Imepatikana Picha Halisi Mwanamke Anayehusishwa na Utekaji wa Abdul Nondo Alikuwa Abiria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @salyali7807
    @salyali7807 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole mwanangu Abdul ... namuomba Allah akuhifadhi ... Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @AliJussa
    @AliJussa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😅😅 unatekwa mara mbili halafu hawakuumizi hata kdg,, 😅 watekaji hao itakuwa wa mapenzi 😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Apimwe mkojo

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Inamaana hao walio muona huyo sister ulikuwa nae hawakuweza kumuona mtekaji au ndo waliombea upotee ila ndo bahati mbaya uko hai maana haiwezekan mtu aseme alikuona ukiondoka na mwnamke ila haekuona ukitekwa hakika hii nchi yetu hata laia ni mashetan tu

    • @jaydenbedas5729
      @jaydenbedas5729 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanaona mademu tu Kama nyumba za kupanga ukipigiwa panga au kuibiwa hawaon

  • @eliezergama4785
    @eliezergama4785 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    mbona hasemi sababu ya kutekwa?

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Duh kwani wewe hujui kazi ya nondo😢😢😢😢???

  • @AliJussa
    @AliJussa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sababu ya kutekwa anasema kaambiwa ana mdomo sanaa, binafsi mm nimemjua kwa hii issue ya utekwaji tu

  • @EliasKasomi-db4io
    @EliasKasomi-db4io 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mujibu wa Sheria na miaka miwili hapo

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alikua Chambo

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nchi ya kunyamaza bora kua kama kunguru

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    unajitekeasha

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Jiteke na wewe

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@annafredinandmatandiko8438 koo za watekaji wanafurahia sana uharamia huo kuendelea, ipo siku hata wao watalia kwa kazi zao wenyewe

  • @ziddyziddy2524
    @ziddyziddy2524 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kwa hiyo kila siku utelekezwe tuu duh 😅😅😅😅

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kwahiyo ulitaka auliwe? Nyoko kweli ww

    • @PromiseSimkwai
      @PromiseSimkwai 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ww una matatizo ya kiakili ko ulitaka auliwe ndo ufurahi?unamaanisha nondo hakutekwa?na utitiri wa sumu iliyopatikana mwilini mwake kwa mujibu wa madaktari bingwa ni uhuni?uwe na utu

  • @nicasissa
    @nicasissa 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Unatumia mda mwingi kujiongea mambo yale yale, hata hujui kutumia mda

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini!! Yakukute hayo!? Ila JKT sasa apo

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    unajitekenya

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mizimu ya Kigoma iko kwa huyu mwamba hawawezi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hili c lilijitekaga likakutwa iringa kwa hawara?

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      C alikuwa hawala wa mama ako au umemsahau we mbwa

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nchi ya hovyoo sana yaani raia anaonewa ananusurika kuuwawa na hakuna fidia ye yote yaani hii nchi ni sawa na jahanam.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Haituhusu huna jipya,kwa hiyo 2fanyaje?

    • @NadyaSamson
      @NadyaSamson 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kichaa anachekesha kama hatoki kwenye familia yako

  • @JabirJabir-r5g
    @JabirJabir-r5g 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkikaa na wasenge wezenu huko mliko kila siku mawazo yenu cuf ni chama cha warabu.

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We mbwa unaongea nn sasa

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Be careful my bro Hawa niwakoloni weusi ukiongea Sana watakunyemelea kukumaliza uhai ni Bora kuliko siasa

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nondo anataka viwers hakuna kingine hata snaemhoji wanafanya biashara ikifungua anapata hela

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vwendio mtekaji nyambavu

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mm nimeona hivyo maana maelezo hayajitoshelezi​@@EmmanuelMlowe-u1v

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unafiki !chama tawala kinawatumia nyie wapinzan kama chombo cha kuwatumikia hamna umoja lipmba kule,zto kule lsu mbowe kule lema mchaga kle Kanda ya kaskazn ili chadema iaminike lisu achukue heche achukue ili tujue chama si cha kikabila caf iwe na wakrsto weng tjue caf si uarabun eict wakrsto kbao , ssm imewazd sana kabla zote dn zote haina ukanda

    • @salyali7807
      @salyali7807 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nenda Chadema kwenye malumbano

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Muongo sana huyu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nani akuteke weye? Ulikitekaaa??

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Akuteke nani bwana mdogo kwa nini na unakitu gani mpaka wakuteke Abduli wewe mwenyewe hapo saa nyingine hapo hata kula hujakula we kijana uongo umeuweka mbele kwa kutanuwa mdomo kama kinda la ndenge

    • @AsifiweJackson-q1b
      @AsifiweJackson-q1b 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wewe unaedhihaki kilimo Cha mwenzako Endelea hivyohivyo siku Moja utaelewa anacholili huyu wakati huo Wewe ukilia mala Kumi yake

    • @AsifiweJackson-q1b
      @AsifiweJackson-q1b 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kilio sio kilimo

    • @ELIAMbise-sy5ue
      @ELIAMbise-sy5ue 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huoni ata tupo na gongo aise?

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hili lilijitekaga likakutwaga iringa kwa hawara,linapenda sifa.Ulijitekagaaa ili upate umaarufu

  • @benitokhanbenito7069
    @benitokhanbenito7069 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwa maelezo yako tu wewe ni muongo

    • @JuliusTanzania
      @JuliusTanzania 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu dogo ni MUONGO sana

    • @salyali7807
      @salyali7807 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mumo wengi humu kwenye mitandaoni ...

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwa kipi utekwe??? Chaa peleka kaujinga huko

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amna kitu wewe