahahahahaha tutasema oooo kajishep kumbe usawa umekaba tu
Wivu mtupu...She's so beautiful 😍
@@joycekisamo4896 Kwan Nan kasema mmbaya au useme ukweli tu wakat ana ule mwili ndo alikua mzuri sio saiv ka mrija
Wazazi❤❤❤
Inapendeza
Huu sasa ndio mziki
Sijui nibaki kibonge mbona tessy kakonda na uzur umeisha kamebak kama kamende 😂😂 tessy na wema wembamba umewakataa😅 mbona nachoka niwe mnene au mwembamba mbona sielew sasa
That girl is so beautiful 😍...avja makasiriko na kuhalalisha ugliness 😮
Love
Uzuri waka mademu wa baba moza sio madrama. Angekuwa na demu mwajuma ndala ndefu leo Instagram ingechafuka kwa vichambo. Au kama kale kajanamke ka barnaba kaswahili hakooo
harafu kabayaaaaa😂😂😂😂 macho kama mjusi kabanwa mlango 😂😂😂😅😅😅
❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
RUDIANENI COUPLE YENU NI KALI SANA KAMA NANDY NA BILLNASS
👍🏼👌❤
Warudiane
Nimepeleka mbele weee na tessy sijamuona 😂😂
Uwezo halisi wa kuimba na band huo kawasikilize wale wanaoimba kule kwenye shoo zao sasa ushuzi mtupu
live band ina watu wakeee kuna Aslay, Barnaba,Alikiba Harmonize wengne wachache sanaaa
Tulia matako ww usilazimishe unavyopenda na cc tupende uku tunapita pita tu nchi hii Simba ndo kiboko yao hawa wooote ng'ombe tu
@@rabsontryphon9254 kiboko wa kuimba live band au kiboko wa kuimba playback
Kuna muziki mwingine hata kama una kuka chakula kita shuka kwa amani tu⏲️🎼🎶
Wengine wanaleta majeneza, wanajenga shule na magereza juu ya majukwaa eti ni ubunifu, washenzi sana
Warudiane tu ndo tinataka
Kamekonda kamebaki mifupa tu.
Warudinane Dada kasha acha utoto
Nauliza kiingilio ilikua bure au.pesa
😂
Bure iko ni baharini 😂😂😂
watu wametoa hela za kutosha hapo ingia kwny akaunt yake IG af angalia viingilio vlikuwa sh ngap
Pesa ndugu mamilioni
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