Ivi nyie mnaosema abby kasema ukweli, kwani hao mastar wengine wakina hamisa, na wengine si wamejulikana kwa mahusiano yao! Au tuseme basi hao wasanii wanje wakina rihana sijui kyle, kim na selena si wamezidi kuvuma kwa mahusiano yao!! So kama uyo abby anaowaita dada zake wamevuma kwa mahusiano so meaning ni role model wake na paula 😂. Af kumbe pau alivyosemaga hamjui abby kumbe ilimuumaee 😂😂🙌
Nijuavyo Rihanna anaimba vzr tu na huwa anazunguka dunia nzima kwenye album tours zake, Kyle au Kardashian family Wana kipindi Chao kwenye TV cha maisha yao, Selena Gomez nae ni muimbaji mzuri tu sasa sijui Kwa nini unasema hao wamejilikana Kwa sababu ya wanaume
ndugu Rihanna unamjua? ana mawe yake hata nikiwa mzee wa miaka 90 bado ntaendelea kusikiliza, very talented, niambia Paula katoa wimbo gani ambao kizazi kitamkumbuka nao?
@@RynlizzyTheBoss wewe hayo nayo unaita mahusiano? yaani kuporomoka kwa maadii anamegeka bila ndoa na wala mipango ya baadae hana unasema mahusiono? umeona dada zake waliolelewa kwenye maadili wanaishije? wana mkwanja kuliko yeye, kweli tuko mbali sana sissy 😀😀😀
😂😂 wa2 wanaujinga mwingi Sana Kwan Abby yeye hadate namwanaume mbona anataka kujifanya bikira Maria 😂😂 au kwavile yeye anafanyiya gizani paul ka date na wa2 wawili2 lakin kawa kama ana date na taifa shame in your
ajasema ha date lakini alijulikana kuhusu mziki wake paula wazazi wake ni famous alikuwa najulikana kama mtoto wa kajala lkn alipo date na ray aka julikana zaidi so alijibu alicho jiskia
Uuuweeeeh hiyo ni kichambo tosha kwake Paula 🤣🤣🤣
Very point ☝️ wengine kweli wana tred kwa wanaume alafu maisha hayo nia kuzungukia wanaume
yupo sahihi sasa kipi kibaya apo ABBY tunamjua kwa kazi zak hao wengine tunawajua kwa kutowa papa period
Kakishua haka kadadaa 😅kaacheni jamani 😊😊😊
I stand up pau in this kila mtu kaumbwa tofauti hata kwa family hiyo ipoh Yni hamuwezi kuwa Sawa
Education is the key be proud gal
Abby got brain And tallent
Mno! Yuko vzr kichwani
Hayo majigambo iko ciku Mungu atakuaibisha uzungu mwingi kumbe mswahili ovyooooooo
Sasa hapo kakosea nini yeye kajulikana jwa sababu ya mziki paula huwa anayrend kwa sababu ya kudeti
Sema nimemuelewa 😊
Kwahyo tumbafu kumanini unajifanya unaongea kiswahili cha wazungu, kumanina kwamba huwez kuongea kiswahili vizur, tumbafu
I love this woman.
Nimeipenda kicheko cha Abby 😂😂😂😂😂
Chapati ni tamu
She’s right of course ! Is not a good image !
Kasema ukweli
So truuuuuuue
Ila jibu ni la ukwel jmn😂😂😂😂😂😂😂
Ivi nyie mnaosema abby kasema ukweli, kwani hao mastar wengine wakina hamisa, na wengine si wamejulikana kwa mahusiano yao! Au tuseme basi hao wasanii wanje wakina rihana sijui kyle, kim na selena si wamezidi kuvuma kwa mahusiano yao!! So kama uyo abby anaowaita dada zake wamevuma kwa mahusiano so meaning ni role model wake na paula 😂. Af kumbe pau alivyosemaga hamjui abby kumbe ilimuumaee 😂😂🙌
Nijuavyo Rihanna anaimba vzr tu na huwa anazunguka dunia nzima kwenye album tours zake, Kyle au Kardashian family Wana kipindi Chao kwenye TV cha maisha yao, Selena Gomez nae ni muimbaji mzuri tu sasa sijui Kwa nini unasema hao wamejilikana Kwa sababu ya wanaume
ndugu Rihanna unamjua? ana mawe yake hata nikiwa mzee wa miaka 90 bado ntaendelea kusikiliza, very talented, niambia Paula katoa wimbo gani ambao kizazi kitamkumbuka nao?
