Pole sana zablon. Nata nikueleze kitu. Unatakiwa uacha kuwa musabato ili uwe mu christo. Utafute ufungulivu kiroho katika christo YESU na utaongozwa na roho mtakatifu. Kwani kingo la kweli ni yesu pekee. Na akikufungua utakuwa mushindi Juu ya kila nguvu za giza na manbo yako hayata haribika tena. Mutafute mchungaji Moïse Magembe, atakuongoza kiroho
Zabroni umepitia maisha magumu jamani 🙆♂️ lakini usiwe unachanganya Mungu na waganga, i guess waganga na wanawake ndio wanaokuongezea matatizo, may God see you through 🇰🇪 🇰🇪
Machozi yanatoka stori inasikitisha saana 2018 mwanzoni Pole sana zabron kila hatua mitihani gamboshi mtihani kwenye uandishi wa vitabu mitihani ya kudhulumiwa kwenye kupata fedha za manunuzi ya vitabu dogo wako kakutapeli pesa zote dah usikate tamaa keep it up
Tafadhali okoka zablon,Yesu atakuweka huru kabisaa hata hizo dawa halpedro ama arosto hautatumia pole pole utasahau,tafuta kanisa la kiroho hayo mapepo yatolewe kupitia maombi,tafuta watumishi wa mungu wazuri uwe karibu nao utapona kabisaa,Geukia mungu
Utam hapo habibi. Hivi ukoduniani umeyasoma mengi. Ila utafute siku ukose misosi kias cha siku 3.umtafute mungu ili ayarekebishe maisha yako. Tena usikose sadaka ya kwenda nayo mbele ya mchungaji. Kwa ajili ya maisha yako. Emen habibi. Natumaini unanielewa ninacho ongea.
We acha uongo..zabroni tangia bibi yke amroge apo mikosi ikaanza..baba ake mzazi ni uyu uyu Bali nuks na madawa ndo yanawatofautisha..zabroni amludie Mungu na akafunge milango yote ya shetani sasa mtu amekaa mpaka na jini na kula vyakula vyao anajua alikua analishwa nn?unakulaje chakula cha jini??wkt jini mwenyewe akiwa ktk umbile lake la kawaida uwezi muangalia. Jiulize kwann wanachukua sura za wanadamu kwann wasije na uhalisia wao??jini ni nyokaa jini yyte yule jua umbo halisi ni nyoka..ujaona ile story ya yule mama anae ingiwa na jini?mda mwingine anakua mtu saingine anakua nyoka anamuingia sehemu za siri...yule kaka alie kua ananyonywa sehemu za siri na nyoka anatapika ela we unazani yule nyoka ni nani?ndo majini aho
Jaman jaman Zabron,kubali ukaombewe tu Kuna wachungaji Mungu anawatumia Wana nguvu za Mungu,hata Kama ulishajaribu kuombewa ukawa Bado hujapata matokeo,endelea si unajua vifungo vyako ni vizito? Mbona ustadhi yéyé umemngangania n'a n'a wakat matatizo Yako hayaishi? Ngangania Basi hâta kwa Mungu
Hata mimi niliopitia maisha. Lakini mungu aliniokoa kwa maombi. Wewe ulibadilishwa asili mimi nilikuufa masaa kadha. Lakini watu wakwetu waliokoka. Kwa Imani naishi hata Leo. Ushaur mpende mungu kiundani zaid
Aiseee Zabron babako katili sana yani, ila Allah atakuezesha In Sha Allah. Kwa kweli wazee wengine huwa hawaangalii kama kesho mtoto anaemkataa atakuja mpa msaada badae
Pole sana mpenzi umepitia magumu ingekua mm aisee ninge jitupa hata baharini nifie mbali niliwe nasamaki samaki waje wavuliee na huyo babako kumbe wanasumu yangu watu wote hapo kwenu wafe kabisa potelea mbali 😭😭😭😭😭pole sana my wetu
Pole sana maana uliyopitia asilimia kubwa chanzo ni huyo baba yko mikosi balaa zote yy kingine mm yko mwenyewe kma hna uchungu na wewe Uchungu wa mtoto ajuae mama
Loo ! Pole sana kakaangu...😱😨 umepitia mengi sana ¡ lkn usijali MUNGU ! Yuko ata kulipa mazuri tuu¡ na Watoto wako wata kuja kukufaa..usijali..kakaangu
Acha tuu ata dawa naisi waganga na mashetani ndo wanampa uko hospital ila kwa macho ya kawaida anaona ni doctor..so kvp dawa zimfanye kama teja?uyu kaka amludie Mungu tuu
Tatizo aliavyojiusisha na waganga wa kienyeji...utajiri wa waganga mwisho wake ni mbaya sana.uyu anatatizo la spiritual.kwa macho yakawaida utasema ugonjwa wa akili.tatizo ni whicraft..waganga wakienyeji wakala wa shetanj.na shetani akupi vitu bure...naongea ivi yalishanikuta
Kama mganga alikwambia usiende kwenu NA ulisema alikuekea zindiko la mwili. Kwa nini akwambie usiende. Ee habibi mrudie mungu kiundani Sana sio jujuu. Kias chasku ukipata matizo ukajichanganya. Mungu hachanganywi ujue.
