Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.
Asante kwa kutufuatilia. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii
je mbona ukigusa vitoto vya sungura vinakufa? kama amezalia nje ya box unafanyaje ili waweke kwenye Box. Je nitawatenga na mama yao wakifikia umri gani? Naomba unijibu
Ahaaa
Mko vizuri naomba namba zenu malembo farm
0747981275
soko lipo wap
Safi sana
Super video like 🤝🤗
Napataje soko la sungura
Hongera Sana Kwa Elimu na Maelezo/Ufafanuzi Mzuri.
Napataje Mawasiliano yenu?
Asante sana
Very nice Article
Karibu na uendelee kufuatilia mada mbalimbali kutoka hapa promo online tv
@@promoonlinetv7442 hongera sana,mawasiliano yenu
Asante sana, wasiliana nasi kwa 0686928828
Kuhusu maharage ,mbona nasikia maharage sio mazuri kwa sungura nawewe unashauri wapewe sungura
Good content
Safi Sana kijana
Naomba mnitembelee shambani Grace Biharamulo kagera
Unahitaji nani wakutembelee? Promo Online TV au
@@promoonlinetv7442 promo online TV
Napataje wanunuzi wa Mkojo Sungura
Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.
Mkojo lita moja hela gapi?
Asante sana kwa kutupatia elimu juuu ya ufugaji wa sungura. sasa soko la hizo bidhaa liko wapi?
Asante kwa kutufuatilia. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii
Kama mkojo wasungura nisumu yawadudushambi n nimbolea matumiziyakeje?unaekakwenyebomba unapuliza au unamwagia chinikwenyeshina
Sungura anaweza kula maganda ya ndizi?
Nina swali
je mbona ukigusa vitoto vya sungura vinakufa? kama amezalia nje ya box unafanyaje ili waweke kwenye Box. Je nitawatenga na mama yao wakifikia umri gani? Naomba unijibu
Ntajuaje kama tayr Ana mimba 🤷
Mko wapi
Mwananyamala (a)
Nataka nianze kufuga npe muongozo sas
Angalia hii wapendwa th-cam.com/video/b1gfpO8bnCo/w-d-xo.html