@@MsAggie5 as long as unajua kinachowakuza zaidi ni mahusiano yao Basi hamna shida 😃. Ukitaka pasuka 😂
@@smarty1064 @MsAggie5 as long as unajua kinachowakuza zaidi ni mahusiano yao Basi hamna shida 😃. Ukitaka pasuka 😂
@@RynlizzyTheBoss wewe hayo nayo unaita mahusiano? yaani kuporomoka kwa maadii anamegeka bila ndoa na wala mipango ya baadae hana unasema mahusiono? umeona dada zake waliolelewa kwenye maadili wanaishije? wana mkwanja kuliko yeye, kweli tuko mbali sana sissy 😀😀😀
Alafu kama unaona haumuelewi is up to you
Jibu ni mzuri sana
Kajibu vizuri.kiwachome hao kizazi cha malaya
Marioo kasha mjibu huku huyo mdada abb
Kasemaje..?
Mbona hatujasikia tujuze
Huyu naeee kupanic uko geraat …. Paula doesn't even give you her time. You need to move on and focus on your business gurl…. Stop chasing clouts
It’s the truth, so if the shoe fits someone will be angry
Mmmmh Anamuanza paula
Toka we kuku we
Hajamtaja ni hawa sns 😂
Mwachen Paula Kila mtu na maisha yake
Nakapenda haka katt
Mdada WA watu now katulia Bado mwamuongelea au nawe unataka kutembelea nyota yake maana hata unacho kifanya Kwa music Bado sijajua
Ww humuelewi cozi unamchukia Bila sababu lkn sio Tz Dunia inamjua
Unakili sana dadangu
Ndio ivyo tena
Ni kichambo lakini kuna ukweli ndani yake pia
She is jealous..coz why would she say that and she already clapped back while ago
Nakupenda ❤❤❤sn mtt wangu anaekuchukia afe😅😅😅
😂😂😂😂😂nimecheka wallah paula ukuje huku
Umesema umchukii na unamzungumzia vibaya
Asa muongo si anatrend kwa kutembea nawanaume au sivyo
KWAHYO SNS UNASEMA KAWAJUMUISHA WOTE?SIO PAU PEKEYAKE😊
SNS anachochea moto huyu 😆😆😆
Shots fired!😅😂😅
Mmmmh
Point taken❤❤❤😂
Tuseme hajuw accent ya kitanzania or ndio uzungu lakini kwangu mimi huo ni upuuzi tu
Sio watanzania wote ni kuku wakienyeji kaka,kuku wa kizungu pia wapo mkuu
Sio kosa lake ni hizi shule za kiingereza na nyumbani kiingereza na sasa anasoma online ndo kabisa
Shida yake hakana nyota😒😒😒😒😒😒😒
Nyota ya kufanya nini? Mi nahisi Yuko busy na shule ndo maana miziki sio first priority yake
Kwani alipenda marrio ila marrio kamwacha
Nyooo
Hajawahi mpenda Marioo!