Pole kwa majanga kaka.Haloperidol ni dawa za magonjwa ya kiakiri kama schizophrenia,bipolar disorder,schizoaffective,major depressive disorder.Sasa ww kama ulikunywa hizo dawa ukapata nafuuu.auoni kama unamataizo ya kisaikolojia zaidi kuliko uchawi.Ukiangalia dalili zako suicidal,unaweza kuwa delusional au ata unahallucinate.Bora umtafute psychiatrist akutibie jeshi.Na hayo madawa mengine uliotumia miaka 2 yanaitwaje?
Wewe pia unashidaa ndomana bi mkubwaa alikuziraa haji huko sasa mkate ndoumubebe panga 😢😢😢😢😢😢😢duuuu mikosi juu yamikosi umetoka hospital tena unaregeshwaa
pole Kwa matatizo Mungu Yuko pamoja na ww
Pole sana zablon.
Nata nikueleze kitu. Unatakiwa uacha kuwa musabato ili uwe mu christo. Utafute ufungulivu kiroho katika christo YESU na utaongozwa na roho mtakatifu.
Kwani kingo la kweli ni yesu pekee. Na akikufungua utakuwa mushindi Juu ya kila nguvu za giza na manbo yako hayata haribika tena. Mutafute mchungaji Moïse Magembe, atakuongoza kiroho
Zabron kweli Allah akuhifadhi.yani una roho nzuri.ao wazazi wako wana roho ngumu
Baba Mdogo pamoja na mapungufu yake, alikuwa na roho nzuri ya kusaidia. Sio sawa na baba ako mzazi.
Zabroni umepitia maisha magumu jamani 🙆♂️ lakini usiwe unachanganya Mungu na waganga, i guess waganga na wanawake ndio wanaokuongezea matatizo, may God see you through 🇰🇪 🇰🇪
Kabisa
Anagiri Msabato anamjua Mungu lakini a anaza, usherati, uchokozi na kujanganya na uganga 🇰🇪.
@@Snr.Prefect.sasa Kip
Machozi yanatoka stori inasikitisha saana 2018 mwanzoni Pole sana zabron kila hatua mitihani gamboshi mtihani kwenye uandishi wa vitabu mitihani ya kudhulumiwa kwenye kupata fedha za manunuzi ya vitabu dogo wako kakutapeli pesa zote dah usikate tamaa keep it up
Pole sana Zabron umepitia mapito ya kutisha Sana
Pole sana kaka mungu yupo atakusaidia na atakuponya na akuinue tena ..
Aki babako mnyama, afadhari nyani kuliko huyo unaemwita baba
Pole. na bado twakupenda Sana tena sana
Pole kaka Zablon una historia kweli umepitia makubwa , Mungu akunusuru
Pole Sana, zaburon, huzuni two
Sanaa
Pole sana !
Duh!pole sana zabaron ila ww ni msabato jaribu kumtafuta pr mbaga anawez kukusaidia kikubwa ni kuwa na Iman
Tafadhali okoka zablon,Yesu atakuweka huru kabisaa hata hizo dawa halpedro ama arosto hautatumia pole pole utasahau,tafuta kanisa la kiroho hayo mapepo yatolewe kupitia maombi,tafuta watumishi wa mungu wazuri uwe karibu nao utapona kabisaa,Geukia mungu
Shikilia mungu akili unayo utaenda mbali ,good luck brother
Pole sana zabron mungu atafanya wepesi ishallha kheri
Yani huyo babako simpendi kabisa hata sijui Kama moyo wako una nafasi ya ku.msamehe
Pole Sana bloo
Masikini Zabron wetu pole kwa matatizo, Mama nae kasema kakuchoka 😭😭🤔, Nahisi yule mganga aliekuchanja kichwani aliongezea ukichaa na dawa za puani.
