Jinsi ya kupika rosti la dagaa, nyanya chungu, bamia na viazi mviringo lenye nazi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Mahitaji:-
Dagaa
Bamia
Nyanya chungu
Carrot
Hoho
Kitunguu swaumu
Tangawizi
Limao/Ndimu/Vinegar
Chumvi
Garam masala
Manjano
Maji
Nazi
Pilipili mbuzi
#dagaa #mapishi
dagaa, mapishi ya dagaa, rosti la dagaa, bamia na nyanya chungu, dagaa la nazi, jinsi ya kupika dagaa