Kama angewahi mpenda basi huyo Marioo angesema
Achaushamba unajikuta ninani wewe rohoinauma paula yupojuu kuliko wewe unajiita msanii
I think she's a Kenyan but grew up in Tanzania. 😅
You wish
Imemuuma maana marioo alimkwichi
Haijawahi tokea huyu mtoto anajitambua
Ni kweli 😂
Akiii abi napenda unavyoongea
Sns sasa apo kajala kafikaje mahana kajala ni mwigizaji ye kazungumzia wasio na kazi
Paula hana tym nae,tatizo hana nyota ata aimbe nn ngoma haitrend mpka paula
Muongo wewe
@@ConstanceKarisa-yq7qc muongo mwenyewe nionyeshe ngoma yke moja ishawai kuingia trending tz ama kenya
Kwani wewe abby unamjua kwa sababu gani hebu tuambie huenda umemjua kivingine mana kwenye mziki humjui
@maryamtanzania9743 tanasha alikua anampost kitambo kwenye instastor my baby my baby sijui walikosana pia,sijaona akipost ngoma za huyo baby wke
😂😂😂😂😂ila kameongea ukweli😂
😂😂😂😂😂
Kichambo cha kizungu😅
kwahiy tuseme wew huwez date wanaume? 😅😅yatakukuta usitukane mamba kabl hujavuk mto
Uyu naye bila pau mjini atamsikia
YUKO SAWA nimeandika kwa caps ... acheni ukweli usemwe 😆😆😆
😂😂😂😂nicheke mie
Ukwer hunavyoooumaga kama nawaona huko mtu na mammaaake😂😂😂😂
👏👏👏👏👏👏
Uwiii Paula hajaamka ivi? 😂😂😂😂😂😂maana moto utawaka
Wakenya mmesikia?😂huyu ni mtanzania
😂😂 wa2 wanaujinga mwingi Sana Kwan Abby yeye hadate namwanaume mbona anataka kujifanya bikira Maria 😂😂 au kwavile yeye anafanyiya gizani paul ka date na wa2 wawili2 lakin kawa kama ana date na taifa shame in your
ajasema ha date lakini alijulikana kuhusu mziki wake paula wazazi wake ni famous alikuwa najulikana kama mtoto wa kajala lkn alipo date na ray aka julikana zaidi so alijibu alicho jiskia
Na pia hajamtaja Paula ni sns na umbea wao 😂
@@Clarice56 😌😌Paul anajulikana toka mtoto SASA yeye kaja kujulikana Jana ndio anajifanya ooh siwezi kuongelea wa2 wanadate wanaume huo niufupi waakili
@@MsAggie5 😂😂😂😂😂ndio kasema Hata kama hajamtaja
Imeisha iyo ikirudi ni pancha 😂😂😂
Mmh!kiukweli sijajua anachokizungumza huyu dada!lakin au bas cjui nilitaka kusema nin! 😂😂
Basi itakuwa husikiii vizuri
Halaf unaweza kuwa familia ww @NasraSaid
Uwo ni ushamba
Si ni kwali lakini
Nikweli
Damn 😂😂😂😂😂😂😂 that shit hits harder
Paula ana nyota
Ana nyota ya rangi gani? Angekuwa na nyota angekuwa mbali Sana kimaisha, kama biashara ingekuwa kubwa na tungejua maana nae ni WA mitandaoni sana
@@SaraMAVE-jt2mx huo ni utumbo 😂😂😂😂
Yah nani hajui paula ni Danga la Taifa.😂😂😂
Yani ni huzuni na ukizingatia mama yake ndo amempush kuwa hivyo😢
Ukwer unavyouumaga jamn kama nawaona uko walipo😂😂😂
Kweli yake lkini mana talent yake ni nini haswa
KaongeyA
Pamoja na yote huyu ukioa utapata kichaa dakika 10 tu ..
😂😂😂
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂 100
and then she went for the kills😂😂😂
Sarcasm!😂
Haka kadada kaje kutusalimia Maeneo yetu ya chanika huku 😂😂😂😂
Ukwer mchungu😂😂😂
Hivi hajui kiswahili 😂😂😂😂au 😅😅😅
Anajuwa sana sema ndio hivo hakipendi tu kukutumia
sasa mimi sioni chochote mbele yangu sasa unasema wewe mtz kuweka hilo nywele la maiti unalitikisa hujui tena kiswahili duuuh
sasa huo njo nini😅😅😅 namcheka tu
Saf kbc
Bora drama zianze bhn, kulipoa mjini 😂😂😂
😂