Ndo.ujue waganga sio ata ostaz sio kbs wote ni wachawi..ndo mana tunatakiwa tuwakwepe waganga
Pole sn Zabron, maisha ni safari Mwenyezi MUNGU atakufanikisha.
@@mbarikiwambarikiwa3988 Amina
@@seasonepisode3328 mganga ni mmoja tu Mungu alie,Mungu Eilia,Ayubu nk
@@mbarikiwambarikiwa3988 amina rabbi allaa amin
Pole yaani mwanzo nilikuwa nafurahi na kusikitika kidogo lkn ss ni huzuni tu wasamehe wote uanze na maisha mapya achana na ndugu simama na Mungu tu
Chozi latoka
Utam hapo habibi. Hivi ukoduniani umeyasoma mengi. Ila utafute siku ukose misosi kias cha siku 3.umtafute mungu ili ayarekebishe maisha yako. Tena usikose sadaka ya kwenda nayo mbele ya mchungaji. Kwa ajili ya maisha yako. Emen habibi. Natumaini unanielewa ninacho ongea.
Zabron, tambua kuwa "Asiye na baba kwa mama yake hana Mungu kwa baba yake". Hakikisha mama yako anakuonesha baba yako halisi. Utapona mikosi yote.
In shaallah
We acha uongo..zabroni tangia bibi yke amroge apo mikosi ikaanza..baba ake mzazi ni uyu uyu Bali nuks na madawa ndo yanawatofautisha..zabroni amludie Mungu na akafunge milango yote ya shetani sasa mtu amekaa mpaka na jini na kula vyakula vyao anajua alikua analishwa nn?unakulaje chakula cha jini??wkt jini mwenyewe akiwa ktk umbile lake la kawaida uwezi muangalia. Jiulize kwann wanachukua sura za wanadamu kwann wasije na uhalisia wao??jini ni nyokaa jini yyte yule jua umbo halisi ni nyoka..ujaona ile story ya yule mama anae ingiwa na jini?mda mwingine anakua mtu saingine anakua nyoka anamuingia sehemu za siri...yule kaka alie kua ananyonywa sehemu za siri na nyoka anatapika ela we unazani yule nyoka ni nani?ndo majini aho
Ila we jamaa umeongea kitu cha msingi sana ni kweli kabisa asee
Eunice bado we mdogo ushauri wa kaka mkubwa ndio wenye uhalisia bana.. hata kwetu hii inatokea
instablaster.
Duuh.. ct scan milion. Walikuvuna si mchezo asee... pole sana mzee baba..
Pole sana
Mmh.allah akuongoze
Daaaah pole sana Zabron
Zabron nimekusikiliza sana ila yote kwa yote huna ndugu,hapo huna baba wala mama
Anao ila kosa la zabroni mwenyewe maana yy ndie anae amini waganga kwaiyo mshahara wa zambi ni mauti..zabroni amludie Mungu na ndugu zke watampenda
Jaman jaman Zabron,kubali ukaombewe tu Kuna wachungaji Mungu anawatumia Wana nguvu za Mungu,hata Kama ulishajaribu kuombewa ukawa Bado hujapata matokeo,endelea si unajua vifungo vyako ni vizito? Mbona ustadhi yéyé umemngangania n'a n'a wakat matatizo Yako hayaishi? Ngangania Basi hâta kwa Mungu
Pole sn bro chif
Hata mimi niliopitia maisha. Lakini mungu aliniokoa kwa maombi. Wewe ulibadilishwa asili mimi nilikuufa masaa kadha. Lakini watu wakwetu waliokoka. Kwa Imani naishi hata Leo. Ushaur mpende mungu kiundani zaid
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
Aiseee Zabron babako katili sana yani, ila Allah atakuezesha In Sha Allah. Kwa kweli wazee wengine huwa hawaangalii kama kesho mtoto anaemkataa atakuja mpa msaada badae
Pole sana mpenzi umepitia magumu ingekua mm aisee ninge jitupa hata baharini nifie mbali niliwe nasamaki samaki waje wavuliee na huyo babako kumbe wanasumu yangu watu wote hapo kwenu wafe kabisa potelea mbali 😭😭😭😭😭pole sana my wetu
Chozi latoka
Pole sana🥵😰😥
Pole sana zabroni umepitia mengi lakini alla bado anakuhifadhi
100%
Kabisaa yani
