ONE ON ONE PART 2 NA OMARY KATANGA AELEZEA JINSI KITENGE ALIVYOMSAIDIA KUWA MTANGAZAJI WA MICHEZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 10

  • @alfaaldo7276
    @alfaaldo7276 ปีที่แล้ว

    Pamoja na Bahati Alex

  • @alfaaldo7276
    @alfaaldo7276 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa Redio Ebon FM.....we mic you

  • @gulamkabuga61
    @gulamkabuga61 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sehemu msikae tena sio pazuri makelele kibao

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 ปีที่แล้ว

    Hivi lijaume zima linaitwa kitenge🤣🤣

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 ปีที่แล้ว

    Exclusive interview kubwa na kelele haipendezi we mjaluo acha ushamba

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 ปีที่แล้ว +1

    Wewe YANGA acha kuzuga

    • @mwajumarashid2231
      @mwajumarashid2231 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo kuwa yanga ni kosa

    • @gordiansoko9113
      @gordiansoko9113 ปีที่แล้ว

      @@mwajumarashid2231 kuwa Yanga siyo kosa lakini kwanini ajifiche kwenye kimvuli cha timu Kama hiyo aliyoitaja ya Mecco Mbeya ambayo ilishafutika katika ramani ya soka toka miaka ya 80 sidhani hata wewe Kama unaifahamu hiyo timu.Huyu Katanga pamoja na mwenzie Kitenge tunawahamu toka wako Radio One kuwa ni mashabiki wa Yanga Kama unaipenda timu kuwa muwazi tu hata Kama utatangaza kwa ushabiki hiyo ni juu yako na mapenzi yako kwa timu.

  • @fitinaelias421
    @fitinaelias421 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri japo mazingira kwa "Interview" hii siyo mazuri, ni vyema Interview nyingine mfanyie kulekule tulikowazoea

  • @jomicho94
    @jomicho94 ปีที่แล้ว

    Mbona keleleee nyingi