Aiseee kumbe ulimfanyia mzee kila kitu sai anakuja kufanyia mmbo hayo noma sana
Amepitia maisha magumu sna
Full mitihani
Kam kuna mtu kaona mdada mwenye mzigo anipe like
Pole aisee but be blessed 🙌 brother chief gikalo zabron bro misos bas nimekupenda tu 😢😢😢
Nakuonea huruma daah😩God am so greatful🙏
Chozi linatoka
Pole sana zabroni aesee hakika mitian tumeumbiwa wanadam 😭😭😭
Duu pole sana kaka Zabron
Pole sana maana uliyopitia asilimia kubwa chanzo ni huyo baba yko mikosi balaa zote yy kingine mm yko mwenyewe kma hna uchungu na wewe
Uchungu wa mtoto ajuae mama
Kumbe ulikuwa huku kwetu kabisa kitunda madawa aisee pole kwka
Aisee... Yani huyu zablon kateseka sana hadi mimi natokwa na machozi😭😭Allah anakupenda sana
Sana. Wote tunalia😭😭😭😭. Mateso kila siku
Pole sana kaka
Pole sana zablon
Mapema mapema, Masha Allah 💃
Kabla ya uxingizi💃💃❤❤❤❤❤
@@ayshamahariq6665 💃
Hongera
@@pilimusa7770 shkuran chidada changu 💖💖
Yaani pole Sana zabron yaani kila mapitio yako ni makali mno Yehova akupe upendeleo kwa yote uliyopitia inahuzunisha Sana
Loo ! Pole sana kakaangu...😱😨 umepitia mengi sana ¡ lkn usijali MUNGU ! Yuko ata kulipa mazuri tuu¡ na Watoto wako wata kuja kukufaa..usijali..kakaangu
Zabron mrudie Mungu!!!!!
Acha tuu ata dawa naisi waganga na mashetani ndo wanampa uko hospital ila kwa macho ya kawaida anaona ni doctor..so kvp dawa zimfanye kama teja?uyu kaka amludie Mungu tuu
Tatizo aliavyojiusisha na waganga wa kienyeji...utajiri wa waganga mwisho wake ni mbaya sana.uyu anatatizo la spiritual.kwa macho yakawaida utasema ugonjwa wa akili.tatizo ni whicraft..waganga wakienyeji wakala wa shetanj.na shetani akupi vitu bure...naongea ivi yalishanikuta
@@Mazoea umeonaaaa yani asipo mtafuta Mungu mateso ni palepale.
@@seasonepisode3328 👏🏿👏🏿👏🏿
@@Mazoea halafu hadi gamboshi alishafika anajua mbinu zao ya nini anahangaika na waganga tena jamaniiii duh!
Kama mganga alikwambia usiende kwenu NA ulisema alikuekea zindiko la mwili. Kwa nini akwambie usiende. Ee habibi mrudie mungu kiundani Sana sio jujuu. Kias chasku ukipata matizo ukajichanganya. Mungu hachanganywi ujue.
Dope
👂👂👂👀Vichaa aina tofauti kuna Chenga,Wehu,Machizi,Ubaridi,Vumbi,Mento,Chakalamu,Sakala😲👀👂😋😷
Ndugu du noma pole sana
Pole kwa Mikasa yote hyo mungu atakupigania
Nimefatilia lkn nikwambie kaka yesu ndio kimbilio lako atakuokoa jisalimilishe kwake mazima atabadilisha maisha yako..
allah atakuafu sem penda din penda kusali san hujasimulia humu kuus ibad kk
Pole Sana kaka zabron .c. mwita
shristina nitafute basi
Chozi latoka
sai usiamini mganga mrudie yesu
Kalian orang mana??
Ushirikina uwa amuachi mtu salama ataivyo amshukuru Mungu aujamtoa roho shetani alikua kazini...zabron mrudie Mungu tu sasaivi
Kweli broo wewe umesotaa hata sijawahi kwanza kwako broo . Pole sana .
Du pole sana zabroni yani naona tokea mdogo nimateso adi ukubwa
Eeeeh Mungu baba
Pole kwa majanga kaka.Haloperidol ni dawa za magonjwa ya kiakiri kama schizophrenia,bipolar disorder,schizoaffective,major depressive disorder.Sasa ww kama ulikunywa hizo dawa ukapata nafuuu.auoni kama unamataizo ya kisaikolojia zaidi kuliko uchawi.Ukiangalia dalili zako suicidal,unaweza kuwa delusional au ata unahallucinate.Bora umtafute psychiatrist akutibie jeshi.Na hayo madawa mengine uliotumia miaka 2 yanaitwaje?
Alhamdulillah w kwanza 💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Ongera yako sana
Hongera kidogo changu.
Njooo 57 uwanjaniii😍😍😍😍
@@fatmaalrshdii7615 ❤❤❤❤❤❤❤❤
@@pilimusa7770 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pamoja
Kwahio nyumba ulokajenga uliiuza au
Alisha uza kila kitu ndio maana alikuwa hana pa kukaaa
Hakika wew nimpambnaji zabron MUNGU azidi kusimama nawe mkuu
UBARIKIWE DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA
Maskini Hao niwazazi hawatakiwi kukuchoka jamanii 😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole so sorry chief jikaro
Zabroni mludie Mungu kaka waganga wanakupoteza tuu aiseee sijawah ona kaka ulie pitia mazito kama ww alafu bado ujamludia Mungu 😥😥😥😥😥😥😥naumiaa. Unamwamini shetani wkt ndo yy anakupitisha ktk misuko suko
Tuned oooh
Yani hata mama naye ana kusalit sio bure cha msingi naomba u muombe mungu kwa hio mitihani
Pole kaka zab, ila davi toa hio mziki in the next episode
😂😂😂😂😂
Sad😪😢😭🌺🙄
Wewe pia unashidaa ndomana bi mkubwaa alikuziraa haji huko sasa mkate ndoumubebe panga 😢😢😢😢😢😢😢duuuu mikosi juu yamikosi umetoka hospital tena unaregeshwaa
Hatari sana
Davister kunywa soda saiz nitalipa....yaan saiz unatushushia mzigo mapema sana. Ahsante kwa kutusikiliza
Mzee kakupa hela na kukufkuza na kukusemea juu balaa sana
Daaa anatia uruma kweli zabron from milioni 60 nyumba na magari to zero ndio ujue waganga wa kienyeji sio watu wazuri
Kabisaa yani
Masikini pole sana kaka angu umepitia makubwa nanimazito
Sanaaa.😭😭😭😭😭
@@pilimusa7770 nyamaza zabron katuaga kenda zake hakuna tena kusubiri tulijua tunamaliza nae mwaka
@@kawtharsaleh9229 kweli kabisa. Ila tutamiss😭😭😭. Mungu amuondoshee mitihani
@@pilimusa7770 pili lala
Safi
Pole sana kaka mitihan mingi umepitia😢
Chozi latoka
🔥
Mamaaa uko na huku
Daaah bora niende kwenye disco LA vichaaa
Kutoka kuwa tajiri mpaka kuwa chizi. Aisee ni hatari!
Zabron mtafute mchungaji wa Mungu aliye na nguvu za Mungu uachane na waganga ukifunguliwa hakika utakuwa vizr hadi huruma jmn
Kwahio kun wat wananguv zamung? Hahaha
Umepata misuko misuko mengi sana polee
Pole kwa yote kaka yngu mpenzi 😥🇪🇭🇪🇭💕
Machozi yanatoka
Yani inasikitisha mnoo 😭😭😭😭😭
@@fadhiliswalehe9286 ya skitsha😢😢😢😢😢
@@pilimusa7770 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Hivi tunavyoongea bado unachanganyikiwa?😳eee🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hahahaha nimecheka kwa nguvu
@@shizaarfred4059 usicheke kwa nguvu.
Zabron umeapia mengi sana 😢 pole
Somoe pili Aisha Amina Aiyam Fatma sapna suleiman Malima Nguwalo mimi wetu shem lngu Eric Hamis Fm morn blessed cute emmy na wengineo njooon Leo mapema mapema 💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭💕💕
Nimefika pamoja sana mziwanda wangu
Vp somo yngu nae❤❤❤❤❤❤❤
@@ayshamahariq6665 nashukuru yu mzima wa afya njema Kaniambia kuwa anafanya mitiani ya kufungia shule
Eti somo 😂🤣🤣😂
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona 🤝🤝❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duuuu mitihani kweli
Ila unajua kujishughulisha kaka hata huangalii kama uliwahi kushika milions lakini unaanza mmoja. Kama. Mungu aishivyo akupe raha mpaka uzee wako
Nyumba yako je uliojenga Dar iliishia wapi?
Pore sana kaka jamani pore sana
Dawa hizo hadi ule ushibe na upate chakula kizuri bila hivyo zinakudondosha na unadhoofu